Ridhiwan Kikwete alikuwa kwenye uchaguzi wa Yanga?

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
Nimesikia jina la huyu mtu kule kwenye uchaguzi wa Yanga...... Imekuwaje tena? au sikio langu halikuwa makini? Nisaidie jamani.
 
vipi bana, kwani yeye hana haki? let the boy live his life
 
vipi bana, kwani yeye hana haki? let the boy live his life
Yes,inapaswa kuwa hivyo. Tatizo lake kila anapoweka mguu anachafua hali ya hewa. Kumbuka kule UVCCM alivyowavuruga, sasa nasikia hata kwenye uchaguzi Yanga kaleta mgogoro.
 
Tamaa imemtawala ... mara wakili, mara mwanasiasa UV, kiongozi wa sports, msimamizi wa kampeni ya baba yake, nk. .. he need Psychiatrist help
 
Naona ana muda wa kufanya yote hayo na sio wa kwanza. Mbona hata leo wapo watu ni wabunge, mawaziri, wajumbe wa bodi, viongozi wa jumuiya za kidini, na wana miradi wanaimiliki na isitoshe ni mafriends wa vilabu. Kama una ubavu jaribu na wewe
 
Nimesikia jina la huyu mtu kule kwenye uchaguzi wa Yanga...... Imekuwaje tena? au sikio langu halikuwa makini? Nisaidie jamani.
Ana haki kama mwanachama yeyote kuhudhulia. Nilimsikia mwenyewe BBC akikili kwamba yeye ni mpenzi wa Yanga na Liverpool.
 
Kuna tatizo gani kwa kijana kuwa mpenzi wa michezo?.........hata Baba yake ni mpenzi wa Yanga..........
 
Kinachonishangaza ni nafasi aliypewa. Kwa kweli hakustahili nafasi ya kusimamia uchaguzi na ndo maana aliuvuruga na kujishushia heshima maana tayari alikuwa na upande anauegemea na ndo maana mgombea mmoja akajitoa. Ni kama vile Tume ya Uchaguzi (NEC) inavyosimamia uchaguzi wa Tanzania na ndiyop maana akauvuruga uchaguzi wa Yanga.
 
Back
Top Bottom