Rihanna?!? kivazi kinavaliwaje hiki?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
wenn2763349.jpg
 
Nahisi katakuwa na zipu mgongoni aiseee, manake bila hivo,
Sijui kanavaliwa je.
 
Hicho kivazi kinaitwa kinyelamumo.

Thanks mkuu, I was about to comment the same, kanyelamumo yaani maana yake jinyee humohumo ha ha ha! kwetu huwa tuna wavisha watoto wadogo wanapenda kujisaidia bila kutoa notice!
 
FL1, habari za masiku mpendwa?? Kaa vizuri basi.... Baba Askofu hapendiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom