Ripoti: Serikali haikutaka tujue- Vinara wa Rushwa ni Watumishi wa Umma na Wanasiasa

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kutoka Fikra Pevu
Rushwa? Watumishi na Wanasiasa

Wananchi waonesha Dalili ya KUKATA TAMAA

Ripoti ya Tathmini ya Rushwa nchini ambayo ilikuwa imecheleweshwa kuwekwa hadharani kwa miaka miwili na TAKUKURU hadi Rais Kikwete alipoagiza iwekwe hadharani wiki iliyopita inaonesha kuwa wananchi wengi wa Tanzania wanaona kuwa wanasiasa na watendaji mbalimbali nchini ndio vinara wa rushwa.

Akiandika katika utangulizi wa ripoti hiyo Rais Kikwete amekiri kuwa watendaji wa serikali yake wanaonekana na wananchi kuwa ndio vyanzo vya rushwa kutokana na uroho wao. "Rushwa imeenea sana na ni kikwazo kikubwa cha juhudi za maendeleo; chanzo kikuu cha rushwa ni tamaa ya watumishi wa umma na wafanyabiashara" amesema Rais Kikwete.

Hukumu hii ya wananchi dhidi ya serikali na watendaji wake imekuja kuthibitisha kile ambacho tayari ripoti mbalimbali kabla yake zilishakionesha kuwa rushwa ni tatizo ambalo limejikita katika jamii yetu katika ngazi mbalimbali na taasisi mbalimbali nchini. Rais Kikwete akiandika katika utangulizi huo anasema "katika baadhi ya sekta za umma, rushwa imekuwa ni jambo la kawaida"

SOMA ZAIDI HAPA:

RIPOTI TATU ZIMEAMBATANISHWA CHINI

Volume 4 (Ya Public Officials)
 
rushwa kila kona.....ndani ya michezo,nyumba za ibada,tuzo,ajira,serikalini,NGO,jamii,mashuleni(vyuoni)
TUTAFUTE TIBA MBADALA
 
Mimi siamini kama kuna nchi duniani ambayo haina rushwa kabisa. Lakini rushwa ya Tanzania nafikiri ni ya kipuuzi na inaudhi sana kwa sababu ipo hata kwenye basic services. Matokeo yake hata mtu maskini anayekula mlo mmoja kwa siku nae analazimika kutoa rushwa ili apate basic services. Mimi sidhani kama rushwa za kijinga namna hii zipo katika dunia ya wenzetu.

Tangu aondoke Mwalimu Nyerere hatujapata bado uongozi ambao una utashi wa kweli wa kupambana na rushwa. Kama upo, basi sisi wananchi hatuuoni! Hatujashuhudia wakubwa wakipelekwa mahakamani au kuwajibishwa kwa vitendo vya rushwa. Tunachosikia ni hakimu wa mahakama ya mwanzo amefikishwa mahakamani kwa kuchukua rushwa ya Sh. 50,000!! Wakati wa Mwalimu Nyerere ilifika mahali hata waziri alitandikwa viboko tena hadharani kwa kula rushwa. Nyerere alitambua kuwa ulikuwa ni udharirishaji lakini udharirishaji huo ulikuwa ni bora kuliko kuacha rushwa itamalaki na kuwanyima haki wanyonge ambao ndiyo wananchi walio wengi.

Leo imedhihirika waziwazi kwamba kuna maafisa wa serikali walishiriki kwenye dili la kuuziwa rada na kampuni ya kiingereza lakini ni maafisa wangapi waliofikishwa mahakamani? Jibu ni hakuna!
 
Yaani ukisoma hii ripoti utaelewa ni kwanini ilicheleweshwa kutolea wakati wa mwaka wa uchaguzi. Wametoa kisingizio ati haikujadiliwa na Baraza la Mawaziri. Ripoti hii ingetoka wakati wa uchaguzi au mwaka wa uchaguzi....
 
"The problem of corruption in our country is not new and certainly it did not start with my Government i.e. the Fourth Phase Government of The United Republic of Tanzania"

Hii intro ya JK vp? Yaani sentensi ya kwanza tayari failure admission, na kuruka kimanga kwamba hili si tatizo lake? Huyu mkulu vp? Is he really a commander in chief?

Bora hata angeanza na corruption has been one of our main challenge in the fourth phase govt..... blah blah..... we done this, we done that........
 
"The problem of corruption in our country is not new and certainly it did not start with my Government i.e. the Fourth Phase Government of The United Republic of Tanzania"

Hii intro ya JK vp tena? Yaani kuanza tu kuisoma ripoti hayo ndiyo maneno ya kwanza! Failure admission in the first sentence. Na mbaya zaidi ina-indicate hakuna hata matumaini ya kutatua tatizo hili. Huyu mkulu vp?

aisee ukifika mwishoni na hasa ukiangalia ripoti moja moja hizo figures zinatisha; kuna hali ya kukata tamaa sana kati ya wananchi. Najiuliza hii iripoti kweli waliitaka itolewe au ndio hakuna jinsi tena maana kama ni mashtaka yaliyoimo humu ndani ukiunganisha na ripoti za CAGs basi wanasema "tumekwisha"
 
Sielewi mimi. Yaani rushwa ilivyokithiri hivi Tanzania tunahitaji ripoti ya kulitathmini hili tatizo? Mambo mengine bana....
 
thats exactly what I wrote kwenye MwanaHalisi; nimesema hii ripoti walazimishwe wana CCM wote kuanzia shinani hadi taifa kuisoma tena kwa viboko.
 
Nadhani bro unaipoliticize mno hii ripoti.Wananchi wengi wa kawaida wanajua kuwa polisi na mahakama wakifuatiwa na hospitali ndio vinara wa rushwa hapa nchini,na personally nakubaliana nao kiaina.Grand corruption kwa wananchi wa kawaida huwa haiwagusi sana kutokana na ripoti hii,especially when it comes to fraud and embezzlement.....huu ndio ufisadi,which was a campaign platform ya opposition.

This shows that even during/after the dowans and EPA saga,people still couldn't relate embezzlement and fraud as a form of corruption and this my brother is the main concern.I am a CCM member and as the report shows,the parliament and pension funds were not considered by majority of households as being corrupt,this too rises some eyebrows!!

What I'm trying to say is,according to the report the things that really matter(like embezzlement and fraud) are not considered by many Tanganyikans as corruption and if you say that we(CCM members) need to read the report just because it shows the prevelence of corruption in Tanganyika,you will be,with all due respect, disrespecting majority of Tanganyikans because WE KNEW IT ALREADY!!.

But my question is,
"According to that report,do you still think Tanganyikans trust their parliament and central government vis a vis law enforcement and local government?"

You are entitled to your own opinion,BUT you are not entitled to your own facts
 
Mkuu am I quoting you correctly? Are you trying to say if you know something then no need to be told? Then wahy your chairman (JK) had to the "semina elekezi" again? Mawaziri walikuwa hawayajui hayo? Na hayo mafanikio mwenyekiti wenu anayosema mawaziri waje kuja kutusimulia ina maana wananchi hawayajui?
 
Nadhani bro unaipoliticize mno hii ripoti.Wananchi wengi wa kawaida wanajua kuwa polisi na mahakama wakifuatiwa na hospitali ndio vinara wa rushwa hapa nchini,na personally nakubaliana nao kiaina.Grand corruption kwa wananchi wa kawaida huwa haiwagusi sana kutokana na ripoti hii,especially when it comes to fraud and embezzlement.....huu ndio ufisadi,which was a campaign platform ya opposition.
This shows that even during/after the dowans and EPA saga,people still couldn't relate embezzlement and fraud as a form of corruption and this my brother is the main concern.I am a CCM member and as the report shows,the parliament and pension funds were not considered by majority of households as being corrupt,this too rises some eyebrows!!

To me this makes sense.. watu wa kawaida ni wangapi hukutana na parliament au pension funds kupata huduma za kila siku?

What I'm trying to say is,according to the report the things that really matter(like embezzlement and fraud) are not considered by many Tanganyikans as corruption and if you say that we(CCM members) need to read the report just because it shows the prevelence of corruption in Tanganyika,you will be,with all due respect, disrespecting majority of Tanganyikans because WE KNEW IT ALREADY!!.
But my question is,
"According to that report,do you still think Tanganyikans trust their parliament and central government vis a vis law enforcement and local government?"

You are entitled to your own opinion,BUT you are not entitled to your own facts
mzee ipitie nzima na utaona kuwa hilo la polisi na hospitali si geni linajulikana kwa muda mrefu tu. Ripoti hii inaonesha wazi tatizo liko wapi. Bahati nzuri nimeikomba ripoti yenyewe tangu jana and believe me it is a scathing indictment of CCM's government colossal failure to curb corruption. Now that is not my fact; it is their own fact spread all over the report. Na hapo wanazungumzia rushwa tu.

Swali lako la mwisho limejibiwa kwenye hizo ripoti soma tu - just to set things straight. Ripoti haizungumzii Watanganyika, hao watu hawapo.
 
Mkuu Nyambala,

Naona mods kama wanachakachua hii thread kiaina but I managed to see your last post anyways.Hata kama watu wanajua,nakubaliana nawe kuwa wanaweza kuambiwa tena,ila kusema polisi,wauguzi/madaktari na mahakimu ni wana CCM unakosea,watu waliohojiwa ni watanganyika,hakuna sehemu ripoti imesema ni wa-CDM.

Ndio maana nimemwambia Mzee Mwanakijiji asiipoliticize hii ripoti kwa kusema wanachama wote wa CCM waisome hii ripoti hata kwa viboko.
 
hiyo nimeetia chumvi tu; lakini nilichosema ni kuwa inaonekana ni wana CCM tu wanaohitaji kushawishiwa kuwa kuna tatizo kubwa la rushwa. Katika makala yangu niliandika kwa kusema kwamba sisi wengine hatukuwa tunahitaji ripoti juu ya rushwa nchini wakati tumeweza kufuatilia kwa karibu ripoti nyingine na tunajua juu ya ripoti ya Warioba and the failure of the so called "zero tolerance policy" kuhusu corruption. Unfortunately, ni wao ndio wameipoliticize baada ya kuamua kuificha isitoke mwaka wa uchaguzi wakati ilikuwa imekamilika late 2009.

Bahati mbaya siasa huwezi kuiondoa kwani ni sehemu ya masuala ya rushwa yenyewe na inagusa mwitikiio wa taifa. You can not dismiss politics in this matter it is part and parcel - pun intended.
 
No wonder imeandikwa kwa lugha ya kigeni

makes you wonder kwa nini tuna obsession ya kuandika mambo yetu kwa kiingereza?

Mfano ni miswada ya sheria almost yote iko kwa kiingereza

yote kunifaisha the few elites
 
To me this makes sense.. watu wa kawaida ni wangapi hukutana na parliament au pension funds kupata huduma za kila siku?

Si wengi,ila responsibility ya raia/mwanachama ni kuchagua representatives ambao ni wabunge .Kwa hiyo basi,hata ukiniambia niisome mara mia,ripoti inaonyesha kuwa watanganyika wengi hawadhani wabunge ni watu wa rushwa(mimi napinga) ndio maana you can't politicize hii ripoti.

mzee ipitie nzima na utaona kuwa hilo la polisi na hospitali si geni linajulikana kwa muda mrefu tu. Ripoti hii inaonesha wazi tatizo liko wapi. Bahati nzuri nimeikomba ripoti yenyewe tangu jana and believe me it is a scathing indictment of CCM's government colossal failure to curb corruption. Now that is not my fact; it is their own fact spread all over the report. Na hapo wanazungumzia rushwa tu.

No sir,I dont believe that.This actually is a proof that people still believe the government is being let down by the technocrats and law enforcers.As to why they believe so?..I don't know but the central government had relatively higher scores compared to the machinery,which arguably can be connected to the culture of greed and individualism that we see prevailing nowadays.
 
kobello kama grand corruption haiwagusi wananchi wa hali ya chini inawagusa nani?
Maana tunakuwa na bei juu za vitu e.g umeme as a result of grand corruption,so labda ujaribu kunielewesha!
 
No wonder imeandikwa kwa lugha ya kigeni

makes you wonder kwa nini tuna obsession ya kuandika mambo yetu kwa kiingereza?

Mfano ni miswada ya sheria almost yote iko kwa kiingereza

yote kunifaisha the few elites

that was my other reaction; sasa Kikwete alipoagiza iwekwe wazi "ili wananchi wachangie" alikuwa ana maanisha wale wanaojua Kiingereza tu au hadi watafsiriwe? Mimi nadhani iliandikwa kwa ajili ya donors zaidi maana kama wangekuwa wanataka Watanzania wengi waisome wangeiweka kwenye Kiswahili na kuitoa mapema mwaka 2010.
 
To me this makes sense.. watu wa kawaida ni wangapi hukutana na parliament au pension funds kupata huduma za kila siku?

Si wengi,ila responsibility ya raia/mwanachama ni kuchagua representatives ambao ni wabunge .Kwa hiyo basi,hata ukiniambia niisome mara mia,ripoti inaonyesha kuwa watanganyika wengi hawadhani wabunge ni watu wa rushwa(mimi napinga) ndio maana you can't politicize hii ripoti.

mzee ipitie nzima na utaona kuwa hilo la polisi na hospitali si geni linajulikana kwa muda mrefu tu. Ripoti hii inaonesha wazi tatizo liko wapi. Bahati nzuri nimeikomba ripoti yenyewe tangu jana and believe me it is a scathing indictment of CCM's government colossal failure to curb corruption. Now that is not my fact; it is their own fact spread all over the report. Na hapo wanazungumzia rushwa tu.

No sir,I dont believe that.This actually is a proof that people still believe the government is being let down by the technocrats and law enforcers.As to why they believe so?..I don't know but the central government had relatively higher scores compared to the machinery,which arguably can be connected to the culture of greed and individualism that we see prevailing nowadays.

Hutaki kuamini kuwa serikali ya CCM ambayo imeliongoza taifa hili ndiyo inahusika na rushwa na vitendo vya ufisadi kwa kushindwa kudhibiti kiasi kwamba kama JK mwenyewe anasema kwenye "sekta za umma" ambazo yeye ni mkuu wake imekuwa ni "way of life". Nadhani uko katika state of perpertual denial ya kile kilichopo wazi. Huwezi kulaumu law enforcement agencies na taasisi za umma bila kuzihusisha na serikali nzima ambayo inaongozwa na CCM. This is not politics just reality.
 
Back
Top Bottom