Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

Natoa angalizo kuhusu Mchungaji Christopher Mtikilla kuwa kwa siku hizi heshima yake na uadilifu vimepungua kutokana na njaa aliyoyonayo. Usijeshangaa Mtikilla anasema anajitoa na anamsafisha Riz 1
 
Na kule Super Doll kuna nini? dogo anaenda speed, nakumbuka kuna siku alikuwa amemtuma mpambe mmoja pale Hostel ya mabibo amuite dada mmoja aliyekuwa busy anasoma, by that time nae bado alikuwa chuo, yule dada si akamchomoa tena live, by that time baba yake ndo alikuwa ameshinda kwenye nominations za Magamba, basi dogo akasema huyu hajui kama mi ni Prince mtarajiwa shauri lake, yule dada kwa ujasiri akjibu hata ungekuwa princes mtarajiwa huniambii kitu, dogo akanywea akapotea, from there, mara namsikia bosi UVCCM, bosi yanga, mara Super doll, mara Kobil mara Clouds, ila kazi ni uhakika yuko pale kwa wataalam wa mikataba. Ushahidi ukusanywe kwa nguvu zote, ukweli utajulikana tu. CCJ kwa msajili hakuna majina ya kina Sita na Nape lakini watu wanauhakika wao ndo waanzilishi, go back to your books and read how moral conducts are formulated in the society.
Napenda kale katangazo Clouds, mimi ni Riz 1 JK naangalia ...., I wish na waliopita nao wangefanya hivyo tuwajue, au wao hawakua masharobaro?, who r u?
 
Natoa angalizo kuhusu Mchungaji Christopher Mtikilla kuwa kwa siku hizi heshima yake na uadilifu vimepungua kutokana na njaa aliyoyonayo. Usijeshangaa Mtikilla anasema anajitoa na anamsafisha Riz 1

Si nasikia yeye mwenyewe ni Lawyer au nimekosea. Tena amesomea UD na UK!!
 
huwa siingaligi sana haka kastesheni hivyo sijawahi kuona hako katangazo, ni kweli!?
Napenda kale katangazo Clouds, mimi ni Riz 1 JK naangalia ...., I wish na waliopita nao wangefanya hivyo tuwajue, au wao hawakua masharobaro?, who r u?
 
Riz 1 anataka kuona majasusi wazalendo walivyoimara. Namshauri afute kesi, mbona Miraji anatumbua maisha bila kelele? Anafikiri watu hawamuoni? Wtz wanajua mambo yao mengi sana. Anatafuta kupigana vita ya kiroho!
 
Kijana kaingizwa mkenge bila kujua, hao waliomshauri hakika pia inaonekana wamechoka na wanasiasa mafisadi sasa ni wakati wa kutulia na kuona jinsi atakavyoishia kuaibika na ikibidi kutaifisha mali na kifungo.
 
Riz wananchi waliopigika kimaisha wana intelijensia kali kuliko C.I.A. Bora ukae kimya tu ndugu yetu, hao wazee hawakukurupuka wanafaham miradi yako yote, hadi kimemo kilichotumika kutolea Hummer lako free of duty wanacho. Shauri yako.
 
People naomba msaada jamani .Kesi za aina huwa zina namba au yeye kafungua hana ref ? Au iko nimechemka mie ? Baada ya hapo nasema huyu hajui namna kesi hizi zinavyo enda.Dr.Slaa sasa ataletewa ushahidi mwingi wa ajabu toka kila kona maana watanzania wamechoka na wana mengi .Hakujua huyu aka anza kwenda kasi .Pole zake .
 
Naomba nioongezee ushahidi kwa kina mtikila na slaa! Nina uhakika nao waende tu brela wathibitishe ! Kuna kampuni moja inadili na mambo ya mpesa inaitwa extra time ni wakala mkuu wa vodacom tz. Kuna mawakala wadogo wadogo wengi ambao yeye ndo anawalipa kamisheni zao za mwezi. Uzuri ukiomba kuwa wakala wa mpesa kupitia kampuni hii unakuwa na kitambulisho cha mpiga kura tu. Badala ya ku - submit tin,leseni na vitu vingine vinavyohitajika. Kwa kampuni yake hujazi mkataba . Kwa hiyo anaweza akaamua tu kutoa fedha zote usiku na wakala mdogo akiamka asubuhi pesa zote hazipo na hana pa kwenda kwani si hana mkataba! Madaraka ya dadiii hayo utamfanya nini!!
 
Huyo riz1 ni mfa maji haishi kutapa tapa kajipeleka kitanzini anataka nini ni wa kufaaaaaaaa tuu hakuna kingine
 
riziwani yupi huyo...rihiwani kikwete au ridhiwani kikwete nyaronyo kichere...kama ni huyo wa kwanza basi atashinda kesi ila kama ni huyo wa pili anaemiliki malori kakwisha(kushneiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii)
 
Hapa kuna mchezo unataka kufanyika huyu Jamaa atafungua kesi ili kupotezea tu nakuficha aibu afu mwisho wa siku kesi itakuwa inaendelea tu kwakupigwa kalenda nahisi kesi aitasikilizwa kamwe.
 
Dar Es Salaam — Opposition leaders Dr Willibrod Slaa and Reverend Christopher Mtikila are set to face off President Jakaya Kikwete's son, Ridhiwani, in a high-profile court battle.

Ridhiwani has officially filed a defamation lawsuit against Chadema's secretary general and the chairman of Democratic Party (DP) Mtikila for allegedly accusing him of amassing questionable wealth since his father's ascendance to the presidency.
The duo had publicly accused him of using his father's influence to amass the purported wealth, and he wants his name to be cleared of the allegations.

In a case filed on Friday in the High Court, Ridhiwani also enjoined in the suit a daily Kiswahili newspaper owned by Chadema chairman and leader of the official opposition in Parliament, Mr Freeman Mbowe. The Hai MP is the proprietor of Free Media Limited, publishers of Tanzania Daima.

Managing Director of Printech Company and the editor of the said newspaper will also be party in the case whose first hearing date is to be set within two weeks.
Ridhiwani wants the court to order the defendants to pay him Sh2 billion in general damages, apologise and permanently restrain from further publishing and circulating "defamatory falsehood" touching on his personal life, his business or profession or other engagements.

The filing of the suit opens the doors for a likely tough legal battle, as the two accused politicians are on record saying they would "shame" Ridhiwani in court if he dared sue them.

Ridhiwani announced at a press conference in May that he intended to sue his detractors for what he described as 'false allegations', which he claimed were calculated to tarnish his image and that of his family.
But in a rejoinder, Dr Slaa said that he owed the junior Kikwete no apology and challenged him to send him to court.
Reverend Mtikila is also on record as saying he had ample evidence to prove in court how much wealth the junior Kikwete possessed. "I cannot apologise to anyone. I have enough evidence the young man has a lot of wealth which he did not acquire legitimately. Let him go to court, for I will prove my case," Mtikila had intoned.

Mtikila had claimed that Ridhiwani was a billionaire who owned, among other things, a transport company with a fleet of about 150 trucks, and a road construction firm, in addition to a number of mansions and buildings, as well as large chunks of land.

But Ridhiwani says in the suit he has filed through Law Associates Advocates that he has never abused his father-son relationship with the President to obtain illicit advantages or to loot the country's coffers.

He says he has been wrongly portrayed as a dishonest and corrupt young man. His image and reputation thus has been injured in the society, he further claims. He also argues that his standing and esteem in the society and in the eyes of his peers has been irreparably lowered.

"The plaintiff (Ridhiwani) is a young lawyer and youth leader who is the member of executive committee of the UVCCM. Further, the plaintiff is a public figure who is involved in many public engagements and good caused works and social organizations and he is therefore highly respected in the society," his lawyers say.

A month ago, Ridhiwani called a press conference where he denied being a billionaire. He said he only owned a 1.5 acre of land in Coast Region and a saloon car; and also owned three bank accounts at CRDB, NBC and Stanbic banks in the city. He did not disclose the amount of money in those accounts.

Source : allAfrica.com: Tanzania: Kikwete Son to Face Dr Slaa in Court

KAZI IPO!!
 
Back
Top Bottom