RICK ROSS: Nilijua KILIMANJARO ni aina ya BANGI na sio MLIMA

Taratibu dogo.



Grand_Canyon_1.jpg

grandcanyonskywalk-2.jpg


grand-canyon-np-lg.jpg

Brother sikumaanisha wewe naona umekuja na all guns loaded.
 
Nenda usa halafu sema nilidhani WHITE HOUSE ni GUEST HOUSE utakiona cha mtema kuni

Mamamaweeeeeee ndiio nilikua najua hivyo kumbe ni nini sasa kama sio Guest House? nisaidieni jamani maana nilisafiri mkoani nikafika Korogwe na Lushoto kuna guest zenye jina hilo
 
Anyway kwa faida ya wale wasiojuwa Grand Canyon ni nini, now i Abort my missile.

Its about time bro..your missile was going for the bullseye.Afadhali umetoa somo i bet kuna watu walitoka kapa hapa.
 
Kwanini watu wanafikiria jamaa katudharau badala kufikiria kwamba jamaa hajui tu kutokana na ukweli wa kwamba wengi wao hawajui mambo mengi ya kimataifa.

Wao wanajua kuhusu nchi yao tu na wengine pia hawajui mambo mengi kuhusu nchi yao.

Na ndio ukweli wenyewe hawana mda na vitu vingine visivo wahusu so mda mwingi na mambo ya america na sio zarau kwa wabongo
Maybach music forever.
 
Na ndio ukweli wenyewe hawana mda na vitu vingine visivo wahusu so mda mwingi na mambo ya america na sio zarau kwa wabongo
Maybach music forever.

Maybach, maybach f...ck! Unakaa kusifia utadhani unalipwa hata dola moja! Kwenda zako!
 
Maybach, maybach f...ck! Unakaa kusifia utadhani unalipwa hata dola moja! Kwenda zako!

Wananilipa kupitia msaada wa watu wa Marekani [USAID]
american n American hawezi kua mswahili ni untouchable....achana nao hao jamaa
#MMG Tour.
 
sishangai wamarekani wengi wana uelewa mdogo sana wa mambo nje ya mipaka yao
 
sishangai wamarekani wengi wana uelewa mdogo sana wa mambo nje ya mipaka yao

ni kwel, ofis kwetu tunao wamarekan wanaokuja kufanya kaz za kujitolea! truly, hawajui mambo meng yaliyo nje ya US, na hawajuti kutokujua!
 
Nashangaa sana mapovu yanapowatoka kwa ajili ya mvuta bangi wa kiwango ,bangi ni bangi tu hatu ukiwa raisi razima ikuzingue tu unafikiri wale makahaba wa bongo movie sio makahaba kwa sababu ni wa viwango,ni sawa na huyu teja tu
 
I see nimesoma hii thread, nashukuru michango ya watu wengi imenifurahisha. God made man,Man made weed. Rick ross calls it Kilimanjaro
 
mfano, kuna jamaa tunaye anatoka detroit yeye alidhan tz ni kisiwa ktk indian ocean na capital city ni zanzibar.

ha haa
kuna mmoja hapa nilimuuliza ametoka wapi akasema ametoka Montana, sasa mimi wacha nichemshe bongo nikadhani Montana labda ni mji mkuu wa nchi fulani ......wacha jamaa anishangae, hivi wakisema nimetoka USA itakuwaje? au wanadhani watu wote duniani wanasoma geographia ya USA!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom