Ridhiwani Kikwete mdaiwa sugu bodi ya mikopo?

salama ni mke wa ridhiwan!!!!?? Wanamsema huyu aliyepata sponsorship ya kwenda uk na watoto wa maskini kunyimwa,au macho yangu na memory yangu vimeanza mgomo?


polepole utaozesha dada na kaka yake. wote ni watoto wa JK mwandishi kalipwa ili kuongeza kashfa
 
Cjaona mantiki ya hi thread!kwan kuwa mtoto wa rais ndo kuwa na uwezo wa kulipa maden yako kwa wakati,na je ka hajapata hzo pesa anazodaiwa akaibe au?
 
Watu wana hasira na mwandishi sio kutokana na yale aliyoyasema juu ya watoto wa JK BALI ni kutokana na ukweli kuwa wao wenyewe ni wadaiwa sugu wa hii bodi. Tuach unafiki jamani, tulipe madeni kusudi wadogo na watoto wetu nao waweze kupata elimu. Muandishi ajakosea chochote katika hili, watu kama kina Rizwani ambao wamepata bahati ya kuwa na kipato kikubwa warudishe hela za walipa kodi zilizowasomesha.
 
Bodi ya mikopo ni kijiwe cha wachumia tumbo, Imagine mimi ni takriban miaka miwili sasa wanachukuwa pay yao cha ajabu nami naambiwa nijisalimishe ndani ya siku 21, yaani ni Copy and paste, wabongo hatufanyi kazi kwa moyo yaani ni full ujanja ujanja, kisha tunailaumu serikari wakati sisi wenyewe hatutimizi wajibu wetu
 
Back
Top Bottom