Ridhika na unachopata

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Watu wengi tumeumbwa na hali ya kutoridhika na tunachopata
swala hili limekuwa tatizo kubwa sana katika jamii na kufika hata
watu waliokuwa wastaarabu kuitwa MAFISADI...huku kwenye
mahusiano watu wanaachika kwa sababu ya kutoridhika
Swala hili limefikia wanwake wengi kuacha waume zao kisa hawana
gari,hawana nyumba na baya zaidi wengine awawaachi wanaendele
kutembea na wenye nazo uku wakiwahukumu wenye mali zao
Ukija kwenye swala la kazi watu wanajilimbikizia mali fasta
wakijipa moyo na chukua chako mapema.....,ukija kwenye elimu
unakuta watu wanataka kumaliza elimu zao fasta watoke mapema
jamani lini tutachana na tamaa ????unakuta wazee wazima wana familia
zao na watoto zao tena wakubwa wameshatolewa na bikira unakuta
wanafakamia watoto wa wenzao...jamani mbona usifakamie wako
kwa nini usiridhike na ndoa yako usiridhike na mkeo/wakezako Kwa wale
wenzetu??Acha kuwa na tamaa ridhika na ulicho nacho kama kidogo kaza
buti utatoka tu...na kama ni hamu basi nenda kanisani ukaombewe hilo ni roho
ya uzinzi,roho ya tamaa,....nawatakieni
Jumapili njema
 
Back
Top Bottom