Richard Kasela Bantu afariki dunia

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Nimepigiwa simu muda huu kuwa mwanasiasa mkongwe wa zamani Mzee Kasela Bantu amefariki Dunia, naomba mwenye taarifa kamili hatujulishe
 
Mkuu, alokufa ni kakake na si Kaselabantu. Amerejea jijini kwa ajili ya msiba na yuko salama, unaweza kui-edit post yako pls?
 
sawa mkuu sio mzee Kasela Bantu ni kaka yake au na wewe umechanganya na Tedy Kasela Bantu yule Mbumge
 
Aliyefariki ni Richard Kasela Bantu mtoto wa Mzee Kasela Bantu na kaka wa Mheshimiwa Mbunge Tedy Kasela Bantu,msiba unafanyika Mbweni nyumbani kwa marehemu Richard Kasela Bantu,Mazishi yalikuwa yanawasubili watoto wa marehemu wafike ambao wanaishi UK.Mwenyezi aiweke roho yake mahari pema peponi!
 
Back
Top Bottom