Richard wa BBA na mambo ya Fweza chumbani

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php
 

Attachments

  • E.JPG
    E.JPG
    28.8 KB · Views: 773
Tehe demu pamoja na mume wake kukamega ka Tatyana lkn pesa imemkosha ametuliaaaaa tuliiiiiiiiiii
 
Hii kama naikumbuka, inaitwaje sijui vile, kwenye hii movie Richard alikuwa na ngoma na alimchukuwa demu wa Ze Great, demu huyo ndiye aliyekuwa anamhina naye anaenda kuhonga kama uonavyo kwenye picha. Ni movie nzuri, ina mafundisho.
 
afadhali richard baada ya kupata mifweza kafanya kitu cha maana yaani katumia kwa kutengeneza filamu inayolipa na kutoa mafunzo siyo yule shemeji yangu mshindi wa pili wa mwaka ule.......hakufanya cha maana aliishia kubeba tu mastaa wakamla ile mbaya bahati yake aliitwa tena bba lakini si haba tano bora na shemeji tena duuu!!!!!
 
hahahahahaha ngoja Wakurya wakusikie,,,ila tuache utani pande zile kuna mayai jamani ndugu zangu
Mkuu, umeshaishi mitaa hiyo nini?...Tangia saa 10 za usiku ni misururu ya baiskeli kuelekea mjini, na kinachofurahisha ni kwamba wana ushirikiano wa ajabu sana...
 
afadhali richard baada ya kupata mifweza kafanya kitu cha maana yaani katumia kwa kutengeneza filamu inayolipa na kutoa mafunzo siyo yule shemeji yangu mshindi wa pili wa mwaka ule.......hakufanya cha maana aliishia kubeba tu mastaa wakamla ile mbaya bahati yake aliitwa tena bba lakini si haba tano bora na shemeji tena duuu!!!!![/QUOTE]

angeenda kubeba magunia ya Tumbaku kule Moro, naskia ana mdogo wake kwenye kile Kiwanda cha Tumbaku TTPL angemstili kaka yake ila dada yetu nae Kamkwangua sijui alitumia kiwembe gani, eti ni kweli dada yetu ameshaachana na Jamaa wa NK2NK?
 
Back
Top Bottom