Rio Paul na Ally Remtulah ni mashoga?

Status
Not open for further replies.
kuna kazi nyingine nadhani si za wanaume kuzifanya-kama hiz za modelling
 
Sasa hao wakiwa mashoga sisi hapa itatupatia faida gani kwa maendeleo ya maslahi yetu?

Kila mtu ana maisha yake na akifa ataingia kwenye kaburi lake sasa wacheni wafanye wanavyoona wao ni sawa.
 
Mostly watu wengi wanofanya kazi kwenye Fashion Industry huwa ni gays, Awe model,Designer or beautician. mmesahau kumweka MHasanali hapo
 
Sasa hao wakiwa mashoga sisi hapa itatupatia faida gani kwa maendeleo ya maslahi yetu?

Kila mtu ana maisha yake na akifa ataingia kwenye kaburi lake sasa wacheni wafanye wanavyoona wao ni sawa.

Kwan na ww una element ya ubwabwa? mbona unawadefend hawa jamaa.
 
kazi za kipuuzi kabisa hizi...hata US asilimia kubwa ya hawa watu wanafanya kazi kama hizi au saloon, ushenzi kabisa....
Kiuno chake kimelegea kwa kukatia viuno vya wanaume wenzake hebu muoneni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom