Udaku huo, aliye mpendekeza Masha ni Lowassa sio RizOne. Labda Hawa Ghasia ndio kapendekezwa na mama Salma!
Naomba nikujibu kuwa anayetakiwa kumshauri Raisi katika uteuzi wa Mawziri ni Waziri Mkuu basiPHP:
PHP:
Mambo mengine muwe mnafkiri kutuletea hapa sio wote fkra zetu finyu kiasi hicho rais ana baraza la ushauri sio pekeake anaamua kumpa mtu uwaziri au cheo kikubwa serikalini pia chama tawala kina barazakuu linahusika katika ZOEZI wewe vipi kama unashuki na JK usihusishe mambo mengine au kama unasikia vijiweni uwe unauliza ujue ndo ulete hapa

Naomba nikujibu kuwa anayetakiwa kumshauri Raisi katika uteuzi wa Mawziri ni Waziri Mkuu basi
Hiyo ni kwa mujibu wa Ibara ya 55(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
55.-(1) Mawaziri wote ambao ni wajumbe wa Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa ibara ya 54 watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Waziri Mkuu.
(2) Pamoja na Mawaziri waliotanjwa katika ibara ndogo ya (1), Rais aweza, baada ya kushauriana na Waziri Mkuu, kuwateua Naibu Mawaziri. Naibu Mawaziri wote hawatakuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.
(3) Rais aweza kuteua idadi yoyote ya Naibu Mawaziri ambao watawasaidia Mawaziri katika utekelezaji wa kazi na shughuli zao.
(4) Mawaziri na Naibu Mawaziri wote watateuliwa kutoka miongoni mwa Wabunge.
(5) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) ikitokea kwamba Rais anahitajiwa kumteua Waziri au Naibu Waziri baada ya Bunge kuvunjwa, basi aweza kumteua mtu yeyote ambaye alikiwa Mbunge kabla ya Bunge kuvunjwa.

waziri wa zamani wa mambo yandani lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama na hao mawaziri wengine ni mke wake anayemchagulia:sad: