Elections 2010 Ridhiwani Mwakikwete...?

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
821
Umoja wa wanyakyusa waishio jf

wanasikitika saaaana kwa kitendo cha baadhi ya wazee wasanii wa kinyakyusa kwa uamuzi wao wa kumsimika mtoto wa rais kuwa chief wa wanyakyusa, ili hali wakijua kabisa kuwa sio kila mnyakyusa ni mfuasi wa ccm,

kitendo hichi kimetudhalilisha saana na kuonekana wote ni wajinga kuliko watani wetu wanyaluu ambao wamemtimua huyo risiwani mwakikwete.

tunachukua nafasi hii kuwahakikishia wana jf kuwa wanyaki bado tupo mbele ktk mapambano dhidi ya chama cha mafisadi.

Hatuwaachi wana jf mikoni mitupu sisi ni wakarimu saaana.....hivyo

karibuni kyai kya lukama kya moto nkikombe kya kyuma..!

ndaga pijo na malori
 
hata mimi sikubaliani na huo mpango wa hao wasaniiiiiiii, sio wanyakyusa nino wafahamu wakafanya ujinga huooooooo, mwakyembe na nasikia katolewa mbio alipoanza kutoa sifa za JK
 
Umoja wa wanyakyusa waishio jf

wanasikitika saaaana kwa kitendo cha baadhi ya wazee wasanii wa kinyakyusa kwa uamuzi wao wa kumsimika mtoto wa rais kuwa chief wa wanyakyusa, ili hali wakijua kabisa kuwa sio kila mnyakyusa ni mfuasi wa ccm,

kitendo hichi kimetudhalilisha saana na kuonekana wote ni wajinga kuliko watani wetu wanyaluu ambao wamemtimua huyo risiwani mwakikwete.

tunachukua nafasi hii kuwahakikishia wana jf kuwa wanyaki bado tupo mbele ktk mapambano dhidi ya chama cha mafisadi.

Hatuwaachi wana jf mikoni mitupu sisi ni wakarimu saaana.....hivyo

karibuni kyai kya lukama kya moto nkikombe kya kyuma..!

ndaga pijo na malori

Mkuu you made my day.
 
Ni kweli kabisa,
Nakubaliana na mtoa hoja. wale wazee waliompa uchifu ni wasanii kwani hawana mandate ya kufanya hivyo.
Sisi wanyaky tutaendelea kupambana na mafisadi kama kawaida yetu.

Se se seee, ikyana kya risiwani, eti kiwe chifu cha wanyakyusaa, haiwesekani, buleee?
 
hahahahah...! aaseeeeeee...! mweeeeeee mweeee mweeeee..! mbombongafu
 
Itabidi Prof Mwakyusa, Mwandosya, Maj general Mwamunyange wakikutana Chifu wao lazima wainame, amasivyo radhi ya wanyakyusa itawadondokea kwa kumdharau chifu wao
 
jamani wale machifu(mafumu kwa wanyaki) ndiyo wale wa zamani waliouza nchi/raslimali zetu kwa wazungu kwa vipande vya golole.....tuwasamehe,unajua EPA inafanya kazi wale wazee wetu wananjaa sana iliyosababishwa na ccm acha nao wafaidi kidogo kwa kula keki ya taifa kila baada ya miaka mitano......hata hivyo nasikia wazee wale wako very smart na familia zao wameziambia pamoja na sisi kujipendekeza kwa kikwete kwa sababu ya njaa zetu lakini hatu wezi kuymchagua kikwete...............wamekosea na ukiongea nao wanawaomba radhi watz na wana mbeya kuwa ilikuwa njaa na wamesema hivi ungekuwa wewe unaletewa burungutu ambalo hujawahi kuliona/unasikia tu redioni mwanangu ungeliacha?... ila wanamsimao
 
Ofcourse of all the people kale katoto kakiruka njia ndo chief wa wanyakyusa?? never.. hao wazee inabidi waombe radhi kwakweli!
 
WaMwakatobe walikuwepo ktk hiyo shughuli?
Hao ndio machifu wa kinyaki. na ushifu wa kinyaki hauendi nje ya mkondo wa nasaba ya machifu wa kinyaki.

Sasa huyu RISIWANI Mwamkwete afumile kughu huyu mndumiana?

BAZAZI zake
 
Naloli ngubabula Risiwani alinamatingo fijo,onangie ba'kusi ba' kipanga. KWELI wazee wale wamefulia kimila na kitamaduni, uchifu wa kinyaki autolewi kama zawadi au kwa kufuata umaarufu wa baba yake mtu. Wazee wale wameathirika na utumwa wa kiakili uliojengwa na watawala wetu wa CCM kuwa "MBWA WA MFALME NI MFALME WA MBWA WENGINE"
 
Kinachofanyika ni usanii mtupu wa viongozi wa CCM na serikali yake mkoani Mbeya kujipendekeza kwa JK. Aliyeongoza zoezi lile ni Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Kyela, Gracewell Mwakalukwa ambaye hana hadhi ya uchief. Hata jk mwenyewe alitawazwa huo uchief na wazee wasanii akiwemo Mzee Ambangile pale kwenye daraja la Ipyana.

Wazee hawa wote wawili, Mwakalukwa na Ambangile ni vikaragosi vya RC wa Mbeya, wanaibisha sana Wanyaky.

Wanyaky wana taratibu zao katika kukabidhiana huo uchief, miongoni mwa koo za kichief huko Kyela ni pamoja na ule wa Mwakyembe, ambapo historia inaonyesha kuwa The great Mwakyembe mwenyewe ndiye alikuwa Paramount Chief wa Wanyakyusa, hivyo haiwezekani zoezi hilo kufanywa pasipo ukoo huo kuhusika na wanaye kiongozi wao ambaye hajawahi hata siku moja kuhudhuria matukio hayo ya kisanii ya kuwatawaza uchief hao wakwere!!

Kuna utaratibu unaitwa Ubusoka, hapa nadhani wenye uelewa zaidi wa hilo watatufafanulia, lakini sidhani kama hao wakwere wanakidhi kwenye huo Ubusoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom