Richmond= Richard & Monduli!!

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
Hivi ni kweli Kampuni ya RICHMOND NI KAMPUNI HEWA? na kuna fununu kuwa kampuni hii ni yake mwenyewe EL ndio maana akamuandikisha mwanawe aitwae RICHARD na kutumia jimbo analowakilisha Bungeni yaani MONDULI! na kutolea jina la RICH-MOND= RICHARD & MONDULI!!!
 
Kama hayo ni ya uhakika basi huyu Lowasa hafai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumikumi ,ni mtu ambae amekalia udanganyifu ,kiasi cha kumfanya Muungwana kupoteza dira kwa kumwamini na kumsifu ,ama kweli zimwi likujualo halikuli likakumaliza ,mpaka leo Muungwana anamsifu mtu huyu ambae inaonekana ni muangamizaji kwa kuchumia tumbo lake.Afikishwe kwenye vyombo vya sheria haraka ili ijulikane iliyoiva na iliyokuwa mbichi.
 
Back
Top Bottom