Rick Ross I love youuuuuu please marry meeee,take me to Florida'

hahhahaaaaa.. kama kapenda ndevu mwacheni akazilambe... ila me nahisi ningemfuata lulu alipo:embarassed2:
:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:



Unajifanya muheshimiwa waziri? Yaani uende kumpiga Lulu miti gerezani? Tanzania kweli viongozi tunao, yaani kuanzia rais wetu mpaka vibaka wake walio madarakani. Tena nasikia Kikwete kampigia simu waziri kumpa dole na akampa tahadhali eti asimuingilie Jokate akaache tu amsubiri Lulu atoke.
 
302668_539286936087199_1366785038_n.jpg
 
Ninafikiri huyu alikuwa anatafuta sababu ya kuchomoka, nitamuacha ila karoho katauma aisee
 
wote hamjani empress first anirudishie kiingilio changu rether thy less kumbe ni :eyebrows:mbulula
 
Acheni ukuda, mbona hata nyie wanaume mnatabia ya kushoboka hovyo na 2dem lakin sisi ha2sem. Angalia mazingira bwana ingekuwa ndo wewe umemuona live Rihanna usinge data ?

Near by Meta high school Mbeya.
matusi ya nn mkuu?...taratibu..jukwaa la utani hili...
ila kama mm...namwambia una deni la 25,000
 
Unajifanya muheshimiwa waziri? Yaani uende kumpiga Lulu miti gerezani? Tanzania kweli viongozi tunao, yaani kuanzia rais wetu mpaka vibaka wake walio madarakani. Tena nasikia Kikwete kampigia simu waziri kumpa dole na akampa tahadhali eti asimuingilie Jokate akaache tu amsubiri Lulu atoke.
waziri yupi nipe ata features zake
 
Jamani huo ni ushabiki tu acheni pressure. Mie mwenyewe nikienda kwenye show ya diamond au ally kiba na-scream kama sina akili nzuri akigeuka kama nipo karibu nambinya wowowo. Ni ushabiki tuuu ukirudi home unasahau unaendelea na maisha
 
Ndo vile m2 hujikuta akigawa hata Unyumba bure anakuja kukumbuka baada ya kumaliza madudu yake afu m2 mwenyewe anakuona ka shimo la choo baada ya kuku2mia afu unaanza mkumbuka boyfriend wako wa kitambo
 
Back
Top Bottom