Ridandas ya vodacom nani anafwata??

Kwa mfano, kuchelewa kazini-UNATUPWA. Kuendesha gari ya vodacom ukiwa unaongea na simu na ukiripotiwa na yeyote aliyekuona-UNATUPWA. Ukichelewa kutoa reports kwa superior wako na ukabainika bila excuse-UNATUPWA. Upande wa customer care ndo usiseme...ukimjibu vibaya mteja na ukasikika-UNATUPWA.
Ndo hali ya wenzetu haooooooo

Mkuu ni taratibu za msingi sana hao wafanyakazi walipaswa kufuata ili kuongeza ufanisi kazini. Sasa kama kisa cha kuwapunguza ni kutokutii hizo taratibu ni bora waende tu.
 
tehe sio customer care yote imekuwa otsourced, call center ndo imekuwa outsourced kuna team leaders managers back office yote na quality assessors bd wapo voda.
 
Hi,chimunguru ata hao maTL waliambiwa wakubali kuwa outsoursed au wasepe na waliokubli walienda kufnya intervw ERO LINK then wakarudi kuendelea na uteam leader.
 
Back
Top Bottom