RIdhiwani awakandia viongozi CCM..

Wakuu...

Ndhani sisi wana JF tunachangia sana kumpa promo ridhwani na baadhi ya vijana wa UVCCM wasiostahili tunachowapa. Nasema hivi wkasababu nimeona dawa ya hawa UVCCM ni kuwadharau na kuwapotezea mazima

Nchi yetu na hasa watoto wetu hawana cha kujifunza kutoka viongozi wa kitaifa wenye lugha chafu na za kebehi kabisa, even writing their whereabouts and what not is not wise... vijana waliolelewa na wazazi kimaadili hawawezi kutukana mtu mzima hata kama ni kichaa

tunatakiwa kuwafundisha watoto wetu kutosikiliza watu waliopelea busara na maarifa
 
Mbona JK alipooa mtoto wa nanihii yule mwarabu ndugu ya RA ambaye kamuweka USA HAIKUWA HABARI??

Unaushahidi wa kutosha kuhusu unayoongea? Kama una evidence please provide. Hapo itakuwa nihabari.
Remember,one of the character for great thinker is evidence supportive opinion, not hereby say or fabrication of news.
Hereby say and fabrication is synonymous to rumour monger.
Please, give us evidence to back up your statement.
 
Mtoto wa JK RIdhiwani amekuja juu na kuwakebehi viongozi wa CCM kwa kutowajibika bali kamsifu Msekwa..............................

SOURCE MAJIRA JUMAPILI.......................

Hivi Mtoto wa JK ana cheo gani ndani ya Chama hicho hadi kuanza kupima utendaji wa viongozi wake? Is this not an introduction of dynasty politics in our nation?

Huyu kijana ana matatizo makubwa sana. Anajiona kama na yeye ana sehemu ya wadhifa/nyadhifa za Baba yake hivyo kuropoka chochote kinachomjia kichwani bila kujali repercussion ya kauli yake.

 
Huyu kijana tangu baba yake amekuwa Rais ni tabu tupu . Nashangaa kwa nini kauli zake zinapewa uzito kiasi hicho yet he is nobody !
 
Back
Top Bottom