Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

Ikiwa ni hivyo huyu Lulu hajala tawi langu tu. Ngoja atoke mahabusu, inaonesha ana asali ya kipekee.

Kila siku, mara Komba, mara Nunda, mara Rizwan, nashangaa Mbowe hajatajwa mpaka sasa.

Mkuu Mbowe kakufanyaje wewe maana kila post yako lazima ummtaje hata ukichangia kwenye MMU.
 
Bwana Lusambo ni mtu mwenye busara lakini leo busara zako zote zimelowa na mchuzi wa kahawa, habari kama hizi za umbea huwa zinapelekwa kwa mama ntilie au wanakochoma vitumbua sio hapa jamvini for Great Thinkers. Tafadhali usirudie tena utumbo huu leo tunakustahi.
 
Mkuu Mbowe kakufanyaje wewe maana kila post yako lazima ummtaje hata ukichangia kwenye MMU.

Hapa upo MMU? ananikera sana kuharibu vijana wa Kitanzania kwa kuwawekea kilabu cha usiku kilichoshamiri makahaba wa kike na kiume halafu anajidai ni kiongozi.
 
ni muislam ana haki ya kuwa na mahawara wanne

FYI uislam hauhalalishi mtu kuishi na makahaba/mahawara, na adhabu yake kama una mke basi upigwe mawe mpaka ufe, na kama hujaoa upigwe bakora 100 katika hadhara ya watu na utangaziwe kama wewe umezini! Ukome tena kukashif dini, uislam umeweka njia ya halali kuoa wake wanne, kama huna uwezo mmoja tu, ni vema mumeo akaoa kuliko kuwa anatembea na makahaba nje kama afanyavyo mumeo/bf wako. Ushazoea kuishi na mpenzi akakutest kwanza, ukafanya nae ngono, akakupa mtoto kisha baadae ndo mkafunga ndoa, dini gani ilofundisha ivo? Sifikiri kama uyahudi na ukiristo ndo unavotaka ivo!
 
wee ndo makalio kweli usifananishe uislam na upumbavu wako

mary ameonekana kakosea kusema vile japo anaonekana alitaka kumaanisha vingine akashindwa! sasa una mtukana nani mwenye makosa sasa? kati ya wewe na mary!
nilidhani utampa ushauri ili asirudie kumbe we unaendekeza matusi ukizani ni solution,kumbe sio! mwisho me nimeona wanaotukana ndio wanakosea zaidi! Amani kwako!
 
FYI uislam hauhalalishi mtu kuishi na makahaba/mahawara, na adhabu yake kama una mke basi upigwe mawe mpaka ufe, na kama hujaoa upigwe bakora 100 katika hadhara ya watu na utangaziwe kama wewe umezini! Ukome tena kukashif dini, uislam umeweka njia ya halali kuoa wake wanne, kama huna uwezo mmoja tu, ni vema mumeo akaoa kuliko kuwa anatembea na makahaba nje kama afanyavyo mumeo/bf wako. Ushazoea kuishi na mpenzi akakutest kwanza, ukafanya nae ngono, akakupa mtoto kisha baadae ndo mkafunga ndoa, dini gani ilofundisha ivo? Sifikiri kama uyahudi na ukiristo ndo unavotaka ivo!
Hivi hapa Tz ulishaona nani kapigwa mawe au bakora kama unavyojisifia hapo? Au haijawahi kutokea Waislamu wakawa na makahaba/mahawara nchi hii? Na kama sio kuhalalisha uzinzi tu kwa kupitia mlango wa nyuma, iweje mwanaume mmoja aruhusiwe kuwa na wake wanne? Je, wanawake wa Kiislamu mbona nao hawaruhusiwi kuwa na wanaume wengi? Dini zingine bwana, kazi kweli kweli!
 
riz one, riz 1, riz moko, huyu jamaa mbna kama hii nchi kaigeuza Mwembe tena wa uwani, anajichumia tuu, wakati wowote atakao!
 
ni muislam ana haki ya kuwa na mahawara wanne

bora ya hayoooo! kuliko kujifanya padri huowi kumbe unalawiti watoto sundy school. wakristo waambieni mapadri waowo la sivyo watoto wenu wataendelea kua mashoga.

hili. ndilo jibu linalokufaa enheeee. teh teh
 
Kadiri ya viambatanisho vya habari hii ambavyo mtoa mada amefanya attachment, kuna wingu zito linaloonekana kutanda kifo cha Kanumba kumhusisha mtoto wa kigogo serikalini kutokana na kuonekana mawasiliano ya simu kati ya Lulu na kijana huyo anayesemakana alimnunulia gari Lulu.

Nisingekubaliana na wanaopinga habari hizi kuendelea kusizoma kwa vile jambo la kifo si la kupata undani kwa siku moja, huchukua muda kuchukua vipeperushi kadhaa na wahusika kadiri hali inavyozidi kupoa mengi hujitokeza. Na sasa mtajwa katika mada hii ameonekana kutajwa katika vyombo vingine vya habari na haja kudokezwa kwa mbali na moja siku za awali katika mtandao huu wa JF.

Mara moja nilipokuwa masomoni nchini Marekani, tukiwa na rafiki yangu mzungu ambaye alikuwa na gf mtanzania wa asili ya Kando ya mlima mrefu barani Afrika, ambaye tulijumuika pamoja park kujipumzisha na kula lunch, kijana yule mzungu ambaye baadaye aliitwa kando kuongea na kakake mambo ya kifamilia, yule dada mtanzania aliniambia kwake kuhusiana na watu mbalimbali si jambo geni kwa vile alipokuwa anasoma Tambaza Highschool alizoea kuchukuliwa na magari ya Ikulu ambayo yana vioo visivyoonyesha mtu ndani na kupelekwa kujinafsi na mtoto wa Mkuu wa nchi wa awamu iliyomtangulia Mkulu wa sasa. Mtoto wa Mkulu huyo hakuna mwenyewe kumchukua ila wapambe na watumishi wa Ikulu ndio waliokuwa wanafanya kazi hiyo. Sikuonyesha kushtuka sana hilo nisionekane mshamba, ila tu kwa ustaarabu wangu nikaanza topic nyingine kwani sikupendelea aendelee kuongelea haya kwani ni mambo yake binafsi yasiyonihusu.

Kwa vyo vyote wenye nafasi hutumia uwezo wao kuwarubuni wasichana kwa vile nafasi, uwezo na mazingira yanawafanya wasichana wawapaparikie. Na mwenzangu mimi Marehemu Kanumba sidhani kama alifikia uwezo wa kumnunulia gari Lulu, hivyo mwenye nafasi alikuwa na nguvu zaidi kwa sababu ya pesa si penzi. Matokea yake kuzidi kumng'ang'ania asiyekuwa na malengo ya kweli kimapenzi yamehitimisha kukatisha maisha wakati familia, taifa na ulimwengu bado unamhitajir msanii guli.
 
Hivi hapa Tz ulishaona nani kapigwa mawe au bakora kama unavyojisifia hapo? Au haijawahi kutokea Waislamu wakawa na makahaba/mahawara nchi hii? Na kama sio kuhalalisha uzinzi tu kwa kupitia mlango wa nyuma, iweje mwanaume mmoja aruhusiwe kuwa na wake wanne? Je, wanawake wa Kiislamu mbona nao hawaruhusiwi kuwa na wanaume wengi? Dini zingine bwana, kazi kweli kweli!

Mama yako angekuwa na waume wanne ungemjua baba yako??:mad2:
 
Uwe na adabu unapopost vitu vinavyohusu imani za watu...This is shame...kama hujui uliza...uislam ndo dini pekee inayotoa adhabu kali kwa watu wanaoendekeza mahawara...

wee shwain acha kujoke iman za watu! Kama huna la kupost be cul!
 
thijui ndo ile wadhungu wanathemaga "laiki faza like sani"??!!!
 
Wee mary acha ushwain kama unamtaka r1 mtokezee kama vipi
cyo kumponda kwa ku2mia imani za w2 wengine
shwayn!
 
Bwana Lusambo ni mtu mwenye busara lakini leo busara zako zote zimelowa na mchuzi wa kahawa, habari kama hizi za umbea huwa zinapelekwa kwa mama ntilie au wanakochoma vitumbua sio hapa jamvini for Great Thinkers. Tafadhali usirudie tena utumbo huu leo tunakustahi.
Soma kwanza attachment zangu ndipo utakapo gundua hekima ipo kwa nani vinginevyo hujui taifa linakwenda wapi?
Je, Umeona Mawaziri wako walivyo???
 
Back
Top Bottom