RIP Baba Salutaris Massawe

Nov 13, 2010
91
7
Alhamisi tarehe 25 Oktoba, mapadri wa Consolata walikwenda baharini kumaliza siku huko Bagamoyo. Ilikuwa ni pale Stela Maris, hoteli mpya kabisa ya kanisa katoliki. Waliingia baharini kuogelea na kusahau taabu za kazi za kitume. Walipochoka waliamua kutoka majini ili warejee nyumbani. Mmoja wao hakuweza kutoka baharini. Huyu ni baba Salutaris Massawe, mkuu wa Consolata Fathers Tanzania. Alizolewa na mkondo wa maji na huo ukawa ndio mwisho wa maisha yake. Mwenzake alimuona jinsi alivyonyanyua mikono kuomba msaada lakini ilikuwa too late. Mwili wake ulipatikana Ijumaa tarehe 26 Oktoba saa tatu na nusu asubuhi. Mungu amuweke mahali pema peponi.
 
Mtu huishi Nyumbani,Ndege Kiotani,Pepo Peponi.Yesu alimwambia yule muhalifu aliyetubu pale msalabani,nakuhakikishia leo utakuwa nami Paradisini.Kama wakristo Wakatoliki hatutumii neno peponi kwa maana niliyoieleza awali.Ukumwombea marehemu unaweza kumwombea kwa kusema apumzike kwa amani au au alazwe mahali pema paradisini,
 
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani Fr. Salutaris Massawe, mkuu wa Consolata Fathers Tanzania. Mwanga wa milele umpe e bwana, apumzike kwa amani, amina


 
Alhamisi tarehe 25 Oktoba, mapadri wa Consolata walikwenda baharini kumaliza siku huko Bagamoyo. Ilikuwa ni pale Stela Maris, hoteli mpya kabisa ya kanisa katoliki. Waliingia baharini kuogelea na kusahau taabu za kazi za kitume. Walipochoka waliamua kutoka majini ili warejee nyumbani. Mmoja wao hakuweza kutoka baharini. Huyu ni baba Salutaris Massawe, mkuu wa Consolata Fathers Tanzania. Alizolewa na mkondo wa maji na huo ukawa ndio mwisho wa maisha yake. Mwenzake alimuona jinsi alivyonyanyua mikono kuomba msaada lakini ilikuwa too late. Mwili wake ulipatikana Ijumaa tarehe 26 Oktoba saa tatu na nusu asubuhi. Mungu amuweke mahali pema peponi.[/FONT]
R.P FR.masawe nakumbuka mara ya mwisho kumuona ilikuwa maadhimisho ya misa ya marehem fr yasinta alitoa speach nzur sana juu ya maisha mafupi ya hpa dunia dah it pan
 
Pumzika kwa amani Fr. Salutaris Massawe. Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu,
 
Ee Bwana tunakuomba umpe pumziko la milele na raha ya milele umjalie Padri wetu mpendwa Salutaris Lucas Massawe. Uwape pia faraja wanafamilia pamoja na wanakijiji wote wa Singa Kibosho
 
Back
Top Bottom