Ridhwani afunga ndoa!

Inshaalah Allah awafanyie wepesi na wenye macho ya HUSDA awaondoshee

I thought Ridhwani kaop[oa mwarabu kama Iddi Janguo

anyway hongera sana Ridhwani kilichobaki sasa after 5 months Arafa aanze kula udongo
 
Ni jambo la muhimu sana kulijadili hapa.

Mkapa alikuwa mtiifu sana hana rushwa alipooa Machame matokeo yake tunayaona. hadi EPA mama Mkapa kafanyiza. sifa nzuri zote za mkapa zimehabiriwa.

DR.Salmin Amour alikwenda kuoa Kilimanjaro alipomaliza tu urais akakimbiwa na mwanamke wa kichagga na kumuibia kila kitu.

Sumaye alioa mchagga matokeo yake kawa mwizi mkubwa na mrafi.
sio siri kuna maeneo ukitaka kuoa lazima ujiulize mara tatu tatu.

mikoa ya Musoma, bukoba ni mashaka. na Kilimanjaro ndio balaa.
Balali mke wake ni kilimanjaro moto mtupu.

JOSEPH SINDE WARIOBA mbona kaoa mchaga na hakuwa FISADI. huu ni mchoko
 
Wakubwa salaam aleykum

Ninawashangaa sana kuanza kujadili watoto wanaooa na kuolewa katika forum kubw akama hii.

Mimi ningekubali kushiriki mjadala huo endapo tu ningeridhika kuwa kuoana kwa Ridhiwani na Huyo binti wa kichaga kunaleta msisimko fulani wa kisiasa na kijamii. Mathalan nijiridhishe kuwa Ridhiwani akiwa kada wa CCM anamwoa binti mchaga ambaye ni kada asiyebadilika kirahisi wa CHADEMA. Au kwamba yeye kama Muislamu anamwoa mkristo tena mlokole. ..........................................

Alamsiki


Wewe huoni kuandika tu hapa tayari umekuwa ni mmoja ya watu waliojadili hii harusi, au unafikiri kaujadili ni kafanya nini????????? zaidi ya wewe kuchukua muda wako na kuandika chochote kinachohusu mada hii. Pole mkuu
 
Mtasema sanaaaaaaaaaaaaaa mwisho mtalala, KILA LA KHERI MZEE WA JAMVINI NA MKEO. NDOA MUBARAK
 
..si kazi eshaanza kula!

itakuwa too soon hebu tumpe muda kidume then tutajua by April next year mana kama muonavyo hapa bwana Iddi naye a likuwa na presha sana kwenye hilo na matunda tushayaona

iddi.jpg

Wazaramo kwa Rangi rangi tuuu...hawana mshindani but i can understand, mikorogo imepanda bei sasa ya nini kuingia gharama ili hali weupe orijino wapo?

sasa inabidi DVD zote za kihindi ziondolewe mpaka hapo bi Arafa atakapoanza kusikia kichefu chefu ama sivyo Sinema za masaa 3 zitakuwa kisingizio

Na kama mimi ningekuwa Ridhwani na kazi namwachisha kabisaa...najua wengi mtaanza kumind lakini potelea mbali haiwezekani kwenye kasri wakawepo masultani wawili

Lakini asifanye haraka maana ndugu wa upande wakike wasijemjia juu bure...Ridhwani avute time kisha amwambie kuwa kutokana na sababu za kiusalama itabidi aache kazi na awe full time mama wa nyumbani huku Mwinyi Ridhwani anakuwa kazi yake kutafuta rizki na kama in other words Arafa atakuwa hagombwi akigombwa atapewa first class ticket ya Emirates to Dubai akafanye shopping

sasa mwenye wivu akajinyonge


IMG_0553.jpg
 
Lol GT wewe mzaramo kabisa......hayo maneno kama vile nakuona unayaongea vile........na ile accent yenu
 
Yaani we bugurunikwamnyamani bado waendekeza ukabila? ulitaka akaoe mzaramo/mkwere mwenziye??........... ama kweli.
 
Nashanga hii party wazaramo wa Buguruni kwa Mnyamani walitengwa hawakualikwa kabisa licha ya kadi za mchango kupelekewa hawakupata kabisa hii fursa....inabidi kijana aangalie akawadondokee kwa kuandaa ngoma ili waburudike na wao kwani walitengwa kabisa...wakiendelea kunung'unika inaweza ikawa balaa kwa kijana wa mfalme.
 
Hongera Bi Arafa MUNGU akujaalie mtimize yale mnayotarajia. Ridhiwan hongera kwa kuamua kuachana na ukapera. Ila ndo uachane nao kikweliii
 
Hongera kidume sasa nama zote za akina mwanahawa, mwanaukuta,mwanapangu pakavu uzidiliti amasivyo uatakuwa kama baba yako mdogo.
 
Hongera Riz na Arafa. Ndoa ni njema kama heshima itakuwepo katika kila jambo, mapenzi na shughuli zenu zote. Tazama umeoa, mtu atamwacha babaye na mamaye, tazama ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. Mpende na kumheshimu mkeo maana ni mwili wako. Iliyobaki ni kuendelea kuwaheshimu baba na mama yako na ndugu zako na si kuwafanya sehemu ya maamuzi ya ndoa yako na Arafa hasa pale ambapo mnatakiwa ku solve jambo katika familia. Ndoa yako idumu, ikiwezekana na mke mmoja!!! Penzi haligawanyiki, ni uongo jamani waislam wenzangu!!!! Hakuna sababu ya kuwa na mke mdogo!!!!!Hakuna aliye mzuri kushinda Arafa!!! Big up!!! Nimemwa admire sana. She is the most beautful ndo maana ukamchagua. All ze best and forever with Arafa.
 
Ni jambo la muhimu sana kulijadili hapa.

Mkapa alikuwa mtiifu sana hana rushwa alipooa Machame matokeo yake tunayaona. hadi EPA mama Mkapa kafanyiza. sifa nzuri zote za mkapa zimehabiriwa.

DR.Salmin Amour alikwenda kuoa Kilimanjaro alipomaliza tu urais akakimbiwa na mwanamke wa kichagga na kumuibia kila kitu.

Sumaye alioa mchagga matokeo yake kawa mwizi mkubwa na mrafi.
sio siri kuna maeneo ukitaka kuoa lazima ujiulize mara tatu tatu.

mikoa ya Musoma, bukoba ni mashaka. na Kilimanjaro ndio balaa.
Balali mke wake ni kilimanjaro moto mtupu.
...Kitimbo we sio mtanzania nini?? Mikoa ya Musoma na Bukoba iko Tanzania???
 
JK alisoma hotuba huku akiwaza harusi ya Riziani. Je hii ni sababu ya kufanya Ikulu wasitoe hutuba kwa kuwa muungwana alisahau/ongeza vitu?



attachment.php



attachment.php



Kuna kabila wanapiga goti au ku-bow wanapowasalimu watu waliowazidi umri, mfano wazazi.

Huu ni utamaduni wa kabila gani jamani, wazee wanapinda mgongo kuwasalimu watoto walioketi? Nahitaji tu kujua iwapo kuna jamii hapa East Africa wanafanya hivi, na ni jamii ya watu wa wapi.

Cheers!



.
 
Kila laheri Ridhiwani, bila shaka yale mambo ya Hull utaachana nayo!! Bi Arafa hana mdogo wake jamani ? Nasaka mchumba ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom