RIP Baba Ndetichia!!

RIP baba yetu.

Pole sana kijana. Mipango ya Mungu haina makosa na wala hairekebishwi na binadamu yoyote
 
mkuu pole sana!nikutanie kidogo!mshua alikuwa shabiki wa timu gani uingereza na bongo?maana naona wewe unashabikia timu mpya tu,city na azam
 
Tumia sehemu ya muda wako leo kumwombea kheri huko alipo. Apumzike kwa Amani, amen!
 
mkuu pole sana!nikutanie kidogo!mshua alikuwa shabiki wa timu gani uingereza na bongo?maana naona wewe unashabikia timu mpya tu,city na azam

alikuwa anashabikia simba na liverpool ndio maana mimi nikaamua kushabikia timu za miaka yangu..

asante sana..
 
alikuwa anashabikia simba na liverpool ndio maana mimi nikaamua kushabikia timu za miaka yangu..

asante sana..

What a coincidence!

ODM ni mnazi mbwa wa Liverpool na Simba Sports. Tumempoteza mtu inteligent sana. Kuzishabikia timu hizo mbili ni lazima uwe na akili kama za kina Newton.

RIP mwekundu mwenzangu. Hatutakuangusha!
 
What a coincidence!

ODM ni mnazi mbwa wa Liverpool na Simba Sports. Tumempoteza mtu mwenye inteligent sana. Kuzishabikia timu hizo mbili ni lazima uwe na akili kama za kina Newton.

RIP mwekundu mwenzangu. Hatutakuangusha!

poleni sana kwa kumpoteza shabiki mwenzenu...
thanks sana..
 
Back
Top Bottom