Ripota wa ITV Sam Mahela unaboa unaporipoti

Taarifa ya habari itv naikubali sana kwa sababu wanajitahidi kutupatia taarifa kila kona ya nchi na kwa ufafanuzi mzuri kuliko vituo vingine hapa nchini.

Ila kuna ripota, sam mahela ananiboa sana anaporipoti... Mfano leo alikuwa anaripoti bomoa bomoa ya KIVULE MAGOLE kwa mbwembwe ni kama anafanya dhihaka kwa wahanga.

Sam angalia sehemu za kufanya mbwembwe bana......

Hamia TBC usitusumbue huku
 
Sijui ITV hutumia vigezo gani kutoa ajira kwa watu aina ya sam mahela!

Zaidi na hatari ni kwa mtu kama GODFREY MONYO, huyu jamaa analisauti libaya sana yaani havumiliki kabsa.
 
Ni kama anaripoti "Nyuma yangu ni bulldoza za manispaa zikiendelea na zoezi kabambe la kutokomeza nyumba za wapiga deal, eneo hili kwa mujibu wa sheria si makazi ya watu, lakini mabwenyenye wachache waliamua kutunisha misuli na kupajenga, muda umefika wakaisome namba, nikiripoti kutoka eneo la tukio, mimi ni sam manoti, kichwa upande, ITIVIII.
Hasira za kubomolewa nyumba yako usimwamishie mtangazaji. Mbona alivyotangaza nilijisikia vibaya nyumba za watu kuvunjwa? That means aliripoti ilivyotakiwa na ujumbe ukafika
 
Km humpendi ya nn basi kumsikiliza?
Binafsi namkubali sana
 
Sijui ITV hutumia vigezo gani kutoa ajira kwa watu aina ya sam mahela!

Zaidi na hatari ni kwa mtu kama GODFREY MONYO, huyu jamaa analisauti libaya sana yaani havumiliki kabsa.
Umefata sauti au umefata habari! Kama umefata sauti ikifika zamu ya Godfrey Monyo Ku report bonyeza kitufe cha sauti kwenda nyuma
 
Taarifa ya habari itv naikubali sana kwa sababu wanajitahidi kutupatia taarifa kila kona ya nchi na kwa ufafanuzi mzuri kuliko vituo vingine hapa nchini.

Ila kuna ripota, sam mahela ananiboa sana anaporipoti... Mfano leo alikuwa anaripoti bomoa bomoa ya KIVULE MAGOLE kwa mbwembwe ni kama anafanya dhihaka kwa wahanga.

Sam angalia sehemu za kufanya mbwembwe bana......
Yaani hayuko professional kabisa
 
Back
Top Bottom