Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

:eek2::eek2::eek2::eek2::wacko::wacko::wacko::wacko:

Sasahivi kumezuka tabia ya kupakaziana vitu,Ridhiwani kuwa na ghorofa kama hiyo sio tatizo je kama amechukua mkopo wa benki?isitoshe je ingekuwa wewe ndio mtoto wa president ungefanyaje? usingenunua gari?usingejenga nyumba? usingekuwa na miradi yako ya halali? hata angekuwa na ghorofa kumi ni sawa tu kama ni ya halali.ana fursa huyo mwacheni kama mali zake si za halali kuna siku atashitakiwa na kufungwa kwa matumizi mabaya ya madaraka ya baba yake
 
Kule kwa BHACHU Mombasa ameweka oda ya tankre trailers 200 na kusimamisha oda za wengine

insulated_tank_trailer.jpg


Source: Welcome to Bhachu Industries Ltd
sio 200 ni 2000 umekosea kidogo
 
Profesa,

Sishangai michango ya Wabongo wezangu humu JF, kwani wengine wakisahuriwa kwenda Benki kukopa ni kama umewashauri waendee kituo cha polisi, ndiyo maana hatuendelei, wenzetu kwenda Benki ndiyo kama vile kwenda Jamatini.
 
Ridhi yoko nje ya ofisi, ana ziara ya kikazi. Mtafuteni tena siku nyingine au ongeeni na msemaji wake-Kutoka kauli za viongozi wetu.
 
sio 200 ni 2000 umekosea kidogo

Wacheni uongo hayo magari na tankre ni mali yangu ngamia mzee
na yapo kenya na kuna magari mengine 200 yanamaliziwa matengenezo
China sasa jamani kuhusu hako kajumba au kabanda ni kajumba ambacho
kapo uswahilini sana wala siyo chakujadili lakini kakosea angejenga bagamoyo
kwao .

hivyo kama mnataka kuhoji kuhusu hayo magari Mimi Ngamia mzee naapa
na kukiri kwa miungu ya chama chetu ni mali yangu na hakuna wakuhoji
kwani bwana kufuatana fuatana tutawaulimboka wivu tuuuu nyiee
 
na bado.... kuna kitu imetulia pale Raskazoni Tanga, adjacent na beach inaitwa TANGA BEACH RESORT... taasisi nyingi za serikali zinaenda kufanyia mikutano pale

Mkuu mimi nimekifuatilia Tanga Beach Resort..na nimekuwa mteja wa pale kwa siku mbili tatu..Hii nchi inatakiwa mapinduzi tu tujue moja..nimechoka kuitwa Mtanzania bila kuona matunda ya Tanzania..Nashauri tusikubali tufike 2015 kabla hakijaeleweka..Je minong`ono ya malori mia kadhaa ya mizigo yaliyoletwa A to Z Arusha kuwa ni ya kwake vp? Madereva wanatafutwa wanaoweza kusafiri masafa marefu.
 
Kwani wanafanya nini huku tanzania watu matajiri kama hawa.
watu wanakosaje aibu kubwa kama hawa.
 
Wewe unataka watu walale kwenye nyumba za Tembe ndio uonekane Mtazania.

Hebu tuwe wa kweli na wawazi. Ni nani angepata nafasi aliyonayo RZ1 angefanya kosa? Na pia ni aibu kwake kama hatoitumia nafasi ya mtoto wa presidaa kujiweka vizuri.Cha muhimu ni kijana RZ1 kufanya mambo kiuhalali, na kama ni mikopo ya benki ndo inampa nguvu ya kuporomosha marosheni kila engo sioni tatizo,apige kazi isiwe tu ni hela haramu.
 
nadhani watoto wa Mwl.Nyerere wanajilaum sana, hawakutumia opportunity ya baba yao
 
na bado.... kuna kitu imetulia pale Raskazoni Tanga, adjacent na beach inaitwa TANGA BEACH RESORT... taasisi nyingi za serikali zinaenda kufanyia mikutano pale

hii ni kweli, nimeona huu m-kasri kwa macho yangu.., upo sahale, sio mbali na tanga beach
 
attachment.php

Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.

Nasikitika kuwa hutatoa nyaraka kwakuwa hutasikia kauli kwa mujibu ya andiko lako. Ulidhamiria kujitega mwenyewe au ni makosa ya kiuandishi?
 
Nyie wote hamna meno, acheni wenye meno wale vitamu! Ila inauma...!
 
Sio wivu graduate wa 2006 kwa Tz yetu si rahisi kufanya mambo hayo, si ajabu na wewe uko kwenye system ya wala nchi
 
Back
Top Bottom