Ripoti: Tanzania yaongoza kwa wanywa pombe

source pliz.. Au umeamka na hangover yako ukaamua utoe takwimu za kufkrika.
 
Mbaya zaidi pale hamna hata age restriction. Ukienda unawakuta watoto wadogo under 18 wanabwia mipombe. Imagine hapo huyu mwenyekiti anaandaa taifa gani.

Under 18? kama ulienda disco toto ulitarajia ukute wazee wa miaka 80? yani we ni maamuma na ujununi unakusumbua.. sura mbaya kama kijambakoti alicho hongwa JK na al abwaady
 
Under 18? kama ulienda disco toto ulitarajia ukute wazee wa miaka 80? yani we ni maamuma na ujununi unakusumbua..sura mbaya kama kijambakoti alicho hongwa Jk na al abwaady
Elewa mada wewe acha kukurupuka. Tunaongelea unywaji wa pombe. Kwa hiyo kwenye disco toto under 18 wanaruhusiwa kunywa pombe?
 
Mmeona hilo tu, mbona ndo zetu kuongoza, tunaongoza pia kwa uongozi mmbovu, mgao wa giza, rushwa, kujuana, ufisadi . la pombe ambalo kila mtu anjinywea kwa nafasi yake tuliache kama lilivyo!
 
Ina wapunguzia mawazo juu ya mafisadi na kuwaletea ugumu wa maisha
 
Mbaya zaidi pale hamna hata age restriction. Ukienda unawakuta watoto wadogo under 18 wanabwia mipombe. Imagine hapo huyu mwenyekiti anaandaa taifa gani.

wapi hapo? Labda unaongelea disco toto, na wewe mtu mzima kujichanganya na watoto we huoni una tabia za kifataki. Na Mwenyekiti haliandai taifa mtoto hufunzwa adabu kwao.

Swali:
hivi wewe hizi tabia unzozionyesha humu ulifundishwa wapi?
 
Magogoni na mwalimu wake Nepi za Nnaunya na dinosaur Wassira

Do you know that 20 percent of the beer drinkers drink 80 percent of the beer?

Hapa Tanzania shemeji zangu wachaga watakuwa wamechangia sana kutupatia hiyo sifa, which means Tax base inaongezeka na pia ajira zaidi na burudani zaidi huku mzunguko wa hela ukiongezeka pia...
 
wapi hapo? Labda unaongelea disco toto, na wewe mtu mzima kujichanganya na watoto we huoni una tabia za kifataki. Na Mwenyekiti haliandai taifa mtoto hufunzwa adabu kwao.
Swali:
hivi wewe hizi tabia unzozionyesha humu ulifundishwa wapi?
Tatizo na wewe umedandia treni kwa mbele. Issue siyo disco toto, issue ni unywaji wa pombe kwa watoto.
 
Back
Top Bottom