Ridhiwan Kikwete na "utajiri wa kutupwa"

Status
Not open for further replies.
Tukijadili watu hatufiki. Tukianza kulalama kuwa mr Y au mr X anaendesha gari la kifahari haitusaidii kitu, kama unajua kosa au wizi au jinai amabayo kijana huyu ameitenda tujulishe ili tuone kama sheria haitachukua mkondo wake. BTW؛‎ Huyu ni mtu mzima, nimtoto wa ndugu J.M.Kikwete. Fanya yote utakayo bado ataendelea kuwa mtoto wa jakaya.

Nafikiri hapo kinachojadiliwa ni udhaifu wa mfumo wa utawala tulionao,swala la Ridhiwani ni mfano hai,ambao unaonyesha udhaifu wa mfumo wa utawala!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom