Richmond kutikisa Bunge

Ile ya Zitto ni mipasho kwa Katibu Mkuu wake aliezigombania posho alipokuwa Bungeni. Huko kwao kunafukuta chini kwa chini. Hapo mnyika hagusi.

Halafu azikatae posho? na ndio zilizompeleka Bungeni na bado hajatengeneza pesa za kuweza kumfanya akatae posho, mwenzake Zitto kisha jijenga mapeeema. Hata barick wamemsadia jimboni kwake, sasa wewe uliona barick wakisaidi jimbo la Mnyika? watu wana masalahi yao pale.

Huyo Mnyika hata siku moja hawezi kurudisha posho. Ile kususa yenyewe kwanza walikuwa wanaenda kusaini, posho ziingie.
Wewe FF na Kim Kadash mnajaribu kuzima hoja lakini mmechelewa maana huyo kijana hoja aishaipeleka bungeni kwa spika tayari, labda mnapiga porojo tuu!!!

 
Back
Top Bottom