rihana na brown wamerudiana?

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
habari zinazopatikana mitandaoni zinadai "wapenzi" hao wameanza kupeana miadi inayoashiria ujio wa kurudiana.

ikadaiwa kwamba ni ri ri ndiye aliyeanza uchokozi huo kwenye mtandao wa twita.

wa kale walisema wagombanao ndio wapatanoa! tusishangae kama hiyo sapraizi ipo kweli.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom