OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Hapo sijaelewa. Ridhiwani anajiandaa kugombea nafasi gani 2015? Nauliza hivi kwa sababu Jumamosi iliyppita walifika Waislamu wawili hapa Msasani,wamevaa kanzu,wanasema wamepotea njia,wameambiwa Ridhiwani anaishi hapa. Nikiwaelekeza,nendeni mkapande daladala,nendeni hivi,nendeni hivi,mtafika nyumbani kwake Ridhiwani. Wakasema 'asante' wakaondoka.
Hii mambo ya kidini ukiindekeza mwisho unakuwa kama zuzu yaani...kweli ni "opium of the people"....sasa hapo kanzu na uislamu na kugombea nafasi fulani ............mara watu wamepotea njia.....vinaanzaje kuwa ni sehemu ya uzi huu........?????
If so, hivi katiba haimruhusu mtu anayeuliziwa na watu waliovaa kanzu na kupotea kwa mwenyeji wao kugombea nafasi ya uongozi????
Back to topic: Katiba ndo mambo yoooote let's get to it seriously