Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

Once you know the reality you dont have to worry saying what is true. Hii ndio ilimfanye TL aseme kuwa kuna majaji wa mtaani, inatisha sana na ndio maana huu mhimili umekosa mwelekeo. Kuna thread ilikuwa inasema mahakimu wanataka kugoma kweli kwa upuuz huu wa majaji weneye diploma ya sanaa inawezekana kabisa nashauri wagome au wawe na mgomo baridi. kwa mfano katika hukumu wamfunge mshitaki badala ya mshitakiwa ...
 
Ni bora Slaa aingie ikulu lakini sio huyu jamaa kuingia bungeni.

Kumbe JK huwa anaona mbali, hili jembe makali ya almasi.
 
Postgraduate Diploma in Law=Stashahada ya Udhamili ktk sheria na si Stashahada ya juu ya sheria (jaji mbarouk) kama ilivyoandikwa.
 
Sitegemei kama TL alikurupuka katika hili. Na huenda lengo lake ni kutufumbua macho ili tujue ni wapi tulipopotoka. Nadhani hivyo. Sasa ni wakati muafaka wa kumuunga mkono katika jema ili tuipate TANZANIA tuitakayo. KILA LA HERI.
 
Mahakama ni muhimili nyeti sana, ila inashangaza kuona muhimili mwingine ukitumia kuwapa madaraka ili iwatumie kwa matakwa yao. Ni wonder hukumu zinazoigusa serikali huwa zinaonekana kupeipendelea, nachelea kusema yote hii ni kulipa fadhila walizozawadiwa.
 
mh Tundu Lissu uwezo wake ni mkubwa sana na ccm sio size yake kabisa,hakika utetezi wake unadhihirisha uwezo mkubwa aliopewa na Mungu,naomba ccm wakiri kuwa Rais anakosea sana anapofanya teuzi zake,
Big up mnadhimu mkuu kambi ya upinzani,mko wachache lakini hoja zenu ndo zinazowawakilisha watanzania wanaoitakia mema nchi yetu
 
Jana bungeni nilisikia kuwa kuna wanafunzi zaidi ya elfu tano amabao wamefaulu kujiunga na kidato cha kwanza wakati hawajui kusoma, kuandika wala hesabu. Nauliza kwani hao wana matatizo gani kama Mh. Jaji hana digree husika na anaendesha kesi kinyume cha sheria hawa wanafunzi waendelee na wasibughudhiwe nchi ya wajanja, elimu ya kijanja, mahakama za kijanja yaani hivyo tu bora tusifike tunakoenda.
 
Mahakama ni muhimili nyeti sana, ila inashangaza kuona muhimili mwingine ukitumia kuwapa madaraka ili iwatumie kwa matakwa yao. Ni wonder hukumu zinazoigusa serikali huwa zinaonekana kupeipendelea, nachelea kusema yote hii ni kulipa fadhila walizozawadiwa.

Na ndio maana kesi zote kati ya serikali na wadai wengine, huwa serikali inashindwa tu!!!
 
Hivi yule hakimu wa kwa Mzee Pinda aliyemhukumu mbwa (Marehemu Immigration) kunyongwa hajapewa ujaji kweli?
 
Hapa ndipo inapodhihirika kwamba sio kweli kwamba Tanzania hatuna uwezo. Uwezo upo, tena sana tu ila hautumiki ipasavyo. Uwezo wa Mh Tundu katika fani ya sheria sii wa kwaida! Mungu amlinde sana!
 
Kama hii ni kweli, and I believe to be true, case waliamua hawa majaji zinaweza kuwa questioned mahakamani CA.
Kama JK alivunja sheria hawezi kuwa impeached. Maana naona kama ushahidi ni wa wazi mno bila mashaka.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
siku hizi kuna haja ya kuimba ule wimbo mtukufu ..........tanazania nakupenda kwa moyo wote nchi yangu tz nilalapo nakuomba wewe mola uwajalie cdm uwape mema maono waweze kutongoza kuliko hawa mafisadi kina nape nakundi lake jamanii ooooooooo nachoka

mpina akiweza alete barazani ile report yake au zake alizowakilsha kwa ndugai leo mchana za ufisadi toka 70 japo ndugai alitaka kuzikataa mpina akajifanya hasikii akiziwea tablen dooooooooooo
 
Hii ni Gharama Kubwa na Aibu kwa Taifa!! Ila inabidi Tuibebe Tu!! No way!! Ukiutua Mzigo unaonekana Msaliti
 
Imetulia, well done Tundu..

kamanda lisu anatisha. sijui mzee wa kichwa chenye nywele atasemaje. nina ndugu yangu yupo idara ya mahakama amenambia kuwa lisu wanamkubali ile mbaya. kwa kweli hali ni mbaya. ila namuomba warioba yale maoni yangu niliyowatumia kwa email kuwa majaji wote, wapya na wazamani wafanyiwe usahili km kenya wasiyatupe kapuni bali wayainclude ktk new katiba.
wasipoyainclude nitajinyonga walai.
 
nimefurahi mkuu Lisu
taarifa ni safi kabisa imeandikwa kwa paragraph na kituo. kiasi ukimaliza paragraph moja unavutiwa kuendelea na yingine.
mifano imetolewa bila kumumunya maneno sijui hiyo tume imebakiziwa kazi gani.

kuna siku nilijaribu kusoma maelezo ya ndugu mnauye humu JF nilishindwa kabisa kuamini kama anaweza kuandika riport mbovu namna ile tena ya kiswahili. hakuna paragraph hakuna mkato wala nukta hakuna kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom