Ridhiwani Kikwete anatajwa kufadhili manunuzi ya gari la Lulu !!!

Harakati za kuzuia Ukimwi zimekwama viongozi wetu wanakimbizwa India na mawaziri wanajilimbizia mali , hawana mipango ya kuendeleza nchi kwani wanajua ni wagonjwa Tusipochukua hatua tutakwisha. Waziri Malima ameibiwa na kahaba anagalieni huu Msiba wa Kukwete hapa!!!!!!!!!!!!!1

314451_10150330985352740_729142739_8247587_1719950859_n.jpg

Jakaya Kikwete Kairisha safari zote baada ya kupata taarifa za Msiba wa Kanumba!!!
[h=2]Sunday, April 08, 2012[/h] [h=3]JK Aomboleza Msiba Wa Steven Kanumba[/h]
Nyumbani kwa marehemu, Sinza Vatican. Picha Zote: Ikulu
Reactions::

. Sunday, April 08, 2012

[h=4]32 comments:[/h]
blank.gif

Anonymous said... Too much of Kikwete. Anatafuta umaarufu uchwara. Who was Kanumba in Tanzania kama siyo kukuza mambo?
Sun Apr 08, 07:39:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... huyu ni muungwana ndio maana anakuja kutoa pole km umarufu basi yeye ni maarafu hata rais Obama wa marekani anamjua kikwete. dini yake inamruhusu kuhudhulia msiba na kuzikana japo aliyekufa ni naswara tatizo lenu watanzania mnapenda kupelekwa km punda km alivyofanya benjamin wewe inakuuma nini kikwete kwenda msibani
Sun Apr 08, 09:16:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Amehudhuria kama mwanadamu wa kawaida.. Maraisi hawaziki? Hawana urafiki na watu wa chini yao? Aisee sometimes tupunguze kuropoka
Sun Apr 08, 09:50:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Mtu yeyote au rafiki wa kweli ni wakati shida tutambue kuwa rais ni mlezi wa kila mtu kwa hiyo anastahili kudhuria kama anapata muda. Hongera JK kwa kujali watu wako.
Sun Apr 08, 10:16:00 PM EAT
blank.gif

Anna mhagama said... Nimeipenda hyo,huu ndo uungwana,big up kwa raisi we2
Sun Apr 08, 10:21:00 PM EAT
blank.gif

kichowe famaki said said... Big up JK wasikutishe na maneno yao wewe songambele kamani umaarufu tiari unao aseme jingine
Sun Apr 08, 10:51:00 PM EAT
blank.gif

kichowe famaki said said... mmmmmm no comment
Sun Apr 08, 10:53:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Mtoa maoni wa Sun Apr 08, 07:39:00 PM EAT inaonyesha ana roho mbaya na wivu.

anata afe yeye, ndio rais aende.

yaani huyu mtu hafai hata kupewa ubalozi wa nyumba kumi. mbinafsi mno. Anamuonea wivu mpaka marehemu.

mnyagatwa , USA
Mon Apr 09, 12:42:00 AM EAT
inno said... hongera rais kwa huonesha kujali mchango wa wasanii huyo anesema anatafuta umaarufu hajitambui
Mon Apr 09, 01:09:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... he was respresenting our country bana aliyeuliza who is kanumba mseng.....we kanumba ulikuwa humjui kum...mako wee au ndo unatafuta umarufu kuwa rais huo ni umarufu usiropoke tu ukasema who is kanuma ....nina wee!
Mon Apr 09, 01:32:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... HILO JAMAA LA JUU ALIEMPONDA RAIS KWENDA MSIBANI KAMA SI TAAHIRA BASI JUNYA. WEWE UKO DUNIA GANI KWANZA BAGUZI HALAFU HALINA AKILI. ANASEMA KANUMBA NANI NCHI HII. WEWE ANGALIA VIONGOZI WA JUU WA NCHI ZILIZO ENDELEA WANAVOJALI WATU WAO BILA KUJALI NANI NA ANAUWEZO KIASIGANI. WEWE UMEIFANYIA NINI NCHI HII. PUMBAFU MKUBWA WEEE. RAIS WETU ASILI YAKE MUUNGWANA. RAIS TIMIZA WAJIBU WAKO.
Mon Apr 09, 01:47:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... Wewe anon: Sun Apr 08, 07:39:00 PM EAT

Kwanza nikujibu, JK hatafuti umaarufu kwa mtu yoyote yeye ni maarufu ndio maana umemtamabua kupita watu wote waliohudhuria, na katumbulika kwa vile ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano Watanzania, unasemaje kuhusu hilo? Na akigombea tena tutampa vile vile, katiba tu haimruhusu lakini ridhaa yetu anayo.
La pili nikufahamishe, imeelezwa katika dini kuwa ni thawabu kuhudhuria msiba kama uko hapo karibu, ikiwa unamjua au humjui mtu yule, kwa desturi haswa za kipwani na kiungwana kwa ujumla, kama mmeketi barazani na maiti inapita basi ni wajibu wanaume kuinuka na kuisindikiza maiti ile hadi makaburini kwa wenye kuweza lakini kama sivyo basi hata kuligusa janaiza na kutamka jina la mwenyezi mungu ni sunaa, na kama si islam maiti ikipita kwenye gari inatosha kusema ‘innah lillahi wa inna illahi rajaun', (kwake tumetoka na kwake tutarejea). Huo ndio ungwana na ubinadamu.
Turudi kuwa Kanumba ni nani, Mwenzi Mungu amuondeshe adhabu ya kaburi inshallah, alikuwa ni msanii wa kaliba ya juu, alikuwa ni kijana mwenye kuhamasisha vijana wenziwe kujiendeleza kimaisha katika Nyanja mbali mbali, mimi binafsi nilipata kumfahamu kwa karibu, kwa hivyo alikuwa na umaarufu wa kuheshimika. Sasa wewe unaposema kuwa kwani Kanumba alikuwa nani sielewi kuwa unaishi dunia gani, maana hata sisi tulio-ughaibuni tumesoma habari zake toka sehemu mbali mbali za dunia. Kunumba hakuwa msanii wa kuhamasisha vijana kijiweni kufanya fujo na kuvuruga usalama na sheria za nchi(labda ndio maana humfahamu), hakutafuta umaarufi wa kijinga toka kwa waendesha mapiki piki wale wapendao fujo, lakini leo yuko mbele ya haki sina haja ya kusema mengi bali angaliwa umati uliomwagika hapo. Na angejaaliwa kuingia kwenye siasa kama alivyokuwa amedhamiria yeye mwenyewe, nina imani angaingia kwenye chama adilifu na angekuwa muadilifu……………..siasa bila fujo, na maisha bora kwa kila Mtanzania bado inawezekana……….vijana igeni mfano wa Kanumba awe chachu kwenu ya maendeleo.
Mon Apr 09, 02:17:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... Duuh, huyo juhaa kalulu hapo juu ni nani huyo alieandkika pumba, hivi kwenda kumzika mtu ni kutafuta umaarufu? Na hao watu wao wanaokwenda misibani na magwanda yao kama mamluki wanakwenda kutafuta umaarufu? Afadhali uwe maarufu wa kuzika watu kuliko uwe maarufu kwa kupora wake za watu!!!
Mon Apr 09, 05:55:00 AM EAT
Martin said... kikwete,umefanya kweli.thanks 4 showing care and support 2our fellow TANZANIAN.
Mon Apr 09, 08:19:00 AM EAT
Unknown said... kikwete umefanya kweli.thanks for showing care and support to our fellow TANZANIAN.
Mon Apr 09, 08:21:00 AM EAT
wakwetubongo said... wewe jamaa wajuu hapo nikibunzi hakuna shaka
Mon Apr 09, 09:01:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... wewe uliyeandika naswara pumba tupu kichwani hizi dini zilikuja kutapumbaza naswara ndio nini?
Mon Apr 09, 10:21:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... kama wewe ni mtanzania u will understand kuwa msiba hauna mwenzio...kikwete went there as a fellow human but wewe ndiye unamuona kama anauza sura cz hujui kuthamini
Mon Apr 09, 10:22:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... Naswara ni wakristo kama ilivyoandikwa kwenye kitabu kitukufu cha Quran. Kwani manasara wao pia walipewa kitabu na wanajulikana kama watu wa kitabu kama wayahudi. Wewe unaemsema mwenzio pumba tupu kichwani, ungegoogle kidogo tu hilo neno ungejua kuwa mwenzio ametumia neno la kiheshima kuwataja wakristo ambao kabla Yesu hajaondoka hapa duniani walikuwa wanajulikana kama manasara. Hili neno christians limetungwa na Waroma baada ya Yesu. Na naswara yaweza kuwa na maana ya nusra je kuna ubaya gani hapo? Jifunzeni kwanza mumjue Yesu mwenyewe na yeye na wafuasi wake walikuwa wakiitwaje kabla ya kuondoka kwake.
Mon Apr 09, 11:09:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... UUNWANA NI VITENDO NDG ZNG,KIONGOZI BORA NI YULE AMBAYE ANAYEJUWA KUWA KTK MAISHA KUNA KITU KINACHOITWA MATATIZO NA AKAYAPOKEA KWAKUUNGANA NA WATU WAKE KTK KIPINDI CHOTE CHA TATIZO HUSIKA,PIA KWA YY KUHUDHURIA MAZIKO YOYOTE YALE NI NATURAL JUSTICE YAKE,KWANI MARAIS WALOPITA HAWAKUHUDHURIA KTK MAZIKO YA WANANCHI WAO WA KAWAIDA?JE KUNA UBAYA GANI KUHUDHURIA MAZISHI YA MTU KAMA HUYU AMBAYE AMEIWAKILISHA NCHI YETU KTK NCHI NYINGI TU?HEBU TUACHE KUINGIZA SIASA KTK SEHEMU SI ZAKE JAMANI.
Mon Apr 09, 11:54:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... yuo guY, kikwete went there as a fellow human what's wrong? are you craZY? ULITAKA UFE WEWE NDIO KIKWETE AJE? ACHA ROHO MBAYA. MALIPO NI HAPAHAPA DUNIAN, UNAJUA SIKU YAKO YAKUFA.?NA JE WAJUA ATAKAYEKUZIKA NI NANI?WAMWONEA MAREHEMU WIVU, STUPID Unauliza Who was Kanumba, ulikuwa humjui kanumba ni nani, hata mtoto mdogo wa miaka mitatu ukimuuliza who was Kanumba atakujibu.huna haya wala hujui vibaya? au ulikuwa una bifu na marehemu? Nakusihi uache KUROPOKA. PUNGUZA MDOMO KWANI SOME TIME UNAPONZA.NON SENSE.
Mon Apr 09, 01:18:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Wewe se--ge tena wakutupwa wewe maiti yako italiwa na mbwa mwitu utakufa kihoro roho mbaya tu.
Mon Apr 09, 02:10:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Kaniudhi nataman ningemjua jaman,kuna watu hawana upeo kama huyo ****** hapo juu? Kanumba ni mtu wa watu labda ww una chuki binafsi ni dhambi kumchukia mtu lakin ww nimekuchukia frm my heart,Rais ni cheo kuna ubaya kwenda kwenye msiba wa Kanumba? Malope yule mwimbaj wa south africa jana alisimama akamuombea kanumba naye anajipendekeza? **** ww
Mon Apr 09, 02:11:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... huyu bwana anataka kumpoteza Kikwete bure uraisi siku hizi ni miaka kumi tu hapa na maisha na mahusiano ya mtu ni maisha yote. asisahau Kikwete mtu wa watu pengine huyu jamaa hamjui kabisa Kikwete.
Mon Apr 09, 05:22:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Rest in peace bro.KANUMBA,
Naamini umetimiza ulotakiwa timiza katika dunia hii.Real, umetuonyesha thamani ya kuitwa wutu.Changamoto kutoka ZERO to HERO, ukituaminisha yakuwa maishani no one gonna hv ur back,ukitafuta kwa imani na juhudi mafanikio yapo.KWELI naamini yawezekana ulitereza,ila kwa mwanadamu awayeyote kukosea ni lazima.Namini ulitenda mengi mema kuliko maovu, asiyeamini shauriyake.Umetangulia,tunakufuata.THE ONE WHO GIVES,IS THE ONE TAKES
Tue Apr 10, 01:32:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... hamna lolote nyie wachangiaji!! Wangapi wanakufa, huyo raisi wenu anaenda kuhudhuria?? Inaonyesha Kikwete hana kazi za kufanya, kazi yake ni kuuza sura tuu.
Tue Apr 10, 12:00:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... lfike mahali Tanzania itoe adhabu kali kwa watu wote wenye "umaskini wa mawazo" hii ndiyo sababu mataifa mengi ya kiafrika hatusongi mbele. Tumeegemea nguzo chakavu za fitna, wivu, lawama na uzembe. Tatizo kubwa hupuuzwa na dogo kutiliwa maanani. Jamani hivi Rais kuudhuria msiba tena wa Mtanzania mwenzetu kuna ubaya gani? Ni elimu ipi inayoelezea kwamba Rais si mtu wa kawaida? Hata wachawi wana utu. Tuache majungu na fitna kwa manufaa yetu binafsi na ya nchi kwa ujumla. Damu ya Rais wetu ni nyekundu na siyo kijani. Rest in pease Kanumba. You were real among The Great in our nation. Also big up to Mr. President for such humanity. GHYNWINE
Tue Apr 10, 12:38:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Naaaaaaaaaaaaaam,bila shaka atajirekebisha huyu asiyekuwa na utu.Maana watanzania mmejitahidi kumrudisha kundini. mungu ampe raha ya milele Bro wetu Steven Kanumba.
Nakumbuka maneno ya kaka kwenye Dar to Lagos THIS FOOD IS TOO MUCH PILIPILI BANA
Tue Apr 10, 01:28:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... HUYU ASIYEJUA MSIBA NI SHETANI WA KUTUPWA MAANA HAJUI UTU. PRESIDENT NI BINADAMU KAMA WENGINE. HUYO MPUMBAVU AMWACHE KANUMBA APUMZIKE NA YEYE ABAKI NA SHIDA ZAKE, UJINGA NA UMBUMBU WAKE.
Tue Apr 10, 05:47:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... watu hawana ustaarabu ni kama wako dunia isiyo kuwa na mungu, unaona rais kwenda kutoa pole msibani imekukwaza huna hata aibu we ni zaidi ya mwendawazimu nimekudharau maisha yangu yote japo sikujuui, imagine ule msiba ungekuwa nyumbani kwenu na hisi ungefukuza watu mana huna ubinadamu wewe looh , kweenda hufai tanzania hii .
Tue Apr 10, 06:11:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... kweli yule ni kafiri,naswara,najis hajatwaharika haipasi muslims kuhudhuria mazishi yake kwani yeye alikana dini ya moja Uislam na akamfanya Allah kuwa na mshirika. ninyi waislam mna comment hamna akili mkasome kwanza nini mnatakiwa kujua kwenye dini yenu na mtakufa na kuulizwa kwa upuuzi huu mnaoandika. hata dini zenu hamjui kisha mnafunua vinywa vimejaa harufu lo............ Alikufa Mtume wa Allah na vipenzi wengine wa Allah ijekuwa mimi au manumba? kalaleni ninyi matahira!
Tue Apr 10, 08:54:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... pumbavu xana huyo mtu tenaa bonge la bwabwa kama msiba haujamgusa bc akalale mbele huko.....mjinga mmoja huyo
 
Harakati za kuzuia Ukimwi zimekwama viongozi wetu wanakimbizwa India na mawaziri wanajilimbizia mali , hawana mipango ya kuendeleza nchi kwani wanajua ni wagonjwa Tusipochukua hatua tutakwisha. Waziri Malima ameibiwa na kahaba anagalieni huu Msiba wa Kukwete hapa!!!!!!!!!!!!!1

314451_10150330985352740_729142739_8247587_1719950859_n.jpg

Jakaya Kikwete Kairisha safari zote baada ya kupata taarifa za Msiba wa Kanumba!!!
[h=2]Sunday, April 08, 2012[/h] [h=3]JK Aomboleza Msiba Wa Steven Kanumba[/h]
Nyumbani kwa marehemu, Sinza Vatican. Picha Zote: Ikulu
Reactions::

. Sunday, April 08, 2012

[h=4]32 comments:[/h]
blank.gif

Anonymous said... Too much of Kikwete. Anatafuta umaarufu uchwara. Who was Kanumba in Tanzania kama siyo kukuza mambo?
Sun Apr 08, 07:39:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... huyu ni muungwana ndio maana anakuja kutoa pole km umarufu basi yeye ni maarafu hata rais Obama wa marekani anamjua kikwete. dini yake inamruhusu kuhudhulia msiba na kuzikana japo aliyekufa ni naswara tatizo lenu watanzania mnapenda kupelekwa km punda km alivyofanya benjamin wewe inakuuma nini kikwete kwenda msibani
Sun Apr 08, 09:16:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Amehudhuria kama mwanadamu wa kawaida.. Maraisi hawaziki? Hawana urafiki na watu wa chini yao? Aisee sometimes tupunguze kuropoka
Sun Apr 08, 09:50:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Mtu yeyote au rafiki wa kweli ni wakati shida tutambue kuwa rais ni mlezi wa kila mtu kwa hiyo anastahili kudhuria kama anapata muda. Hongera JK kwa kujali watu wako.
Sun Apr 08, 10:16:00 PM EAT
blank.gif

Anna mhagama said... Nimeipenda hyo,huu ndo uungwana,big up kwa raisi we2
Sun Apr 08, 10:21:00 PM EAT
blank.gif

kichowe famaki said said... Big up JK wasikutishe na maneno yao wewe songambele kamani umaarufu tiari unao aseme jingine
Sun Apr 08, 10:51:00 PM EAT
blank.gif

kichowe famaki said said... mmmmmm no comment
Sun Apr 08, 10:53:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Mtoa maoni wa Sun Apr 08, 07:39:00 PM EAT inaonyesha ana roho mbaya na wivu.

anata afe yeye, ndio rais aende.

yaani huyu mtu hafai hata kupewa ubalozi wa nyumba kumi. mbinafsi mno. Anamuonea wivu mpaka marehemu.

mnyagatwa , USA
Mon Apr 09, 12:42:00 AM EAT
inno said... hongera rais kwa huonesha kujali mchango wa wasanii huyo anesema anatafuta umaarufu hajitambui
Mon Apr 09, 01:09:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... he was respresenting our country bana aliyeuliza who is kanumba mseng.....we kanumba ulikuwa humjui kum...mako wee au ndo unatafuta umarufu kuwa rais huo ni umarufu usiropoke tu ukasema who is kanuma ....nina wee!
Mon Apr 09, 01:32:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... HILO JAMAA LA JUU ALIEMPONDA RAIS KWENDA MSIBANI KAMA SI TAAHIRA BASI JUNYA. WEWE UKO DUNIA GANI KWANZA BAGUZI HALAFU HALINA AKILI. ANASEMA KANUMBA NANI NCHI HII. WEWE ANGALIA VIONGOZI WA JUU WA NCHI ZILIZO ENDELEA WANAVOJALI WATU WAO BILA KUJALI NANI NA ANAUWEZO KIASIGANI. WEWE UMEIFANYIA NINI NCHI HII. PUMBAFU MKUBWA WEEE. RAIS WETU ASILI YAKE MUUNGWANA. RAIS TIMIZA WAJIBU WAKO.
Mon Apr 09, 01:47:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... Wewe anon: Sun Apr 08, 07:39:00 PM EAT

Kwanza nikujibu, JK hatafuti umaarufu kwa mtu yoyote yeye ni maarufu ndio maana umemtamabua kupita watu wote waliohudhuria, na katumbulika kwa vile ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano Watanzania, unasemaje kuhusu hilo? Na akigombea tena tutampa vile vile, katiba tu haimruhusu lakini ridhaa yetu anayo.
La pili nikufahamishe, imeelezwa katika dini kuwa ni thawabu kuhudhuria msiba kama uko hapo karibu, ikiwa unamjua au humjui mtu yule, kwa desturi haswa za kipwani na kiungwana kwa ujumla, kama mmeketi barazani na maiti inapita basi ni wajibu wanaume kuinuka na kuisindikiza maiti ile hadi makaburini kwa wenye kuweza lakini kama sivyo basi hata kuligusa janaiza na kutamka jina la mwenyezi mungu ni sunaa, na kama si islam maiti ikipita kwenye gari inatosha kusema ‘innah lillahi wa inna illahi rajaun’, (kwake tumetoka na kwake tutarejea). Huo ndio ungwana na ubinadamu.
Turudi kuwa Kanumba ni nani, Mwenzi Mungu amuondeshe adhabu ya kaburi inshallah, alikuwa ni msanii wa kaliba ya juu, alikuwa ni kijana mwenye kuhamasisha vijana wenziwe kujiendeleza kimaisha katika Nyanja mbali mbali, mimi binafsi nilipata kumfahamu kwa karibu, kwa hivyo alikuwa na umaarufu wa kuheshimika. Sasa wewe unaposema kuwa kwani Kanumba alikuwa nani sielewi kuwa unaishi dunia gani, maana hata sisi tulio-ughaibuni tumesoma habari zake toka sehemu mbali mbali za dunia. Kunumba hakuwa msanii wa kuhamasisha vijana kijiweni kufanya fujo na kuvuruga usalama na sheria za nchi(labda ndio maana humfahamu), hakutafuta umaarufi wa kijinga toka kwa waendesha mapiki piki wale wapendao fujo, lakini leo yuko mbele ya haki sina haja ya kusema mengi bali angaliwa umati uliomwagika hapo. Na angejaaliwa kuingia kwenye siasa kama alivyokuwa amedhamiria yeye mwenyewe, nina imani angaingia kwenye chama adilifu na angekuwa muadilifu……………..siasa bila fujo, na maisha bora kwa kila Mtanzania bado inawezekana……….vijana igeni mfano wa Kanumba awe chachu kwenu ya maendeleo.
Mon Apr 09, 02:17:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... Duuh, huyo juhaa kalulu hapo juu ni nani huyo alieandkika pumba, hivi kwenda kumzika mtu ni kutafuta umaarufu? Na hao watu wao wanaokwenda misibani na magwanda yao kama mamluki wanakwenda kutafuta umaarufu? Afadhali uwe maarufu wa kuzika watu kuliko uwe maarufu kwa kupora wake za watu!!!
Mon Apr 09, 05:55:00 AM EAT
Martin said... kikwete,umefanya kweli.thanks 4 showing care and support 2our fellow TANZANIAN.
Mon Apr 09, 08:19:00 AM EAT
Unknown said... kikwete umefanya kweli.thanks for showing care and support to our fellow TANZANIAN.
Mon Apr 09, 08:21:00 AM EAT
wakwetubongo said... wewe jamaa wajuu hapo nikibunzi hakuna shaka
Mon Apr 09, 09:01:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... wewe uliyeandika naswara pumba tupu kichwani hizi dini zilikuja kutapumbaza naswara ndio nini?
Mon Apr 09, 10:21:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... kama wewe ni mtanzania u will understand kuwa msiba hauna mwenzio...kikwete went there as a fellow human but wewe ndiye unamuona kama anauza sura cz hujui kuthamini
Mon Apr 09, 10:22:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... Naswara ni wakristo kama ilivyoandikwa kwenye kitabu kitukufu cha Quran. Kwani manasara wao pia walipewa kitabu na wanajulikana kama watu wa kitabu kama wayahudi. Wewe unaemsema mwenzio pumba tupu kichwani, ungegoogle kidogo tu hilo neno ungejua kuwa mwenzio ametumia neno la kiheshima kuwataja wakristo ambao kabla Yesu hajaondoka hapa duniani walikuwa wanajulikana kama manasara. Hili neno christians limetungwa na Waroma baada ya Yesu. Na naswara yaweza kuwa na maana ya nusra je kuna ubaya gani hapo? Jifunzeni kwanza mumjue Yesu mwenyewe na yeye na wafuasi wake walikuwa wakiitwaje kabla ya kuondoka kwake.
Mon Apr 09, 11:09:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... UUNWANA NI VITENDO NDG ZNG,KIONGOZI BORA NI YULE AMBAYE ANAYEJUWA KUWA KTK MAISHA KUNA KITU KINACHOITWA MATATIZO NA AKAYAPOKEA KWAKUUNGANA NA WATU WAKE KTK KIPINDI CHOTE CHA TATIZO HUSIKA,PIA KWA YY KUHUDHURIA MAZIKO YOYOTE YALE NI NATURAL JUSTICE YAKE,KWANI MARAIS WALOPITA HAWAKUHUDHURIA KTK MAZIKO YA WANANCHI WAO WA KAWAIDA?JE KUNA UBAYA GANI KUHUDHURIA MAZISHI YA MTU KAMA HUYU AMBAYE AMEIWAKILISHA NCHI YETU KTK NCHI NYINGI TU?HEBU TUACHE KUINGIZA SIASA KTK SEHEMU SI ZAKE JAMANI.
Mon Apr 09, 11:54:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... yuo guY, kikwete went there as a fellow human what's wrong? are you craZY? ULITAKA UFE WEWE NDIO KIKWETE AJE? ACHA ROHO MBAYA. MALIPO NI HAPAHAPA DUNIAN, UNAJUA SIKU YAKO YAKUFA.?NA JE WAJUA ATAKAYEKUZIKA NI NANI?WAMWONEA MAREHEMU WIVU, STUPID Unauliza Who was Kanumba, ulikuwa humjui kanumba ni nani, hata mtoto mdogo wa miaka mitatu ukimuuliza who was Kanumba atakujibu.huna haya wala hujui vibaya? au ulikuwa una bifu na marehemu? Nakusihi uache KUROPOKA. PUNGUZA MDOMO KWANI SOME TIME UNAPONZA.NON SENSE.
Mon Apr 09, 01:18:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Wewe se--ge tena wakutupwa wewe maiti yako italiwa na mbwa mwitu utakufa kihoro roho mbaya tu.
Mon Apr 09, 02:10:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Kaniudhi nataman ningemjua jaman,kuna watu hawana upeo kama huyo ****** hapo juu? Kanumba ni mtu wa watu labda ww una chuki binafsi ni dhambi kumchukia mtu lakin ww nimekuchukia frm my heart,Rais ni cheo kuna ubaya kwenda kwenye msiba wa Kanumba? Malope yule mwimbaj wa south africa jana alisimama akamuombea kanumba naye anajipendekeza? **** ww
Mon Apr 09, 02:11:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... huyu bwana anataka kumpoteza Kikwete bure uraisi siku hizi ni miaka kumi tu hapa na maisha na mahusiano ya mtu ni maisha yote. asisahau Kikwete mtu wa watu pengine huyu jamaa hamjui kabisa Kikwete.
Mon Apr 09, 05:22:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Rest in peace bro.KANUMBA,
Naamini umetimiza ulotakiwa timiza katika dunia hii.Real, umetuonyesha thamani ya kuitwa wutu.Changamoto kutoka ZERO to HERO, ukituaminisha yakuwa maishani no one gonna hv ur back,ukitafuta kwa imani na juhudi mafanikio yapo.KWELI naamini yawezekana ulitereza,ila kwa mwanadamu awayeyote kukosea ni lazima.Namini ulitenda mengi mema kuliko maovu, asiyeamini shauriyake.Umetangulia,tunakufuata.THE ONE WHO GIVES,IS THE ONE TAKES
Tue Apr 10, 01:32:00 AM EAT
blank.gif

Anonymous said... hamna lolote nyie wachangiaji!! Wangapi wanakufa, huyo raisi wenu anaenda kuhudhuria?? Inaonyesha Kikwete hana kazi za kufanya, kazi yake ni kuuza sura tuu.
Tue Apr 10, 12:00:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... lfike mahali Tanzania itoe adhabu kali kwa watu wote wenye "umaskini wa mawazo" hii ndiyo sababu mataifa mengi ya kiafrika hatusongi mbele. Tumeegemea nguzo chakavu za fitna, wivu, lawama na uzembe. Tatizo kubwa hupuuzwa na dogo kutiliwa maanani. Jamani hivi Rais kuudhuria msiba tena wa Mtanzania mwenzetu kuna ubaya gani? Ni elimu ipi inayoelezea kwamba Rais si mtu wa kawaida? Hata wachawi wana utu. Tuache majungu na fitna kwa manufaa yetu binafsi na ya nchi kwa ujumla. Damu ya Rais wetu ni nyekundu na siyo kijani. Rest in pease Kanumba. You were real among The Great in our nation. Also big up to Mr. President for such humanity. GHYNWINE
Tue Apr 10, 12:38:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... Naaaaaaaaaaaaaam,bila shaka atajirekebisha huyu asiyekuwa na utu.Maana watanzania mmejitahidi kumrudisha kundini. mungu ampe raha ya milele Bro wetu Steven Kanumba.
Nakumbuka maneno ya kaka kwenye Dar to Lagos THIS FOOD IS TOO MUCH PILIPILI BANA
Tue Apr 10, 01:28:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... HUYU ASIYEJUA MSIBA NI SHETANI WA KUTUPWA MAANA HAJUI UTU. PRESIDENT NI BINADAMU KAMA WENGINE. HUYO MPUMBAVU AMWACHE KANUMBA APUMZIKE NA YEYE ABAKI NA SHIDA ZAKE, UJINGA NA UMBUMBU WAKE.
Tue Apr 10, 05:47:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... watu hawana ustaarabu ni kama wako dunia isiyo kuwa na mungu, unaona rais kwenda kutoa pole msibani imekukwaza huna hata aibu we ni zaidi ya mwendawazimu nimekudharau maisha yangu yote japo sikujuui, imagine ule msiba ungekuwa nyumbani kwenu na hisi ungefukuza watu mana huna ubinadamu wewe looh , kweenda hufai tanzania hii .
Tue Apr 10, 06:11:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... kweli yule ni kafiri,naswara,najis hajatwaharika haipasi muslims kuhudhuria mazishi yake kwani yeye alikana dini ya moja Uislam na akamfanya Allah kuwa na mshirika. ninyi waislam mna comment hamna akili mkasome kwanza nini mnatakiwa kujua kwenye dini yenu na mtakufa na kuulizwa kwa upuuzi huu mnaoandika. hata dini zenu hamjui kisha mnafunua vinywa vimejaa harufu lo............ Alikufa Mtume wa Allah na vipenzi wengine wa Allah ijekuwa mimi au manumba? kalaleni ninyi matahira!
Tue Apr 10, 08:54:00 PM EAT
blank.gif

Anonymous said... pumbavu xana huyo mtu tenaa bonge la bwabwa kama msiba haujamgusa bc akalale mbele huko.....mjinga mmoja huyo
 
Ushauri wangu wa bure kwa Riz ni kuwa ajitahidi katiba mpya iwe na kipengele cha "immunity" kwa watoto wa marais. Naona kuna bundi anamnyemelea na kasi ya bundi huyo itakuwa kubwa baada ya 2015.
 
jk-mawazo.jpg
images

Wenzangu, uvumi, hisia na maono hujenga taswira ya kitu. Lakini kujua ukweli muhimu kusoma mtu mwenendo wake, maongezi yake, tabia yake, mwonekano wake, taswira yake, na namana anavyojiweka katika maisha ya kawaida ndani ya jamii inayomzunguka, ingawa hilo si hitimisho la maudhui ya habari hii, bali tunaongelea tu mada iliyoletwa.

Na mtu angali mdogo kuanza kuhusishwa na makubwa yenye utata amayo yanavuta hisia za watu, hilo ni wingu zito kwani dalili ya wingu haimaanishi mvua ianze kunyesha sasa, isipo kuwa huwa dalili tu wakati wo wote mvua inaweza kunyesha. Sitakii mabaya ila si tambo za kinabii bali ni maoni ya mpita njia.

Kwa kuwa Kanumba kamwendea baba wa milele imebaki ni siri ya Lulu na msiri wake aliyekuwa anaongea naye kwa simu siku hiyo. Kwa vyo vyote kama si kufunika funika jambo hili, kwenye mitambo ya kuunganisha maongezi ya simu siri ipo wazi, lakini kama inaonekana kugusa watu nyeti basi ukweli hufunikwa na kupindisha habari kwa kufunika kombe mwanaharamu apite.

Huku kutajwatajwa kwa baadhi ya watu inazua utata licha ya wenye kutoa ukweli kutokana na uchunguzi wakijitahidi kwa nguvu zote kufunika ukweli. Lakini haki haipotei, ipo siku ndege mjanja atanaswa kwenye tundu bovu, na ujanja anaofanyiwa binadamu kamwe hayawezi kufichika mbele ya Mwenye haki ambaye ni Baba wa Milele ambaye sote tunawajibika kutoa hesabu ya ukarani wetu hapo mwisho wa safari kabla ya kuingia peponi.

9.jpg

Binadamu amejaliwa upendeleo wa pekee na Muumba kuliko viumbe wote kwa kujaliwa akili na utashi tofauti na wanyama wengine ambao hutumia silika tu katika maisha yao. Mara kadhaa tumeshindwa kutumia vema na ipasavyo upendeleo huu na kushtukia silika ambayo ndiyo inayoongoza wanyama wote kutawala sisi binadamu tulio na upeo wa kutumia akili na utashi kwa ajili ya utambuzi, tahadhari na kiasi kwa manufaa ya kuwa na utu wema wenye heshima na staha katika jamii.

Katika kuridhia mwenzi au mpenzi kuna mambo kadhaa ya kujihadhari, kutafiti na hatimaye kujiridhisha kwamba hapana shaka, na kama kuna shaka kabla hamja vishana bangiri za vidole kama wachumba au wanandoa, ni vema kumpa uhuru wa kuchagua kwa ridhaa kuliko kuendelea kumng'ang'ania mtu ambaye anaonekana kutoridhishwa na mmoja, kutokuwa na ridhaa ya kweli, au kuna na macho ya kuona kama mbuzi mwenye njaa nyasi za mbali zaidi ndizo zinazoshibisha kuliko zilizokaribu naye. Matokeo yake ni kubaki kukimbizana na hatimaye utashtukia umejikwaa na kuumia wakati mbuzi anaendelea na mbio zake za kufuata nyasi zileee kuleee nitamu zaidi.

314451_10150330985352740_729142739_8247587_1719950859_n.jpg
 
toa ushahid wa kina wa taarifa yako kuhusu riz, naamin mungu ninayemuabudu na unayemuabudu ametukataza kusema uongo, kumsingizia mtu jambo. Tukumbuke tutaulizwa kwa hiki tulichoandika. Tafakari
 
Kuna siku nilikuwa kwenye basi nikasikia watu wanamhusisha huyo binti na Mzee Pinda.
Nilishangaa sana.
 
Back
Top Bottom