Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

Nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafu huyu, fisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii huyu.Hivi Mkapa, Mwinyi, Warioba na Nyerere hawakuwa na watoto, mbona huyu Riz 1 anakipele sana huyu pumbaaaaaaaaaaaaafu, anafikiri hii nchi ni ya kifalme? Huo wote ni uoga maana CHADEMA wakiingia madarakani watamulika ufisadi wake ambao anaufanya mikoani, juzi ndio kmaliza shule ati anamiliki jengo lenye gorofa 10 kule moro na mengine mengi.Hicho kipele chake CHADEMA watakikuna tu ngoja.
 
Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.

Mara nimekuwa nikiiona kwa nje wakati napita tu! Mara JK kama sehemu zote anazokwenda wananchi upewa taarifa. Mbona akienda kule Mbweni kwenye maghorofa yake mawaili huwa hatuambiwi?
 
Anatakiwa achukue ile barua iliyosainiwa na M. W. KABWE - msimamizi wa uchaguzi mwanza halafu atuambie yaliyoandikwa humu lipi kweli lipi la uongo.







" .... wao wana pesa, sisi tuna Mungu .." (Godbless Lema, MB)
 
mbona watoto wa mkapa hatukuwasikia kwenye kampeni hawa wakwere vp tena tangu lini familia nzima ikaingia kwenye kampen na kutumia hela ambazo hazina auditing. haka katoto wapambe njaa wa ccm ndo wanampa kichwa kama yeye mjuaji mbona hatukumsikia kabla baba yake hajawa rais.
 
Jamaa ni kama wanamuona Celeb but as for me he is as a nobody as he does not exist!
 
chungwa huzaa chungwa......the same thing to limao
hana jipya huyo bado mtoto sana tena kilaza sana ...
 
hv huyu ridhwan ni nani? who the hell is this click? na anaingiaingiaje kwenye issues za great thinkerz? mi namwona km vile mcheza kiduku, asijedhan kuwa ana umaarufu wowote.
sio kama mcheza kiduku......yeye na bab yake wote ni wacheza kiduku.
 
kwani yeye ni nani hata asimame na kuona anaweza chafuliwa ua kusafiswa hii sio nchi ya kifalme
 
Nasema hivi wakumbuke yaliyowapata watoto wa Sadam Husein Bw. Uday na mdogo wake Qusay pia kama vipi wakumbuke yaliyowakuta wanafamilia wa Roaminia enzi za Nicoalae Ceausescu
 
Kama Mfumo huu wa Kifalme hauto ondolewa haraka, miaka ya usoni wafuatao ni lazma watakuwa marais wa nchi hii kwa vigezo vya wazazi wao.
....Husein Mwinyi
....January Makamba
....Ridhiwani Kikwete
....na wengine watajulikana kadri wanavyoendelea kukuwa.
 
huyu mtoto ni kichaa kweli kweli akimchukia mtu utapata uongozi wowote hata ukishindania demu pamoja ujue kazi una, angalia bashe na masauni
 
haka kajamaa nakachukia mpaka basi. i wish i cud **** siku si nyingi tutasikia tu, awajui watoto wa mjini huyu.....
 
Kama Mfumo huu wa Kifalme hauto ondolewa haraka, miaka ya usoni wafuatao ni lazma watakuwa marais wa nchi hii kwa vigezo vya wazazi wao.
....Husein Mwinyi
....January Makamba
....Ridhiwani Kikwete
....na wengine watajulikana kadri wanavyoendelea kukuwa.

Kaka hao wengine hawajawa na kihere here kama huyu mpuuz
 
Huyu Jamaa naona Obesity inampeleka vibaya,huu utapiamlo wa ukubwani namshahuri Baba yake ampeleke kwa Sangoma Sheh Yahya coz hili gonjwa limeingia hadi kuhead kwake thats Y anaropoka ka anko wake Makamba.
 
Kama mnamjua vizuri huyo kijana huna haja ya kubishana nae wala nini..like father like son, yaani kilaza mwanzo mwisho! Sasa baada ya kupata kazi kwenye kampeni ya familia sasa nae ashajiona wa calliber ya kuchafuliwa na Dr Slaa!
 
hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya kuchafuliwa tena ni aibu kwa mtu mzima kama ridhiwani kuendelea kumtegemea mzazi wake namaanisha kuwa tegemezi je huo nao ni usafi! naam habari za uchakachuaji matokeo zilishatolewa awali na source za kuaminika naye ridhiwani na nduguye khalifani walihusishwa (ofisi zao zikiwapo upanga) by then hawajawahi kukanusha kuhusika kwao! mawazo haya yanatokana na ripoti aliyoitoa leo mgombea urais dr slaa akimhusisha na uchakachuaji wa matokeo

Ni mwana Mfalme i.e Ridhwani Jakaya Mrisho Kikwete wa II wa ufalme wa Tanganyika ulio na makao makuu yake huko Msoga Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom