Rick Ross I love youuuuuu please marry meeee,take me to Florida'

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Baba yako mzazi kiatu kimechakaa mwaka wa Pili
sasa,umeuchuna,na kazi unafanya...Umejikakamua
umenunua tiketi 2 za Fiesta pale getini kwa 50,000 ili umu-
impress bebi...Anafika ndani anapiga yowe na ku-scream
'Rick Ross I love youuuuuu please marry meeee,take me to
Florida'
Bora nimpeleke babangu Shopping nipate baraka...
 
Kama kuna kitu chenye ncha kali,namrushia!!!Bora lawama kuliko fedheha
 
wadau siwaelewi naona mnalalamika tu hapa. Aliyesema hivyo ni Mange ama ni nani?
 
Baba yako mzazi kiatu kimechakaa mwaka wa Pili
sasa,umeuchuna,na kazi unafanya...Umejikakamua
umenunua tiketi 2 za Fiesta pale getini kwa 50,000 ili umu-
impress bebi...Anafika ndani anapiga yowe na ku-scream
'Rick Ross I love youuuuuu please marry meeee,take me to
Florida'
Bora nimpeleke babangu Shopping nipate baraka...
we mzuri ka avatar yako.
 
Acheni ukuda, mbona hata nyie wanaume mnatabia ya kushoboka hovyo na 2dem lakin sisi ha2sem. Angalia mazingira bwana ingekuwa ndo wewe umemuona live Rihanna usinge data ?

Near by Meta high school Mbeya.
 
hahhahaaaaa.. kama kapenda ndevu mwacheni akazilambe... ila me nahisi ningemfuata lulu alipo:embarassed2:
:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Baba yako mzazi kiatu kimechakaa mwaka wa Pili
sasa,umeuchuna,na kazi unafanya...Umejikakamua
umenunua tiketi 2 za Fiesta pale getini kwa 50,000 ili umu-
impress bebi...Anafika ndani anapiga yowe na ku-scream
'Rick Ross I love youuuuuu please marry meeee,take me to
Florida'
Bora nimpeleke babangu Shopping nipate baraka...
Nirudishie pesa yangu alaa
 
Natupa ngumi bora nilale polisi nitoke j3

aah ndugu yangu ngumi tena mi ningemwambia akazane kumwita ili akiridhia chombo namwachia ila ningemwomba akifika frolida wakati anakula raha na huyo mbantu mmarekani anirushie tiketi nami nikainjoy!
aaaaaah aaaaaha aaaaah:A S embarassed:!
 
Back
Top Bottom