thats exactly what I wrote kwenye MwanaHalisi; nimesema hii ripoti walazimishwe wana CCM wote kuanzia shinani hadi taifa kuisoma tena kwa viboko.
Kutoka Fikra Pevu
Rushwa? Watumishi na Wanasiasa
Wananchi waonesha Dalili ya KUKATA TAMAA
Ripoti ya Tathmini ya Rushwa nchini ambayo ilikuwa imecheleweshwa kuwekwa hadharani kwa miaka miwili na TAKUKURU hadi Rais Kikwete alipoagiza iwekwe hadharani wiki iliyopita inaonesha kuwa wananchi wengi wa Tanzania wanaona kuwa wanasiasa na watendaji mbalimbali nchini ndio vinara wa rushwa.
Akiandika katika utangulizi wa ripoti hiyo Rais Kikwete amekiri kuwa watendaji wa serikali yake wanaonekana na wananchi kuwa ndio vyanzo vya rushwa kutokana na uroho wao. Rushwa imeenea sana na ni kikwazo kikubwa cha juhudi za maendeleo; chanzo kikuu cha rushwa ni tamaa ya watumishi wa umma na wafanyabiashara amesema Rais Kikwete.
Hukumu hii ya wananchi dhidi ya serikali na watendaji wake imekuja kuthibitisha kile ambacho tayari ripoti mbalimbali kabla yake zilishakionesha kuwa rushwa ni tatizo ambalo limejikita katika jamii yetu katika ngazi mbalimbali na taasisi mbalimbali nchini. Rais Kikwete akiandika katika utangulizi huo anasema katika baadhi ya sekta za umma, rushwa imekuwa ni jambo la kawaida
SOMA ZAIDI HAPA:
RIPOTI TATU ZIMEAMBATANISHWA CHINI
Volume 4 (Ya Public Officials)
no research no right to speak, wacha wajukuu zetu waone tuliyoandika na waambiwe tuliyoyafanya baada ya kusoma ripotiSielewi mimi. Yaani rushwa ilivyokithiri hivi Tanzania tunahitaji ripoti ya kulitathmini hili tatizo? Mambo mengine bana....
that was my other reaction; sasa Kikwete alipoagiza iwekwe wazi "ili wananchi wachangie" alikuwa ana maanisha wale wanaojua Kiingereza tu au hadi watafsiriwe? Mimi nadhani iliandikwa kwa ajili ya donors zaidi maana kama wangekuwa wanataka Watanzania wengi waisome wangeiweka kwenye Kiswahili na kuitoa mapema mwaka 2010.
Mkuu Nyambala,
Naona mods kama wanachakachua hii thread kiaina but I managed to see your last post anyways.Hata kama watu wanajua,nakubaliana nawe kuwa wanaweza kuambiwa tena,ila kusema polisi,wauguzi/madaktari na mahakimu ni wana CCM unakosea,watu waliohojiwa ni watanganyika,hakuna sehemu ripoti imesema ni wa-CDM.
Ndio maana nimemwambia Mzee Mwanakijiji asiipoliticize hii ripoti kwa kusema wanachama wote wa CCM waisome hii ripoti hata kwa viboko.
tunayo tayari! wakiitoa tunaiweka tenaPlease remember to download and save........soon zitaondolewa halafu watu mtalalamika kuwa hazipo
Atakayezikosa anieleze tu nitampatia, ninazo zote nnePlease remember to download and save........soon zitaondolewa halafu watu mtalalamika kuwa hazipo
"The problem of corruption in our country is not new and certainly it did not start with my Government i.e. the Fourth Phase Government of The United Republic of Tanzania"
Hii intro ya JK vp? Yaani sentensi ya kwanza tayari failure admission, na kuruka kimanga kwamba hili si tatizo lake? Huyu mkulu vp? Is he really a commander in chief?
Bora hata angeanza na corruption has been one of our main challenge in the fourth phase govt..... blah blah..... we done this, we done that........
Sielewi mimi. Yaani rushwa ilivyokithiri hivi Tanzania tunahitaji ripoti ya kulitathmini hili tatizo? Mambo mengine bana....
rushwa kila kona.....ndani ya michezo,nyumba za ibada,tuzo,ajira,serikalini,NGO,jamii,mashuleni(vyuoni)
TUTAFUTE TIBA MBADALA
no research no right to speak, wacha wajukuu zetu waone tuliyoandika na waambiwe tuliyoyafanya baada ya kusoma ripoti wanaweza wakafa ghafla wote!!