Richard Leo aliyekuwa TBC1 awa Mkurugenzi mpya Radio Kasibante FM Bukoba

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
nimesoma kwenye blog moja ya hovyo lakini hoja hapa ni kuwa hii redio inatumiwa na Magamba kueneza ujinga wa CCM inatwa kasibante wenyeji wa huko wanajua hilo.ni redio ya kijinga sana

BLOG NI Harakati

na sasa amechukua huyu sijui itakuwaje

poleni sana wahaya
 
Hapo kwenye nyekundu. Hii redio ni ya Khamis Kagasheki, Mbunge wa Bukoba Mjini na Naibu Waziri wa mambo ya ndani. Hii imetumika sana kumjenga na "kummaliza" mpinzani wake Wilfred Lwakatare.
 
nimesoma kwenye blog moja ya hovyo lakini hoja hapa ni kuwa hii redio inatumiwa na magamba kueneza ujinga wa ccm inatwa kasibante wenyeji wa huko wanajua hilo.ni redio ya kijinga sana

blog ni harakati

na sasa amechukua huyu sijui itakuwaje

poleni sana wahaya

njaa tu inamsumbua kagasheki atakuvusha wapi? Njaa mwanamalegeza
 
Kweli madaraka matamu,wanasiasa wanatumia pesa nyingi kubaki madarakani,wabunge wengi wana milki vyombo vya habari vinavyotumika kutafutia ushindi,mfano Mh Abood,Mh Rage.
Hapa umefika wakati wa kupitia miiko na maadili ya viongozi ya kwenye azimio la arusha na kuyaweka kwenye usasa ili kudhibiti maadili ya viongozi wetu,japo azimio la arusha ni marehemu lakini kuna misingi yake iko hai hadi kesho.
 
Jina lenyewe (kwa tafsiri) lilikuwa ni 'kebehi' kwa Wilfred Rwakatale, kagasheki ni mtu mzma lkn ovyo.
 
nimesoma kwenye blog moja ya hovyo lakini hoja hapa ni kuwa hii redio inatumiwa na Magamba kueneza ujinga wa CCM inatwa kasibante wenyeji wa huko wanajua hilo.ni redio ya kijinga sana

BLOG NI Harakati

na sasa amechukua huyu sijui itakuwaje

poleni sana wahaya

Ikumbukwe lengo la Kagasheki ni kuwapa ahadi wananchi wake aliyoitoa katika kampeini za 2005, sasa matumizi ya watendaji yasimhukumu yeye, kwani kumekuwa na baadhi ya wafanyakazi ambao hawajui majukumu yao kama kipindi kimoja cha asubuhi kimetumika kueneza ujinga maaana yake kama muandishi habari uwezi kuamini maneno ya kusikia then unapiga simu eti umebalance na ukiambiwa si kweli utadai wamekuonea, kama Kagasheki angesaidia kutoa elimu ya habari kwa baadhi ya watangazaji wake angesaidia sana jamii ya Bukoba.

Kumchuku Leo hajakosea kwasababu unaangalia hiyo redio imekuwa ikienda kama kichwa cha wendawazimu mapenzi na kazi haviendi, nilifika huko nikakuta mhuni mmoja heti meneja kwakweli ilikuwa ahibu, Leo akitulia anaweza kufanya kazi yule Kagasheki wasimchanganye mara huyu mara yule sana sana asimamie mapato ambayo naskia eti matangazo ni mengi hela hakuna.
 
nimesoma kwenye blog moja ya hovyo lakini hoja hapa ni kuwa hii redio inatumiwa na Magamba kueneza ujinga wa CCM inatwa kasibante wenyeji wa huko wanajua hilo.ni redio ya kijinga sana

BLOG NI Harakati

na sasa amechukua huyu sijui itakuwaje

poleni sana wahaya

Jaribu kuwa mkweli,hiyo KASIBANTE kuanzishwa au kumilikiwa na balozi HAMIS KAGASHEKI si kueneza uCCM.Tungekuwa futuhi tungeomba utengue kauli.
 
Mimi sioni ni kwanini alaumiwe kagasheki maana ukiangalia familia yake majibu utayapata. wananchi wa bukoba wanajuta sana lkn sikio la kuwa ni wana bukoba vichwa vyao ni vya wenda wazimu. Hi unajua Kagasheki kawafanya watumwa wale walio kuwa na mwalimu nyerere kupigania uhuru. Mzee lwaangisa alitukanwa sana na Kagasheki pamoja na mwanae lakini sasa mtu na baba yake wana mlamba miguu kagasheki pesa hii, inamaliza heshima , uwezi kuamini. Kagasheki wakitaka arudi madarakani wamweke tena Rwakatare atachukua kilaisi maana rwakatare kachoka.
 
Hapo kwenye nyekundu. Hii redio ni ya Khamis Kagasheki, Mbunge wa Bukoba Mjini na Naibu Waziri wa mambo ya ndani. Hii imetumika sana kumjenga na "kummaliza" mpinzani wake Wilfred Lwakatare.

waziriwa maliasir na utalii
 
Kati ya FM Radio mbovu hapa duniani hii Kasibante inaongoza.Watangazaji wake ni wa hovyo wasio na elimu na weledi wa kazi zao.Habari zao ni za kizushi zisizokuwa na ukweli wowote.Mara nyingi imekuwa ikitumiwa na watu wachache katika kuwachafua wengine na kupandikiza chuki katika jamii.Baada ya Kagasheki kupigwa chini na Lwakatare sasa imekuwa busy kupambana na mahasimu wake wa kisiasa.TCRA FUNGIA UPUUZI HUU UNAOITWA KASIBANTE RADIO.
 
Huyu richard leo bado yupo?!
 
Back
Top Bottom