MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
MwanaKijiji, hii ni kazi nzuri uliyoifanya. Pia umenikumbusha jambo hapa. Hawa CMC Motors wamekuwa wakihusika na ukwepaji kodi, na wana kamtandao na baadhi ya watu wa TRA wanao wasaidia kukwea kodi. Wahindi hawa wanaomiliki CMC wanapaswa wachunguzwe. CMC Motors ni kamrija kengine ka ufisadi.
Wale ambao hawasomi documents, wanakuwa kama Mh Kingunge Ngombare Mwilu aliyekuwa hasomi minutes za vikao vya muafaka, kisha anakurupuka kuongea na waandishi wa habari kwa kitu asichokielewa!. Kumbuka yule kijana wa CUF alivyoshusha data baada ya propaganda za Kingunge na makamba!! Aibu!. Tujenge tabia ya kusoma kabla ya comments.