Ridhiwan kuwa mgeni rasmi

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Mtoto wa Mhe. Rais mhe Ridhiwan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano wa kuhamasisha Uvaaji wa Ijab mwaka huu Mkoani Arusha. Vigezo na masharti kuzingatiwa! ( Radio Iman FM)
 
Angeanza na familia yake, waanze kufunika sura
 
Mtoto wa Mhe. Rais mhe Ridhiwan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano wa kuhamasisha Uvaaji wa Ijab mwaka huu Mkoani Arusha. Vigezo na masharti kuzingatiwa! ( Radio Iman FM)
acha ubwege wewe-mbona kikwete akifungua warsha za maaskofu husemi-udini utauua ubongo wako
 
Umeielewa mada lakin? Kama huwez kufikiria kwa akili yako si ugandamizie kwa wenzio? Angalia wenzio wamecoment kitu gan ndo na wewe utoe coments!
 
Ndo hiyo kuandaana kwa baadae sio mind them TZ haiko kwenye sistim ya kingship
 
Back
Top Bottom