mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 459
Wadau nawasalimu sana.
Leo tarehe 29.11.2014 mheshimiwa sana mbunge Wa chalinze Rizione Kikwete Leo anatarajiwa kuzindua mtandao Wa maendeleo ya vijana Meru.
Mosi anatarajiwa kuwasili Leo kuanzia SAA Tatu asubuhi na kufikia ngurudoto na kisa kufikia viwanja vya shule ya Msingi Leganga kwa kufanya harambee ya kukata shoka kwa kuwawezesha vijana Wa Meru kubuni na kuanzisha miradi mbalimbali kwa ajili ya kuwapatia vijana ajira na kujiongezea kipato. Rizione kikwete atakata utepe pia kwenye Saccos ya vijana hao iliyopo kwenye jengo la Meru community bank.
Makampuni binafsi na taasisi binafsi wamealikwa kama vile Mathias manga, Papa king, kili flora flour ,Ole Sendeka, lazaro Nyalandu, John D. Pallangyo kamanda wa vijana meru n.k idadi ni kubwa sana.
Karibuni wote kwa kuhudhuria haswa vijana Wa meru . Nami nitakuwepo nimealikwa . Joshua nasary amealikwa pia ..
Nawasilisha .nitazidi kuwa update