RICHLAND Co Ltd hilo ndilo jina jipya la TANZANITEONE Co Ltd.....

From SAMAX to AFGEM to TANZANITE ONE to RICHLAND?
Hili jina la sasa tena ni tusi kabisa RICHLAND!!!!
 
Mi naona kama jamaa wameanza kuwakumbusha viongozi wetu walio lala kuwa sisi ni matajiri. maana kwa mikataba hatuoni hata kwa miwani ya aluminium labda kwa kutuwekea majina ya maudhi kama haya ambayo yanatupa sifa zinazofanana na za JUHA tunaweza funguka na kuona aibu.
 
Wataalamu wa kodi watakuja kutuambia hakuna ukiukwaji wa kodi hapo, ni taratibu tu za kampuni kubadili jina.

wataalamu wa international business watatuambia ni utaratibu wa kimataifa unaojulikana kubadili jina la kampuni, mambo ya strategic direction na leadership....wherever wherever!!

ukweli upo wapi? Hilton nairobi haijawahi kubadili jina tangu miaka ya 80 ilipoanza kufanya kazi, akini hapa kwetu tunabadili majina ya makampuni kila siku! What is the problem?
 
I am so angry, pressurized, waiting to burst, bcoz look, from SAMAX to AFGEM to TANZANITE ONE to RICHLAND, like camellion, na ukiuliza the so called TRA na wizara + kampuni husika, utapata different answers, majibu kama ni kawaida kampuni kuuzwa na kubadili jina, mara mabadiliko ya uongozi na Company plans, etc, etc, extraaaaa...... but hapa jibu ni moja tu, kukwepa kodiiiiiiii, wamezoea Tax holidays, this is kiddish, childish & babish behaviour our Govern. is doing to this investor, no seriousness at all, i am done.
 
Back
Top Bottom