Ripoti tukio unalolishuhudia sasa

haya,vituko haviish. ndani ya basi kapanda jamaa anapromote dawa ya meno ya alovera. . . anaongea huyo, cha kushangaza hadi sasa hajapata mnunuz
 
Me nipo hom, hubby na mafundi wanasafisha taa, wakati wanasafisha yale maua ya taa 2 zimevunjika, yani nimeckia ayaaaa, 2ngevunja cc wengine 2cngelala humu ndani.

shem nyumbani kwako kwa mtogore hizo taa umeziweka vp uswaz hivyo
 
nipo njian kuelekea msiban,kuna abiria kateremka njian kumbe kabeba na ki-parcel cha abiria mwenzie.bahat nzur yule mwenye ki-parcel kamwona ikabidi amfate. sa cjui alichukua makusud ama alikifananisha na cha kwake. me na wewe hatujui!

Umefika wapi Charmy
 
nimeminya pub flani namuona demu yuko na jamaa yake wanakula bata lakini macho yote yako huku..sijui ananifananisha ananijua au niaje!!:eek2:
 
Niko namuangalia new celebrity Yule aliyerestisha watu in peace kwenye movie theatre last week!! Jamaa Yuko hoi anasinzia mahakamani Sasa najiuliza hawajampa hata nafasi ya kulala au ndio swaga zake tu! Ila Nimependa style yake ya nywele!!
 
saiv nipo nawatch dvd ya ambassadors of christ a.k.a kwetu pazur. nawaona wale marehemu walokufa kwenye ajali walopata mwaka jana maeneo ya tinde-shy. amos, manzi na mwenzo mmoja nimemsahau jinale. . .
 
Back
Top Bottom