Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
Kuna Politicians wa kwenye magazeti na pia hiyo nayo ni safi tu mkuu wangu maana jaribu kuona hata kusoma trend ya magazeti yetu ya kila siku ndio utaweza kujua nasema nini
Frankly speaking;mlio karibu na Kijana John Mnyika mumuambie yeye ndiye anakurupuka kwa kutoa maazimio"kila siku"
Akumbuke kuwa Ubunge wa Ubungo bado miezi 10 tu ufanyike na Mama Mwangunga yeye kaanza kampeni kitambo sana lkn Mnyika kakazana tu na issue zisizo na maslahi kwa wana Ubungo!
Mnyika mambo haya ya silaha kuingizwa Congo kwa msaada wa TZ ni mazito lkn je yana maslahi kwa wana Ubungo kuliko kuwaambia sera zako ili wajikwamue kwenye shida za kijamii zinazowakumba?Wana Ubungo wana matatizo yao sugu ya maji,matibabu,njaa,elimu miundombinu na menginenyo.Yavalie kwanza njuga haya matatizo ya kijamii ya wana ubungo then sasa ukiyamaliza uje kwenye issue za kimataifa kama hizi za UN na silaha za Congo!
Wazungu walisema "charity starts home"sasa wewe wala hujakaa chini kuwaeleza na kuwashawishi wana Ubungo nini utafanya kutatua matatizo yao ya kijamii ukipata ubunge ila umekazania tuu mambo ya Congo!
Amini nawaambia wana JF kwa wazi kabisa naliona ANGUKO LA MNYIKA KWA Mama Mwangunga KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UBUNGE-UBUNGO miezi 10 toka sasa!
Hilo hapo juu itakuwa shida sana kwake kulisoma! Kwa upande mwingine umejaribu sana kutoa tongo tongo kwake.Frankly speaking;mlio karibu na Kijana John Mnyika mumuambie yeye ndiye anakurupuka kwa kutoa maazimio"kila siku"
Akumbuke kuwa Ubunge wa Ubungo bado miezi 10 tu ufanyike na Mama Mwangunga yeye kaanza kampeni kitambo sana lkn Mnyika kakazana tu na issue zisizo na maslahi kwa wana Ubungo!
Mnyika mambo haya ya silaha kuingizwa Congo kwa msaada wa TZ ni mazito lkn je yana maslahi kwa wana Ubungo kuliko kuwaambia sera zako ili wajikwamue kwenye shida za kijamii zinazowakumba?Wana Ubungo wana matatizo yao sugu ya maji,matibabu,njaa,elimu miundombinu na menginenyo.Yavalie kwanza njuga haya matatizo ya kijamii ya wana ubungo then sasa ukiyamaliza uje kwenye issue za kimataifa kama hizi za UN na silaha za Congo!
Wazungu walisema "charity starts home"sasa wewe wala hujakaa chini kuwaeleza na kuwashawishi wana Ubungo nini utafanya kutatua matatizo yao ya kijamii ukipata ubunge ila umekazania tuu mambo ya Congo!
Amini nawaambia wana JF kwa wazi kabisa naliona ANGUKO LA MNYIKA KWA Mama Mwangunga KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UBUNGE-UBUNGO miezi 10 toka sasa!
Mujita,ha ha ha ha
ata anguka je wakati atapewa ukurungenzi wa mambo ya nje? Hivi ukurugenzi wa mambo ya nje wa chadema unamaana gani naomba kuelimishwa?
Je? ni mambo ya kimataifa ama mambo yanayohusu nje ya chama.?
Anaweza kusema au kutoa msimamo wake ukawa kama ndio msimamo wa CHama chake hivyo sio ajabu sana, Mbona Jk anatoka tamko CCM linakuwa ndio sera katika Taifa lote, Hivyo katika siasa kuna inputs zake na output zake pia, Mimi nakubaliana kabisa na Mnyika juu ya mambo haya, jaribu kusoma ile taarifa ya mzee mwanakijiji ndio utona kwanini Mnyika anasema hivi