Elections 2010 Ridhiwan Kikwete avamiwa na vijana wa CHADEMA ashindwa kufanya kampeni

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
Na FRANCIS GODWIN (MZEE WA MATUKIO)

1.JPG

Msafara wa mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Bw Ridhiwan Kikwete ukiondoka katika shule ya msingi Ipogolo baada ya kikao chao cha vijana shule hapo kushindikana leo
5.JPG

Mkuu wa shule ya msingi Ipogolo Aman Mkeremi akiomba msamaha kwa wafuasi wa Chadema kwa hatua yake ya kuruhusu CCM kufanya kampeni shuleni

6.JPG

Darasalililoandaliwa kwa ajili ya kampeni za CCM hili hapa

IMG_1796.JPG

Mwanafunzi wa shule ya msingi Ipogolo akiwa nje ya ofisi baada ya walimu kujifungia ndani

MTOTO wa mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Jakaya mrisho Kikwete ,Ridhiwan Kikwete leo ameonja joto la jiwe katika ziara zake za kampeni ndani ya CCM baada ya kutimuliwa mbio zaidi ya mara moja wakati akitaka kufanya kampeni za CCM katika taasisi za umma.

Ridhiwani ambaye ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya baraza kuu la umoja wa vijana wa chama cha mapindunzi (UVCCM) Taifa akiwa na viongozi akiwemo aliyekuwa mshindi wa kura za maoni jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela na washiriki wengine wa kura za maoni kama Jescar Msambatavangu walifika katika shule ya msingi Ipogolo wakitaka kukutana na vijana wa eneo hilo ili mjumbe huyo aweze kumuunganisha mgombea ubunge wa jimbo hilo Monica Mbega na Mwakalebela japo mkakati huo uligonga ukuta.

Kabla ya msafara wa Ridhiwan kufika shuleni hapo kwa ajili ya kikao chake cha ndani ya vijana wa CCM kwa lengo la kuvunja makundi ndani ya chama hicho ,aliyekuwa mmoja kati ya wana CCM 12 walioingia katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo hilo Msambatavangu alipita mitaani kujaribu kuwaomba vijana kwenda kumsikiliza mtoto huyo wa Rais Kikwete japo waligoma kwa madai kuwa hawadanganyiki na ujio wake.

Hata hivyo baada ya vijana hao wa vijiweni kugoma kwenda katika shule hiyo kwa ajili ya kutana na mjumbe huyo kwenye chumba cha darasa la pili katika shule hiyo ya msingi Ipogolo bado msafara huo uliweza kufika katika eneo hilo kwa ajili ya mkutano japo idadi ya vijana waliokuwa wamefika ilikuwa ni kama vijana 10 pekee.
 
Dah Safi sana wanyaluuuu, pale Ipogoro napafahamu sana tuu, ule uwanja wa shule ya Msingi Ipogolo nishapiga sana boli pale 1991 - 1995 na timu yetu ya Ruaha shooting wakat huo ikiwa ligi daraja la tatu.

Hii inaonesha wazi kabisa sasa mwisho wa CCM ndo huooo. halafu huyu ridhwani asituyeyushe nchi yetu siyo ya kifalme, haturithishani uongozi.

Naona dogo ana mamlaka makubwa sana sasa hivi, asitufanye sie mabwege, tunaona yote anayoyafanya.
 
mzee wa matukio safi sana kwa kuleta matukio kama haya

sijui alielekea wapi baaday ahii dharuba
 
aaaah head tichaaaaaaaa unanipa raha sana ...kwa hali hiyo bado unaona chichiemu ni baba na wanakuboreshea maisha..hahaaaa.God Forbid
 
la msingi ni kumuondoa huyu kiwete ooops! kikwete pale ikulu maana anaweza kuigeuza ikulu ndo familia yake ilipo

hana maana kabisa huyu mzee na tuna bahati huyu mtoto sio mwanajeshi maana gafla mngesikia ndo mkuu wa majeshi
 
watoto wetu tunataka wasome yeye ni nani anakwenda huyu riziwani

nyambafu kabisa.

kikwete ndo ataibomoa ccm. kikwete,riziwani na salma ni watu wa ovyo sana. huwezi kumtuma mwanao aende kuvunja makundi.kwani wakati kiwete anapita iringa kukampeni hakuliona hili?
 
Undai bado anauota utawala wa kifalme. Halafu bana mtu akiwa wa upande huu wa mama mdogo huwa hata akiwa kasoma haelimiki. Haka kaundai kanawalazimisha watendaji wa serikali kuvunja sheria na kanuni za uchaguzi maana kanaota kako juu ya sheria. Sasa kamekutana na watanzania ambao hawadanganyiki.
 
Safi sana hao wanataka kuanzisha mbinu za uchakachuaji wa kura, safari hii hawaambulii kitu
 
Mbona hii habari ni kama haijakamilika!Kama ni kweli vijana wa Iringa wanastahili pongezi.Kwa kweli hatuhitaji vi family trinity kutuongezea umasikini.
 
Na FRANCIS GODWIN (MZEE WA MATUKIO)

1.JPG

Msafara wa mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Bw Ridhiwan Kikwete ukiondoka katika shule ya msingi Ipogolo baada ya kikao chao cha vijana shule hapo kushindikana leo
5.JPG

Mkuu wa shule ya msingi Ipogolo Aman Mkeremi akiomba msamaha kwa wafuasi wa Chadema kwa hatua yake ya kuruhusu CCM kufanya kampeni shuleni​

6.JPG

Darasalililoandaliwa kwa ajili ya kampeni za CCM hili hapa​

IMG_1796.JPG

Mwanafunzi wa shule ya msingi Ipogolo akiwa nje ya ofisi baada ya walimu kujifungia ndani​

MTOTO wa mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Jakaya mrisho Kikwete ,Ridhiwan Kikwete leo ameonja joto la jiwe katika ziara zake za kampeni ndani ya CCM baada ya kutimuliwa mbio zaidi ya mara moja wakati akitaka kufanya kampeni za CCM katika taasisi za umma.

Ridhiwani ambaye ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya baraza kuu la umoja wa vijana wa chama cha mapindunzi (UVCCM) Taifa akiwa na viongozi akiwemo aliyekuwa mshindi wa kura za maoni jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela na washiriki wengine wa kura za maoni kama Jescar Msambatavangu walifika katika shule ya msingi Ipogolo wakitaka kukutana na vijana wa eneo hilo ili mjumbe huyo aweze kumuunganisha mgombea ubunge wa jimbo hilo Monica Mbega na Mwakalebela japo mkakati huo uligonga ukuta.

Kabla ya msafara wa Ridhiwan kufika shuleni hapo kwa ajili ya kikao chake cha ndani ya vijana wa CCM kwa lengo la kuvunja makundi ndani ya chama hicho ,aliyekuwa mmoja kati ya wana CCM 12 walioingia katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo hilo Msambatavangu alipita mitaani kujaribu kuwaomba vijana kwenda kumsikiliza mtoto huyo wa Rais Kikwete japo waligoma kwa madai kuwa hawadanganyiki na ujio wake.

Hata hivyo baada ya vijana hao wa vijiweni kugoma kwenda katika shule hiyo kwa ajili ya kutana na mjumbe huyo kwenye chumba cha darasa la pili katika shule hiyo ya msingi Ipogolo bado msafara huo uliweza kufika katika eneo hilo kwa ajili ya mkutano japo idadi ya vijana waliokuwa wamefika ilikuwa ni kama vijana 10 pekee.

Mtoto wa rais ana akili ndogo.
 
Kila kitu kinachiohusu kuvamia munakihusisha na Chama chetu Chadema. Acheni upunguani.

Huyo Rizwani kavamiwa na Watanzania.

Acheni uzushi wenu.
 
angalia magari ya msafala wake yalivyo ya kifahari,then linganisha na hali ya mwl mkuu na mazingira ya kujifunzia ya shule hiyo,hili ni somo kwa walimu na watanzania kwa ujumla hii familia inaendekeza anasa na si kujali kero za wa tz
 
kwa nini hawakumvunja taya bawazazi huyu? yeye anatanua na mashangingi ya ikulu wakati wenzake wanashindia ulanzi
 
Kampeni za Ridhwan zinawauma sana chadema. kama hazina manufaa kelele zote za nini?
 
na francis godwin (mzee wa matukio)

1.jpg

msafara wa mtoto wa rais jakaya kikwete bw ridhiwan kikwete ukiondoka katika shule ya msingi ipogolo baada ya kikao chao cha vijana shule hapo kushindikana leo
5.jpg

mkuu wa shule ya msingi ipogolo aman mkeremi akiomba msamaha kwa wafuasi wa chadema kwa hatua yake ya kuruhusu ccm kufanya kampeni shuleni

6.jpg

darasalililoandaliwa kwa ajili ya kampeni za ccm hili hapa

img_1796.jpg

mwanafunzi wa shule ya msingi ipogolo akiwa nje ya ofisi baada ya walimu kujifungia ndani

mtoto wa mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia chama cha mapinduzi (ccm) jakaya mrisho kikwete ,ridhiwan kikwete leo ameonja joto la jiwe katika ziara zake za kampeni ndani ya ccm baada ya kutimuliwa mbio zaidi ya mara moja wakati akitaka kufanya kampeni za ccm katika taasisi za umma.

Ridhiwani ambaye ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya baraza kuu la umoja wa vijana wa chama cha mapindunzi (uvccm) taifa akiwa na viongozi akiwemo aliyekuwa mshindi wa kura za maoni jimbo la iringa mjini frederick mwakalebela na washiriki wengine wa kura za maoni kama jescar msambatavangu walifika katika shule ya msingi ipogolo wakitaka kukutana na vijana wa eneo hilo ili mjumbe huyo aweze kumuunganisha mgombea ubunge wa jimbo hilo monica mbega na mwakalebela japo mkakati huo uligonga ukuta.

kabla ya msafara wa ridhiwan kufika shuleni hapo kwa ajili ya kikao chake cha ndani ya vijana wa ccm kwa lengo la kuvunja makundi ndani ya chama hicho ,aliyekuwa mmoja kati ya wana ccm 12 walioingia katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo hilo msambatavangu alipita mitaani kujaribu kuwaomba vijana kwenda kumsikiliza mtoto huyo wa rais kikwete japo waligoma kwa madai kuwa hawadanganyiki na ujio wake.

hata hivyo baada ya vijana hao wa vijiweni kugoma kwenda katika shule hiyo kwa ajili ya kutana na mjumbe huyo kwenye chumba cha darasa la pili katika shule hiyo ya msingi ipogolo bado msafara huo uliweza kufika katika eneo hilo kwa ajili ya mkutano japo idadi ya vijana waliokuwa wamefika ilikuwa ni kama vijana 10 pekee.

source bwana!!!! Habari kama hazina rejea hutupwa kapuni!!!!
 
Na FRANCIS GODWIN (MZEE WA MATUKIO)

1.JPG

Msafara wa mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Bw Ridhiwan Kikwete ukiondoka katika shule ya msingi Ipogolo baada ya kikao chao cha vijana shule hapo kushindikana leo
5.JPG

Mkuu wa shule ya msingi Ipogolo Aman Mkeremi akiomba msamaha kwa wafuasi wa Chadema kwa hatua yake ya kuruhusu CCM kufanya kampeni shuleni

6.JPG

Darasalililoandaliwa kwa ajili ya kampeni za CCM hili hapa

IMG_1796.JPG

Mwanafunzi wa shule ya msingi Ipogolo akiwa nje ya ofisi baada ya walimu kujifungia ndani

MTOTO wa mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Jakaya mrisho Kikwete ,Ridhiwan Kikwete leo ameonja joto la jiwe katika ziara zake za kampeni ndani ya CCM baada ya kutimuliwa mbio zaidi ya mara moja wakati akitaka kufanya kampeni za CCM katika taasisi za umma.

Ridhiwani ambaye ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya baraza kuu la umoja wa vijana wa chama cha mapindunzi (UVCCM) Taifa akiwa na viongozi akiwemo aliyekuwa mshindi wa kura za maoni jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela na washiriki wengine wa kura za maoni kama Jescar Msambatavangu walifika katika shule ya msingi Ipogolo wakitaka kukutana na vijana wa eneo hilo ili mjumbe huyo aweze kumuunganisha mgombea ubunge wa jimbo hilo Monica Mbega na Mwakalebela japo mkakati huo uligonga ukuta.

Kabla ya msafara wa Ridhiwan kufika shuleni hapo kwa ajili ya kikao chake cha ndani ya vijana wa CCM kwa lengo la kuvunja makundi ndani ya chama hicho ,aliyekuwa mmoja kati ya wana CCM 12 walioingia katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo hilo Msambatavangu alipita mitaani kujaribu kuwaomba vijana kwenda kumsikiliza mtoto huyo wa Rais Kikwete japo waligoma kwa madai kuwa hawadanganyiki na ujio wake.

Hata hivyo baada ya vijana hao wa vijiweni kugoma kwenda katika shule hiyo kwa ajili ya kutana na mjumbe huyo kwenye chumba cha darasa la pili katika shule hiyo ya msingi Ipogolo bado msafara huo uliweza kufika katika eneo hilo kwa ajili ya mkutano japo idadi ya vijana waliokuwa wamefika ilikuwa ni kama vijana 10 pekee.
Wanyalu mmeonyesha spirit ya Chief Mkwavinyika wakati anawakataa wakoloni, hasa alipomdondosha kamanda wa wajerumani Emil Von Zelewisky pale Lipuli.... Naskia raha naona kama ukombozi wa nchi yetu umekaribia vile..... Kazi nzuri my brothers and sisters... nilidhani mtatia aibu kama akina Mwakifulefule, Mwakyusa, Mwandosya, Mwankusye, Malakasyuka, Mwamfupe, Mwamsojo, Mwampulule, Mwakisole, Mwamjinga, Mwampumbavu.... hawa jamaa wanyakyusa wameushangaza ulimwengu kwa kumpa Riizi wani uchief wa wanyakyusa, eti riizi wani ni malafyale kule kwao, lakini wanyalu mmesimama kidete na kulinda uhuru wa kabila lenu na kazi nzuri ya Mkwawa pale lipuli...
 
Back
Top Bottom