Ricky Martin akubali ni "bwabwa"

Ubwabwa ni kansa ktk jamii na inazidisha mabalaa ktk jamii.
ktk watu wanaochukia ushoga na usagaji nadhani ni mimi jamani!huwa sielewi kabisaaaaa mtu anapokubali kufanya haya mambo na usiku akalala vizuri na kausingizi kakaja,huwa sielewi jamani na sitakaa nielewe,ni ugonjwa wa akili!
 
Eti wao wansema ndivyo walivyozaliwa. Inabidi wanasanysi watuambie kama kuna mbwa, mbuzi, sokwe ,kuku bata mashoga/ masagaji . Yet still kuna watu wanaona hii ni sawa.

Inawezekena hii ndo tafauti kubwa ya species ya myama binadamu na myama sokwe.

Binafsi sielewi
 
nakubaliana na wewe mama......hata mimi huwa siwaelewi....ni matatizo ya akili tu....
 
Eti wao wansema ndivyo walivyozaliwa. Inabidi wanasanysi watuambie kama kuna mbwa, mbuzi, sokwe ,kuku bata mashoga/ masagaji . Yet still kuna watu wanaona hii ni sawa.

Inawezekena hii ndo tafauti kubwa ya species ya myama binadamu na myama sokwe.

Binafsi sielewi

kuna wakati niliona clip moja ya homosexuality in bononos- pygmy chimpanzees kwa kweli niliishiwa nguvu.Hiyo clip iko kwa lugha ya kispanish inawezekana walifafanua kwa undani juu ya hili suala ila mi sikuelewa.

All in all bado sielewi inakuaje mwanaume/mwanamke akubali kugeuzwa mke na mwanamme/mwanamke mwenzake.

By the way ukitaka kuiona hiyo clip itafute youtube.
 
Kuna wanaosema ni genetic disorder...but if it's a disease or kinda disorder itakuwa ni second disease,apart from alcoholism,kuwa promoted.Tunaona human rights groups wanapigania uhuru wa mashoga na wanasagaji,huku homosexual activists waki orient vijana in high school torwards homosexuality......the question:Kama ni ugonjwa kama vile kisukari,Turner syndrome,Polio,goiter etc huwa tunaungana kupiga vita ili yasiendelee kuleta athari ktk jamii,,,,mbona ugonjwa unakuwa promoted?in other words unasambazwa badala ya kudhibiti.
 
Studies nyingi zaonesha homosexuals wako vulnerable to psychological disorders.Wengi wao wanahusishwa na madawa ya kulevya.The fact is everything is made up of atom..so if u wanna change anything u gotta change the atomic entities of your body to cope wth ur way.Angalia documentary ya anayejiita Susan Ashley Stanton(born Steven B.Stanton)..ni transgender,usikie anavyojuta kubadilisha jinsia na alishafikia maamuzi ya kujiua.
Nilicheka siku moja nilivyokuwa napewa muongozo wa ku take history kwa wagonjwa..kwamba sitakiwi kukurupuka kuandika gender ya mtu just by mere looking...but rather gotta tell them that "I have been dealing wth all kinda sexually oriented people..so please may u express urself in ths context"..dah,nilichoka..kwa hiyo nahisi hata forms nyingi zitabadilika...badala ya just F na M....itabidi waongeze vitu vingine kuwakilisha other groups.
Consider ths statement..."ladies are just like ths...no matter they are females or males"...lol
Inasikitisha mnoo
 
In the past Martin stated he was in love with Mexican TV host [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Rebecca_de_Alba"]Rebecca de Alba[/ame], with whom he had an off-and-on-again relationship for over 14 years. They even talked of starting a family together,[15][16][17] and at one point Martin planned on proposing.[18] However with the release of Life, Martin confirmed he and De Alba had parted ways.[19][20]

During the Livin' la Vida Loca era, Martin's personal life went under the microscope due to his large gay following, and he was questioned about his sexual orientation. In December, 2000 during an interview in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Daily_Mirror"]The Mirror[/ame], Martin was asked, '"So what about all these rumors?" "There's not a lot I can do about that," he said, wriggling in his seat slightly. "I guess these rumours were started by people who don't have a life, or perhaps it's because they want me to be like them and I'm not. I try not to pay attention to any of these allegations. I could have been married with kids for years or have 27 girlfriends, and if people still want to go around saying that I'm gay, they will."'[21][22] In 2010, prior to Ricky Martin coming out, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Barbara_Walters"]Barbara Walters[/ame][ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Toronto_Star"]Toronto Star[/ame] quoted her as saying, "When I think back on it now, I feel it was an inappropriate question."[23][24]
expressed some regret for pushing Martin to admit if he was gay. The

In August 2008, Martin became the father of twin boys, named Matteo and Valentino. The babies were delivered via [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gestational_surrogacy"]gestational surrogacy[/ame]
.[25]
 
Wakaka wa Latin America wanajipenda sana kama ni mgeni nao unaweza kudhania wote ni Gays!

Umenikumbusha siku nimetoka US kwenda London, nilipo fika kila mtu niliona kama ni gay.

Kama jamaa alivyo sema hapo juu, huyu haku hitaji kutangaza ,alikua anaoneysha tuu ukimcheki tuu ,kwanza muda wote alikua hana demu , dume gani anaye fanana na Ricky akose demu ? .
Siku alipo perform ile ngoma (Here we go Ale ale ale" kwa mara ya kwanza kwenye Grammy Awards kesho yake alipata simu toka kwa Madonna na tunaelewa Madonna akikupigia simu huwa anataka nini , ila jamaa mtarimbo doro hakuna kilicho endelea ,haku wahi kumssex Maddona , hiyo ili kua ni sighn kubwa kwamba jama ni mambo fulani, alijisingizia yuko kwnye relationship na demu mmoja wa kispanish amabye ni news encho ila hakuwahi kuonekana naye .
 
Oh really? wewe unamwona amenyooka? Hypothetically speaking...would you consider going out with a man like that?

HYPOTHETICALLY....WHY not? He is a man...
Kunyooka ..kwani kapinda wapi? na kama kapinda si ni maumbile ya mtu jamani? NO body is perfect si ndio?
 
Kuna jamaa kaniomba friendship kwa facebook (simfahamu), ile kukubali tu eti ananialika kwenye page ya 'tanzania ni nchi nzuri kwa mashoga'.
I had to block the guy, and i think hate 'him'.
 
Umenikumbusha siku nimetoka US kwenda London, nilipo fika kila mtu niliona kama ni gay.

Kama jamaa alivyo sema hapo juu, huyu haku hitaji kutangaza ,alikua anaoneysha tuu ukimcheki tuu ,kwanza muda wote alikua hana demu , dume gani anaye fanana na Ricky akose demu ? .
Siku alipo perform ile ngoma (Here we go Ale ale ale" kwa mara ya kwanza kwenye Grammy Awards kesho yake alipata simu toka kwa Madonna na tunaelewa Madonna akikupigia simu huwa anataka nini , ila jamaa mtarimbo doro hakuna kilicho endelea ,haku wahi kumssex Maddona , hiyo ili kua ni sighn kubwa kwamba jama ni mambo fulani, alijisingizia yuko kwnye relationship na demu mmoja wa kispanish amabye ni news encho ila hakuwahi kuonekana naye .
mambo juu ya mambo
 
Huyu naye! Watu wengi tulikuwa tunajua kwamba naye ni BOFLO labda yeye mwenyewe alikuwa hajui hivyo na kuendelea kujibaraguzabaraguza.
 
HYPOTHETICALLY....WHY not? He is a man...
Kunyooka ..kwani kapinda wapi? na kama kapinda si ni maumbile ya mtu jamani? NO body is perfect si ndio?

Kapinda nikimaanisha siyo 'straight' (heterosexual)...ni bent (homosexual)...

And if you would go out with him (hypothetically)..then that's fine. Is he a man? Absolutely he is. Does he have feminine ways? You betcha! Now if you like men with feminine tendencies then I can't argue with that. Kipenda roho au sio?

Mimi nilidhani wanawake walio hetero wanapenda ku date wanaume wasio na feminine ways. Me as a man I like girly girls and not tomboys.
 
Aisee watu nomaaa? jamaa anapumuliwa???? as Most of youngsters prefer copy & paste in ze near future nao wasnii wetu wataanza (kama bado) kupakatwa, kama helen, vikuku washanza kuvaa
 
-Watu wa aina hii wananiudhi,hakuna cha haki za binadamu hapo.Ndiyo mana hata Mugabe aliwaita kwamba ni watu wa ovyo kuliko Mbwa na Nguruwe
 
Back
Top Bottom