RIP Baba Ndetichia!!

R.I.P baba . Pole sana mwanajamvi mwenzetu jipe moyo mkuu wenzako pia tuna mauimivu ya namna hiyo ila Mungu anatuwezesha na kutusahaulishahuku tukisonga mbele
 
Mkuu wangu Ndet pole sana.
Nimechelewa kupita pande hii ila naamini wajumbe wamekupa kampani ya kutosha tu.

Pia Baba jG alifariki mwezi kama huu ila wiki 2 zijazo kama tar 2 2, nadhani wamekutana vitaa vya paradise huko wanabadilishana uzoefu!
Tunajukumu la kutimiza ndoto zao na kuzitanua zaidi.
Tuendelee kuwa pamoja kama rasta na msokoto boub Ndet.
Amani
 
Pole saaaaaaana ndetichia!!
Kila lililopangwa na Mwenyezi Mungu lina makusudi yake..

R.I.P our father...
 
Habari zenu wakuu!
Siku kama ya leo mnamo mwaka 2010 nilipoteza baba yangu mzazi ambaye aligongwa na pikipiki na kufariki.

Nakuombea kwa mungu babangu mpendwa..

ndetichia

pole saa ndetichia.......lakini okoa nguvu zako kwa kufahamu wafu hawaombewi kwa sababu hesabu zao tayari zilikwisha kufungwa.........Soma John 19:30 ".......'And Jesus said, "It is finished". And bowing His head, He gave up His spirit.".....ni fikra na matendo yao tu ambayo yatatumika kuwahukumu...........tusifikiri tunaweza kuishi kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu tukafikiri baada ya kufa ndugu na jamaa au hata marafiki wanaweza kumchakachua Mungu ili tusamehewe..............hakuna hilo na ndiyo maana Yesu Kristu alipoona wanawake wanamlilia alipokuwa akisulubiwa aliwaasa yafuatayo.....................

Luke 23:27-29 "And a great multitude of the people followed Him, and women who also mourned and lamented Him. But Jesus, turning to them, said, "Daughters of Jerusalem, do not weep for Me, but weep for yourselves and for your children. For indeed the days are coming in which they will say, 'Blessed are the barren, wombs that never bore, and breasts which never nursed."

Hizo sala zako zielekeze kwako mwenyewe na watoto wako ambako zaweza kusikilizwa kama matendo na fikra zako zinamwogopa Mungu......

vile vile tunajifunza kwenye Galatians 6:7 "Do not deceive yourself. God is not mocked. Whatever a man sow that he shall also reap."

pamoja na msisitizo katika Colossians 3:25 "But he who does wrong will be repaid for what he has done, and there is no partiality."
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe

Pumzika kwa amani baba yetu
 
Back
Top Bottom