Ridhiwan Kikwete na "utajiri wa kutupwa"

Status
Not open for further replies.

Kalamunzu

Member
Apr 10, 2011
5
2
...Kuna kila sababu ya kutilia mashaka "utajiri wa kutupwa" wa Bwana Mdogo Ridhwan - mtoto wa Mheshimiwa Jakaya bin Mrisho wa Kikwete kutoka Msoga. Ridhiwan, kwa ujumla ni mtoto mdogo katika umri wa kazi na kinyume chake kijana huyu ametokea kumiliki utajiri mnono unaotia mashaka. Pamoja na sababu nyingi zifuatazo ni sehemu ya kutilia mashaka juu ya utajiri wake.
  1. Anamiliki akaunti zaidi ya mbili kwenye benki kubwa nchi ambazo hajui "salio" lake; hii inaonyesha kijana huyu akaunti zake ni nono na zimeshiba hasa!
  2. Anaonekana akitanua matanuzi ya gharama kubwa pamoja na kutumia magari ya kifahari na yenye thamani kubwa kuliko uwezo wake!
  3. Ana uhusiano na wafanyabiashara wenye kumiliki biashara nene na kubwa zenye mafungamano ya fedha nyingi na chafu!
  4. Baba yake (JK) anamtumia kama "chaka" la kuendesha biashara kwa mgongo wa IKULU huku akipewa "ulinzi = immunity" na baba yake!
  5. Amejenga "kiburi" na "jeuri" ya fedha hata kuwatukana watu na au kuwafanyia hila na mizengwe kwa utumizi wa fedha chafu!
Ridhiwan anatembea na kujinasibisha na "mashorobaro" wanaomchongea "deal" mbalimbali za fedha na matanuzi kwa malipo ya ushawishi wake unaotokana na baba yake na mtandao wake wenye mafungamano na mafisadi. Ni kijana hatari sana kwa mustakabali wa uongozi wa baba yake...na hususan UVCCM na CCM kwa ujumla. Asipodhibitiwa, Tanzania italia mikono kichwani siku si nyingi!
 
tazama watoto wa Hossam Mubaraka na kwa sasa Ghadaffi. hana muda mrefu nae atafuata mkondo huo huo. mambo ya kujisahau na kudhani atabaki na immunity ya urais wa baba mpaka milele.
 
Tukijadili watu hatufiki. Tukianza kulalama kuwa mr Y au mr X anaendesha gari la kifahari haitusaidii kitu, kama unajua kosa au wizi au jinai amabayo kijana huyu ameitenda tujulishe ili tuone kama sheria haitachukua mkondo wake. BTW؛‎ Huyu ni mtu mzima, nimtoto wa ndugu J.M.Kikwete. Fanya yote utakayo bado ataendelea kuwa mtoto wa jakaya.
 
Ridhiwani atupatie na sisi ujanja wa kupata magari ya kifahari na mabilioni ya kutupa! Na wewe unataka tusimjadili Ridhiwani, tumjadili nani?
 
RZ1 ni mtoto wa Rais,anaishi kama mtoto wa Rais. Yasemwayo yapo,na kama hayapo.... Lakini mkuu Kalamunzu,hizo tuhuma unaushahidi nazo? Yeye si alisema ana kagari ka1,sasa kama alidanganya tutajua tu.
 
...Kuna kila sababu ya kutilia mashaka "utajiri wa kutupwa" wa Bwana Mdogo Ridhwan - mtoto wa Mheshimiwa Jakaya bin Mrisho wa Kikwete kutoka Msoga. Ridhiwan, kwa ujumla ni mtoto mdogo katika umri wa kazi na kinyume chake kijana huyu ametokea kumiliki utajiri mnono unaotia mashaka. Pamoja na sababu nyingi zifuatazo ni sehemu ya kutilia mashaka juu ya utajiri wake.
  1. Anamiliki akaunti zaidi ya mbili kwenye benki kubwa nchi ambazo hajui "salio" lake; hii inaonyesha kijana huyu akaunti zake ni nono na zimeshiba hasa!
  2. Anaonekana akitanua matanuzi ya gharama kubwa pamoja na kutumia magari ya kifahari na yenye thamani kubwa kuliko uwezo wake!
  3. Ana uhusiano na wafanyabiashara wenye kumiliki biashara nene na kubwa zenye mafungamano ya fedha nyingi na chafu!
  4. Baba yake (JK) anamtumia kama "chaka" la kuendesha biashara kwa mgongo wa IKULU huku akipewa "ulinzi = immunity" na baba yake!
  5. Amejenga "kiburi" na "jeuri" ya fedha hata kuwatukana watu na au kuwafanyia hila na mizengwe kwa utumizi wa fedha chafu!
Ridhiwan anatembea na kujinasibisha na "mashorobaro" wanaomchongea "deal" mbalimbali za fedha na matanuzi kwa malipo ya ushawishi wake unaotokana na baba yake na mtandao wake wenye mafungamano na mafisadi. Ni kijana hatari sana kwa mustakabali wa uongozi wa baba yake...na hususan UVCCM na CCM kwa ujumla. Asipodhibitiwa, Tanzania italia mikono kichwani siku si nyingi!

Hivi ni vitu vizito sana,
Ila ikipatikana ushahidi kabisa nadhani itakuwa na mantiki sana hata mbele ya dunia,
Hizi hisia hazina msaada sana, Nadhani Kubenea analifanyia kazi hili..... Mi nangoja kwa hamu sana, kuona mwisho hawa marais wetu wezi na familia zao.
 
Ungekuja na ushahidi kingikuwa kitu cha maana sana, labda kama ulikuwa unatafuta ushahidi humu, au ndo mambo ya kimjinimjini
 
tazama watoto wa Hossam Mubaraka na kwa sasa Ghadaffi. hana muda mrefu nae atafuata mkondo huo huo. mambo ya kujisahau na kudhani atabaki na immunity ya urais wa baba mpaka milele.

siyo kwa bongo hii niijuayo....wenzetu waliweza kwakuwa hawakuwa na muda wa kumjadili babu wa loliondo au kuporomoka kwa hasheem thabeet!walitaka mapinduzi ya kweli na si ya maneno
 
Dogo kaficha majina yake kwenye umiliki anajua nini maana ya jina lake kuwepo ktk umiliki so hata ikifuatiliwa hakuna kitakachobainika nashangaa hakutaja kumiliki BMW aliyopewa na baba yake zawadi ya kumaliza chuo maana gari ilitolewa bandarini na kampuni moja hivi ambayo ipo ktk dili ya EPA na ambayo haikupelekwa mahakamani licha ya kutorudisha hata senti moja gari ilitolewa na kupelekwa hadi nyumbani kwa bilionea Rz1 siajabu majina ya wamiliki yakawa ya watu wachovu tu hapa mjini na ukizingatia udhaifu wa sheria hapa kwetu mtu haulizwi kuwa na mali na jinsi alivyozipata usishangae ukakuta Rostam ana nyumba moja na gari korola zenye majina yake akili kumkichwa babu!!
 
Tukijadili watu hatufiki. Tukianza kulalama kuwa mr Y au mr X anaendesha gari la kifahari haitusaidii kitu, kama unajua kosa au wizi au jinai amabayo kijana huyu ameitenda tujulishe ili tuone kama sheria haitachukua mkondo wake. BTW؛‎ Huyu ni mtu mzima, nimtoto wa ndugu J.M.Kikwete. Fanya yote utakayo bado ataendelea kuwa mtoto wa jakaya.

kwani malamiko haya ni ya uongo? wewe unamiliki nini kwa muda huu mfupi kama yeye, ukiambiwa anatumiwa na mafisadi kama chaka utakataa kwa lipi wakati ukijua uwezo wake, kama ni wanasheria kashinda kesi ngapi mpaka awe na utajiri kama huu, alipoulizwa alisema anatawashitaki Mtikila an Dr. Slaa sasa mbona kimya au ameshitaki na magazeti kayakwepa
 
The woman set to be richer
than Bill Gates
You probably haven't heard
of Gina Rinehart— the 57-
year-old Australian widow —
but you'll know the people
her wealth is set to eclipse.
Bill Gates, Warren Buffet and
Carlos Sim are currently
rated as therichest people
alive by Forbes magazine ,
while Lakshmi Mittal is the
UK's richest person and sixth-
richest overall.
But Rinehart is about to
leapfrog them all to the top
of the list - and become the
first woman to ever hold the
number one spot.
Where her money's come
from
Rinehart was a recently
widowed mother of four in
her 30s when she inherited
her father's debt-laden
mining firm. But she wasn't
new to the business world.
She had been groomed to
inherit the family firm from
the age of 12 and, since
taking over, has quietly gone
about making it one of the
world's biggest operations.
In the last year alone her
fortune has more than
doubled to £6 billion—
making her the richest person
in Australia. But that is just
the start.
An investigation by US
banking giant Citigroup into
her new mining operations
showed her wealth is only
just beginning to blossom, and
could increase tenfold in the
next few years.
"If Rinehart was a company
listed on the ASX [Australia
Stock Exchange] and valued
using the same 11-times
price-to-earnings ratio as her
partner, Rio Tinto, she would
be worth $30 billion (£19
billion), putting her in the top
10 of the Forbes rich list,"
calculated Australianbusiness
site SmartCompany .
"Rinehart, however, has
three more mines on the
way, and potentially more in
the exploration phase.
"If Rinehart's three new
projects… match the
performance of Hope Downs,
and if mineral prices stay high
(two big assumptions) it is
possible to see Rinehart's
portfolio of coal and iron ore
production spinning off annual
profits approaching $10
billion.
"If those best guesses prove
to be correct, Rinehart is
heading for a personal net
worth valuation of more than
$100 billion (£63 billion)."
 
Ridhiwani atupatie na sisi ujanja wa kupata magari ya kifahari na mabilioni ya kutupa! Na wewe unataka tusimjadili Ridhiwani, tumjadili nani?
The woman set to be richerthan Bill GatesYou probably haven't heardof Gina Rinehart— the 57-year-old Australian widow —but you'll know the peopleher wealth is set to eclipse.Bill Gates, Warren Buffet andCarlos Sim are currentlyrated as therichest peoplealive by Forbes magazine ,while Lakshmi Mittal is theUK's richest person and sixth-richest overall.But Rinehart is about toleapfrog them all to the topof the list - and become thefirst woman to ever hold thenumber one spot.Where her money's comefromRinehart was a recentlywidowed mother of four inher 30s when she inheritedher father's debt-ladenmining firm. But she wasn'tnew to the business world.She had been groomed toinherit the family firm fromthe age of 12 and, sincetaking over, has quietly goneabout making it one of theworld's biggest operations.In the last year alone herfortune has more thandoubled to £6 billion—making her the richest personin Australia. But that is justthe start.An investigation by USbanking giant Citigroup intoher new mining operationsshowed her wealth is onlyjust beginning to blossom, andcould increase tenfold in thenext few years."If Rinehart was a companylisted on the ASX [AustraliaStock Exchange] and valuedusing the same 11-timesprice-to-earnings ratio as herpartner, Rio Tinto, she wouldbe worth $30 billion (£19billion), putting her in the top10 of the Forbes rich list,"calculated Australianbusinesssite SmartCompany ."Rinehart, however, hasthree more mines on theway, and potentially more inthe exploration phase."If Rinehart's three newprojects… match theperformance of Hope Downs,and if mineral prices stay high(two big assumptions) it ispossible to see Rinehart'sportfolio of coal and iron oreproduction spinning off annualprofits approaching $10billion."If those best guesses proveto be correct, Rinehart isheading for a personal networth valuation of more than$100 billion (£63 billion)."
 
Kikwete kwa kumtumia mwanae ameonyesha kutoona mbali. Awaulize akina Mobutu walipoachia ngazi watoto wao waliishia wapi. Kuna siku Ridhiwan atanyea debe atake asitake.
 
Jamani chapa kazi kwa bidii, bana matumizi, tuache majungu ya vijiweni, tutatajirika tu. Yale mabilioni ya kikwete kila mtu alipewa, sema tu wengine walinywea pombe ! Aliye invest tumpongeze badala ya kum mind.
 
mwacheni dogo atanue,

ivi wewe baba ako angekuwa raisi ungetembelea starlet au raum? sioni ubaya hapo, ili mradi asiwe dhalimu! msije mkasema nimetumwa, ni mawazo tu bandugu.
 
Jamaa anamiliki magari kama 200 hivi ya mafuta yameandikwa DELBIT yametapakaa nchi nzima, source ni kutoka kwa mtu wa karibu naye, haya yanayozungumzwa siyo yakubeza ila tuendelee kufanya utafiti tutajua tu za mwizi ni arobaini tuendelee kutafuta sources tujihakikishie. tukiwafuata pia akina Mtikila na Dr Slaa wanadata fulani kwani walishawahi kumsema akawatishia kuwapeleka mahakamani rz1 akafyata mkia. kwa hiyo lisemwalo lipo kama halipo laja soon
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom