Richard kasesela ndani ya TBC anaongea

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,024
2,553
Wana jamii forum angalieni tbc sasa hivi mtaalam.Richard Kasesela anavyoshusha pumba kuhusu mgomo.wa madaktari
 
Nimemsikia kwa kiasi flani anajitadi ila hata mzee mzindakaya naye haweki wazi nini kiini cha tatizo wote wawili wameshindwa kuongelea upande wa pili wa serikali wameegemea upande mmoja wa wadaktari na kubana kuwasihi madr warudi kwenye meza ya mazungumzo
 
Huku hakuna umeme fanya kama upo kwenye mkutano wa ndani utumegee sisi tulionje ya ukumbi (gizani) at least tupate kuchangia.
 
Huku hakuna umeme fanya kama upo kwenye mkutano wa ndani utumegee sisi tulionje ya ukumbi (gizani) at least tupate kuchangia.

Anasema kuwa udaktari ni wito na wote wanaogoma ni kutokana kushuka maadili
 
Kwa tunaomfahamu huyu, hatushangai, (No point, Need Publicity) waswahili wana msemo, kujikombakomba.
 
Huyu jamaa namuangalia hapa ni siasa tupu..watanzania tuna taabu sana.Anasema yeye aliwai kulipwa mshahara wa dola 5000 lakini bado alikuwa aridhiki.Sasa anawaambia madaktari waridhike na laki 5.Huyu jamaa sijui wa wapi?
 
Amesema ana degree mbili kabla hata kabla hajaulizwa kiwango cha elimu yake

Huyu Kasesela si ndiye aliye chafua hali ya hewa kwenye mjadara wa Katiba pale Mlimani? Wana watu yaani Mzindakaya aliye vuta 3bilion za BOT na huyu Kasesela kabaraka wa mafisadi, wananiudhi kweli, wanapotumia maneno "nadhani" ama "nafikiri". Ina maana hawajui na wala hawana uhakika na wanachokiongea, wanamwaga ***** mtupu.
 
Huyu jamaa namuangalia hapa ni siasa tupu..watanzania tuna taabu sana.Anasema yeye aliwai kulipwa mshahara wa dola 5000 lakini bado alikuwa aridhiki.Sasa anawaambia madaktari waridhike na laki 5.Huyu jamaa sijui wa wapi?

Nimesikia anajinasibu ati alikuwa anapata dola 5000 na bado alikuwa aridhiki.. yaani huyu ni kilaza namba 3.. lakini cimshangai huyu.. anatumika na anabebwa na JK..
 
Mjadala unaendelea na Dr Kasesela anaonekana anaunga mkono uamuzi wa serikali tena amejipambanua kuwa mwanasiasa na anashangaa kwanini madaktari wagome ilhali watanzania wanapoteza maisha?
Wote wanaolaumu madaktari ni vipofu? Mbona hawataki kuangalia upande wa pili wa shilingi ambao ni serikali, kwanini serikali isiwajibike kuokoa maisha ya watanzania kwa kutekeleza madai ya madaktari?

My take:
Serikali sikivu iwajibike kuokoa maisha ya watanzania ambao ni maskini na hawana uwezo kupata huduma kwenye hospitali za binafsi na nje nchi, vinginevyo tuendelee kuamini kuwa serikali yetu sio sikivu.
 
Hivi ni matatizo gani makubwa ya kisera ya Waziri Dr Hajj Mponda alazimishwe kujiuzulu?,
Lakini huyu Richard ni pumba tupu!, ametumwa ku"harmonize" tu.
 
we tolerate their presence on air. Its their turn, honestly the airtime has been wasted whoever sponsored them!
 
tukubali kutokukubaliana katika mambo ya msingi tumpinge kasesera kwa hoja wengine hatuna TBC
 
serikali iache propaganda...na wasipoangalia hii kitu itawadondokea kama avalanche...!
 
Jk na Kasesera walikuwa majirani pale mtaa wa chatu mikocheni A kabla jamaa hajawa Rais lakini pia ana ndoto ya kugombea ubunge jimbo moja la huko kwao Rungwe mashariki ambalo aligombea mwaka 2010 kwa tiketi ya CCM na kuangushwa na Prof Mwakyusa aliyekuwa waziri wa Afya. Nasikia atapewa Uwaziri anavyosema mtaani

Ndoto hizi ndizo zinamfanya kukosa msimamo.
 
amesema MAT si chama rasmi cha madaktari.amesema ni NGO tu.amepondea NGOs kwa kusema ni vikundi vya vurugu.mbunge huyu wa zamani ametoa kauli hizi akiwa kwenye jitihada za kuitetea serikali kupitia TBC.hawa ndio wazee walioitafuna nchi na kuiacha mifupa leo hii wameitwa kupiga propaganda.so saad.....
 
Back
Top Bottom