Ripoti ya BOT mbona haitolewi!? Walioiandika wanawekewa shinikizo ili waibadilishe?

karibu mwafrika wa kike,
Suala la riporti aliyopewa muungwana ni zitto,zilitoka nakala chahce sana na kuzipata imekuwa vigumu,Cha Msingi tufanye utaratibu wa kupata Ripoti ya kwanza kabisa kabla ya hii ya Ernst and Young.
 
hizi kelele za mlango,hebu fundi(lowasa) paka glisi maana zinazidi.kisha mwambie huyo wanamazingaombwe(pccb,igp,ag)wahakikishe wanaleta michezo yenye akili ili watazamaji wapate kukongwa nyoyo zao.
 
MWK, Ripoti hiyo inasemekana imebadilishwa sana na mengine kufutwa kabisa kwa kile SIRI KALI inachokiita 'usalama wa Taifa' wakati ukweli ni kwamba imebadilishwa kwa usalama wa mafisadi na waroho wa utajiri wa haraka haraka kupitia nyadhifa zao walizokabidhiwa na Watanzania. Huyo CAG alikaa na ripoti hiyo kwa wiki 10 tangu alipokabidhiwa eti alikuwa anaifanyia 'mchakato'.

Lazima tuwashinikize hawa wasanii mafisadi waweke hadharani hii ripoti maana kwa kufanya hivyo tunaweza kuhakiki toka kwa wakaguzi wa ripoti hiyo, Ernst & Young kama hiyo iliyotolewa ndio ripoti halali au imeshachezwa.
 
Haya mambo ya usalama wa taifa kwa kila kitu ndiyo yanatuponza na kuimaliza nchi. Hivi usalama wa nchi ni nini zaidi ya kulinda mali na wananchi wa Tanzania?

Hii ni dharau. Kikwete anaonyesha dharau ya hali ya juu sana kwa watanzania kwa sababu anadhani kuwa hakuna kitu watanzania watafanya. Mapambano yameanza kati yetu na wao. Tutapata kila siri wanayotunza na JF itaweka cover kwa kile wanachokiita usalama wa taifa na kama wanaweza walete usalama wa matumbo yao hapa ili moto uwake.

Vita imeanza ya kuchukua nchi yetu. Wasijekusema hatukuwapa onyo au kuwaomba wafanye the right thing!
 
hahahaaaa nimefurahi kwanza kabsa dada weye kurudi sijui ulikua wapiii hadi nikahisi labda mafisadi walikupata nawewe if not kuku Chifuparaiz au kuku Balali maana hata tujui aliko huyu tapeli!!

nimependa kwanza ulivyomkumbusha huyu bishoo mtalii Jk kuwa bila watanzania asingekua na hako kakibarua kake na uwezo wa hata kutimiza ndoto zake za maisha ikiwemo kukanyaga nyasi za uwanja wowote wa timu yeyote kubwa ya mpira duniani!!

pili ni kweli hiyo heshima na umuhimu wa huyu fisadi kuitwa mheshimiw hata mie naiona hastahili kabsaaa ni bora nimwite mlinzi wangu geitini mheshimiwa kwa sababu so far ananilindia usalama wa maisha yangu au maid wangu anayenikaangizia mahanjumati kuliko huyu tapeli,mtalii,fisadi mpenda cheka cheka ka mtu wa nguvu za giza ( actually he is among them)...

sasa mwisho watuwekee hiyo report nje na waziii ili na sie tusaidie kutoa maoni yetu as kama mabosi wake!!ila pia napenda kuwaambia wale woote wenye original copies za hiyo report watuandalie as i really know how this gov. of us stupid it is as if haina washauri wasomi ndani yake!!!watatoa report edited ambayo ina uongo mwiiiingi ili kuficha ukweli alafu watajitahidi wanyamazisha wahusika wooote lakini wajue tuu therez a day ukweli utajulikana tuu kwa watanzania
always siku za mwizi ni arobaini
 
Na sio ya BENKI KUU tuu tunataka hata ya RICHMOND NAYO TUPATE HATA DONDOO maana hatukawii kufichwa mengine kama tulivyoona trailer la watu kutoa ushahidi wa Uongo
 
Kikwete is the biggest joke Tanzanians had in Ikulu, period.

Bigger than even the much underappreciated "Ruksa"

Ninasubiri apology kubwa sana toka kwa viongozi wa dini ambao walisema kuwa Kikwete ameteuliwa na Mungu kuongoza Tanzania. Sijui ni mungu gani walikuwa wakiongelea hawa!
 
wajimini ikikaguliwa ripot ya kipindi chooote cha balali nadhani waungwana watz watataka hukumu ya kunyongwa irudishwe maana i can smell the ujambazi was taking place ol da time b4 hapa mwisho kukosea step kwao or in other words i can say siku zake za arobaini kufika
 
[QUOTE=Bobby;124587]Mwafrika welcome back na ahsante kwa makala yako!

Thanks kwa kila ulichoandika ila kubwa kuliko yote kumkumbusha JK kwamba sisi watanzania ndio mabosi wake kwani sidhani kama analimbuka hilo. QUOTE]

nadhani kwake yeye bosi wake ni Rostam, sio sisi watanzania. Hivyo ni kweli lazima tumkumbushe jambo hilo mara kwa mara.Japokuwa kwa sasa kafumba masikio ipo siku labda atakuja kukumbuka wakati Rostam atakapomuaibisha hadharani. That day is coming sooner than later!
 
karibu mwafrika wa kike,
Suala la riporti aliyopewa muungwana ni zitto,zilitoka nakala chahce sana na kuzipata imekuwa vigumu,Cha Msingi tufanye utaratibu wa kupata Ripoti ya kwanza kabisa kabla ya hii ya Ernst and Young.

Kila kitu kimepatikana na kinazidi kupatikana.
Inabidi wakati ufike watu wafanye kazi usiku na mchana ili kuokoa nchi yetu kwa ajili yetu na vizazi vijavyo. Kila arsenal inatumika sasa hivi kupenyeza hii ngome ya watu wachache wanaotaka kuuza na kufuta kabisa nchi inayoitwa Tanzania toka katika ramani ya dunia.

Tuombe Mungu tu JF na side kick wake KLH news waendelee kuwepo ili kutumika sana kukomboa nchi yetu. This is just the begining
 
Mwafrika wa Kike:
Sote tunahasira. Wanavijiji wetu wangekasirika sana kama wangejua yote haya ya kulambishwa asali. Na ni hao wananchi ndio wanaoogopwa kabisa na hawa wapuuzi, kuliko kitu chochote kile. Kwa hiyo wanaJF, pamoja na mahasira yetu haya kila mara tusisahau kutafuta njia mahsusi tunazoweza kuwafikishia habari maboss hawa wanaoogopewa kuliko mtu mwingine yeyote.

Pia inafaa sasa kuwashtua hawa majangiri kwa kuwahusisha wafadhiri wanaowasaidia kuendesha upuuzi wao huu. Hata kama itabidi tukatiwe misaada kama wataendelea kukaidi matakwa ya wananchi, basi na iwe hivyo. Wapinzani na wanaJF tuanze kuwawekea 'pressure' wazungu hawa, nao waelewe kuwa haturidhiki na utendaji wa wakubwa hawa. Hao wafadhiri nao waache unafiki wa kutoa pongezi za haraka haraka kama wanavyofanya na extract ya EPA, na kusahau kuwa wananchi wanapigwa changa la macho.

Tuwe na hasira, huku tukidhamiria kufanya kweli. Hapo tutakuwa taken serious.
 
hahahaaaa nimefurahi kwanza kabsa dada weye kurudi sijui ulikua wapiii hadi nikahisi labda mafisadi walikupata nawewe if not kuku Chifuparaiz au kuku Balali maana hata tujui aliko huyu tapeli!!

nimependa kwanza ulivyomkumbusha huyu bishoo mtalii Jk kuwa bila watanzania asingekua na hako kakibarua kake na uwezo wa hata kutimiza ndoto zake za maisha ikiwemo kukanyaga nyasi za uwanja wowote wa timu yeyote kubwa ya mpira duniani!!

pili ni kweli hiyo heshima na umuhimu wa huyu fisadi kuitwa mheshimiw hata mie naiona hastahili kabsaaa ni bora nimwite mlinzi wangu geitini mheshimiwa kwa sababu so far ananilindia usalama wa maisha yangu au maid wangu anayenikaangizia mahanjumati kuliko huyu tapeli,mtalii,fisadi mpenda cheka cheka ka mtu wa nguvu za giza ( actually he is among them)...

sasa mwisho watuwekee hiyo report nje na waziii ili na sie tusaidie kutoa maoni yetu as kama mabosi wake!!ila pia napenda kuwaambia wale woote wenye original copies za hiyo report watuandalie as i really know how this gov. of us stupid it is as if haina washauri wasomi ndani yake!!!watatoa report edited ambayo ina uongo mwiiiingi ili kuficha ukweli alafu watajitahidi wanyamazisha wahusika wooote lakini wajue tuu therez a day ukweli utajulikana tuu kwa watanzania
always siku za mwizi ni arobaini

Asante mkuu,

Hata mimi nafurahi kuwa mzima kwani hawa jamaa sasa hivi wanaunda mafia moja mbaya sana huko Tanzania ya kutumia ubabe kufuja pesa. Siku moja unaamka hapa unasikia kuwa gari niliyokuwa naendesha imepata ajali mbaya sana na kesho yake mama ghasia (read fujo na ukosefu wa amani) anakuja kunitembelea hospitalini!

Jamaa wameshikwa pabaya kwani kuna watu zaidi ya 20 wanavujisha siri zao ile mbaya! watu wamechoka na huu upuuzi it is just the matter of time tu utasikia mengi yatakayokutia hasira kuliko haya! tumwombee Balali apone tu ili kazi ianze!
 
kwani jamani huyu balali ni mgonjwa kweliii????maana hata mie sielewiii
 
Ninasubiri apology kubwa sana toka kwa viongozi wa dini ambao walisema kuwa Kikwete ameteuliwa na Mungu kuongoza Tanzania. Sijui ni mungu gani walikuwa wakiongelea hawa!

Huyu naona aliteuliwa na ibilisi bin shetani maana hajui hata anachokifanya. Wizi mkubwa wa $133 bilioni halafu unawapa watu miezi sita ili wafanye uchunguzi kwa nini asiwape miezi miwili au mitatu!? :confused:
Hiyo miezi sita yote wanafanya nini wakati wengi walioneemeka na wizi huo wanajulikana! :confused:
anajaribu kubuy time akidhani Watanzania kichwa cha mwendawazimu tutasahau! hatusahau kamwe tunakula nawe sahani moja mpaka kielewele tumechoshwa kuongozwa na mafisadi na waroho wa utajiri wa haraka haraka walioweka maslahi yao na familia zao mbele badala ya maslahi ya Watanzania wote.
 
mtaalam aliondoka anaenda kucheck mguu wake wa kushoto ulikuwa na matatizo,,kama hiyo ndio imemfanya ashindwe kurudi tuwaachie jk na usalama wake
 
Nina wasi wasi maongezi ya JK and mentioning some makampunina kuaha yale akina Deep Green maana wako akina RA ndiyo cover up ya kila kitu sasa .Kama hawataki kuweka sisi tuweke yetu original
 
mtaalam aliondoka anaenda kucheck mguu wake wa kushoto ulikuwa na matatizo,,kama hiyo ndio imemfanya ashindwe kurudi tuwaachie jk na usalama wake

Ningependekeza wana JF tumpe heshima ya kuanzia,,kwa kuanza kuita TAPELI BALALI..UGAVANA UMESHATENGULIWA NA HIVYO TUTAKUWA TUKIMKOSEAMUNGU KUMWITA GAVANA,,
 
Balali is always acted under special instructions na haya mambo JK na Mkapa wote wanahusika na kumbuka Balali hakuwa mwana mtandao alikuwa ni mtu wa Mkapa sasa leo kumwagiwa mavi usoni na siasa chafu za wana mtandao ni rahisi .JK kwa rough and dirty moves and politics ni mwenyewe.Mnakubuka Salim aliitwa nani vile an kuhusishwa na nini vile siku zileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom