Ridhiwani Again

BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

Jamaa hana hizo AKILI HATA KIDUCHU
Mnamuonea tu labda ungesema kaongeza nyumba ndogo ndo ungeleweka
 
tusishushe hadhi ya JF.

mtu unapo anzisha mada / thread, jitahidi kuona kuwa unaandika habari inayojitosheleza vizuri ili wachangiaje waelewe nini cha kuchangia! habari ya ridhiwan tuna hamu ya kuielewa kwa undani zaidi
 
Uongo mtupuuuuu.

Huoni hata haya?
wewe na huyo mleta huu uzi wote mpo pori moja.........wasaka nyoka.

aliyeleta hajathibitisha, na wewe unayekanusha hujathibitisha kanusho!!

sawa na kenge mwenye mkia anayefikiri kenge asiye na mkia sio kenge bali ni mjusi.!
:llama::llama:
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.

Mbona havihusiani na thread husika anzisha thread kuhusu ya Mnyika au unataka kuwapotezea watu track
 
Hii mbona inatuchanganya Riz1 mara Mnyika, udhaifu huu mpaka kwenye JF?
 
mkuu mbona havijagawiwa bado???

huo ni unafiki na chuki zako tu,ila utawapata wajinga wenzako wa kukuunga mkono

wewe ndo hujagawiwa lakini watu wenye maarifa tushakamata viwanja tuko bize kupanda misonobali kuweka mipaka ya kudumu...subiri hivo hivo utajibiwa kwa emilii kama alivosema mzee akilimali
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
Yote uliyotaja ni majukumu ya Serikali,makusanyo yote ya kodi katika nchi hii huelekea serikalini,kazi ya mnyika pamoja na wewe na wananchi wote kwa ujumla ni kubaini matatizo ya eneo husika na kuiambia serikali tayari kwa utatuzi, kazi ambayo mnyika ameshaifanya sana tu,na wewe pia nakupongeza umetimiza wajibu wako kupitia jf.Sasa udhaifu wa serikali kutoyapa umuhimu matatizo ya ubungo ni swali ambalo mimi na wewe tunatakiwa kujiuliza.Lakini pia bwana obama kwanini unataka kutuondoa katika mada ya riz1, una maslahi gani kwenye hiyo hoja. nijibu
 
Magwanda hamna hoja mna viroja. Hata bungeni sasa hivi, watu wanapanda wanapiga porojo lakini hawaongelei hoja ya bajeti iliyo mbele yao. Mmepeleka bajeti mbadala ina mapato "0".
 
tunataka kazi ya mbunge ionekane,ilete tija na mabadiliko.huko unakotaka ni kukwepa ukweli
Kwako wewe kazi yenye tija ni kuunga mkono bajeti ambayo haitekelezeki na Ubungo iendelee na shida zake? Tija kwako ni utendaji wa kujipendekeza hata pale wananchi waliokutuma wanaendelea kutaabika ili wakubwa serikalini wakusifie na kukupa wewe sukhiiari ulambe?
Acha umbumbumbu wako, Mnyika alikuwa anaelekea kuzuri na ndio maana wakamtoa bila kumpa nafasi afafanue udhaifu huo uko kwenye nini.
Wenye akili wote hata wale walio ndani ya CCM wanamuunga mkono Mnyika na move yake kwa faida yetu sote wananchi.
Nyie mliolishwa limbwata na wenye upeo wa kuona kadiri ya pua zenu endeleeni kubwabwaja tuu.
Lakini kwa taarifa zenu, sasa hivi hata wale mnaowaona hawajaelimika hata matumizi ya computer hawajui kama wewe tayari wameshaelewa nini kinaendelea hapa nchini na hao ndio watakao lazimisha mageuzi ya kiutawala kwa box la kura wakati ukifika. Jee mmeshajipanga wapi pa kukimbilia?
 
Hivi ni vile viwanja vya Gezaulole? bora mimi hata fomu sikujaribu kuchukua
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.

Mkuu naona umetumwa na wezi wa mali zetu au wewe mwenyewe mhusika. Tumia akili yako sawa sawa maana naona unajitahidi kupindisha mada. kwenye huu uzi hakuna mahali popote panazungumzia mnyika ila umeamua kuchomekea kwa maslahi yako wewe mwenyewe.

Kwenye RED hizo ni kazi za serikali yako ya CCM na sio kazi ya mbunge. Mbunge kama mbunge hakusanyi kodi- hivyo basi ni Jukumu la serikali kutafutia watu wake ajira, kuwapa huduma zote za kijamii (Ulinzi, afya, maji, elimu, makazi bora etc). Halafu cheki ulivyolimbukeni wa kufikiri- Mbunge anahusika vipi na maswala ya vibaka??? je yeye ni Polisi??? haya peleka haraka hizi taarifa katika kituo cha polisi kilichokaribu na wewe.

Kwenye BLUE hata kama una chuki binafsi na Mnyika sio kwa style hiyo. Yeye amekuwa akipambana na serikali yako legelege isiyo na vipaumbele, isiyo na dira kwa kuwaonyesha njia. So Relax dude and give him a brake!!!
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.

Mkuu kuwa na akili kidogo mara chache kwa kuheshimu sana mada za wenzako.Unaweza ukaanzisha mada yako why doing this hapa ?Utoto huu
 
hawa watu wamekosa ya kufanya hivyo kwao , kusema hovyo ndiyo jambo lililobaki

wewe acha utaila.. Ndo maana hoja zako hovyo kama za barack obama.. Unamsujudia na kumtukuza m2.. Usiyemjua.. Na kujipendekeza kutumia jina lake..
 
alafu wewe BARAK OBAMA FAKE.. KWELI.. MNYIKA JANA KILICHO MTOA NI KWAA JILI YA KULITETEA JIMBO LA UBUNGO NA WATANZANIA KWA UJUMLA NDIO AKA..RAISE ISUE KUWA RAIS NI DHAIFU WABUNGE WAZEMBE CCM N WAPUUZI HOJA AMBAYO MASHIKO YAKE NI KUHUSIANA NA MATAMKO YA MHESHIMIWA RAIS NA AHADI ALIZO ZITOA MAENEO YA UBUNGO KUWA ATATATUA TATIZO LA MAJI NA KUREKEBISHA NA KUIMARISHA BARABARA ZA UBUNGO.. .MAJI YANA GHARIM BIL.600.. KWENYE BAJET IMEONYESHWA BIL.100 NA KI2 NA NDIO MAANA AKAWA AMEANZA KUJENGA HOJA KWA MSINGI KUWA RAIS NI DHAIFU KWA MAANA YA KIUTENDAJI NA UWAJIBISHWAJI YA WATENDAJI NA USIMAMIZI BORA YA SHUHULI ZA MAENDELEO..
 
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

Leta ushahidi mkuu, la sivyo hatuwezi kuamini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom