Ripoti ya Jukwaa la Wahariri, Mbona Kimya?

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Wiki iliyopita Whaahri wa magazeti mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sakini Datoo walitutangazia umma kupitia vituo tofauti vya Televisheni kuwa Jumapili 14 Oktoba 2008 watatoa hadharani Ripoti yao juu ya malalmiko ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa walijtetea kuwa kuitoa Ripoti hiyo kabla ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi inaweza kutumika kama silaha ya vyama vya siasa kwenye kampeni. Jumapili imepita, uchaguzi umepita na Mshindi kajulikana; tulitegeme jana wangeitoa lakini bado kimya,kulikoni?
 
Back
Top Bottom