Rich Mavoko kusaini Wasafi Classic Baby

Management is useless kama msanii mwenyewe hayupo tayari. Msanii Lazima awe na displine, ajue umuhimu na kuheshimu Kazi yake, ajitambue, awe na uchu wa mafanikio na nia ya kujiongeza na kupush boundaries. Management inaongeza pale unapoishia sio kujazilizia mapungufu yako.

Mfano Dayamondi, ndio mfano bora na pekee tulionao, management yake wale kina Tale na Fella wanamuongezea ushawishi hasa wa ndani lakini nje Dayamondi mwenyewe anajua kujiongeza japo management is + ila inaanzia kwa msanii mwenyewe.
 
Kuna kitu kikubw sana leo" Manager Salaam kasema
Sijui ni nini lets wait.
c6e4aa3e88bce07a9a06475033a0c292.jpg
 
Rich Mavoko namkubali sana huyu jamaa!

Ila sioni kama ni best move, nilitamani kungeibuka Management nyingine inayoweza kusimamia wasanii tukaona ushindani kwenye muziki.

Wasanii kama kina Belle9 mzee wa Masogange, Shetta, Ali Kiba, Abdu Kiba, Mr Blue, Steve R&B etc ni wasanii wakali sana tatizo ni management inayoweza kupambana kwenye soko la muziki.

Babu Tale na Mkubwa Fella wamekamata hili soko kiasi kwamba ni kazi kweli kushindana nao.
If you can't defeat them join them.
Na akina kiba wajoin tu WCB maana hakuna namna.
 
Rich Mavoko namkubali sana huyu jamaa!

Ila sioni kama ni best move, nilitamani kungeibuka Management nyingine inayoweza kusimamia wasanii tukaona ushindani kwenye muziki.

Wasanii kama kina Belle9 mzee wa Masogange, Shetta, Ali Kiba, Abdu Kiba, Mr Blue, Steve R&B etc ni wasanii wakali sana tatizo ni management inayoweza kupambana kwenye soko la muziki.

Babu Tale na Mkubwa Fella wamekamata hili soko kiasi kwamba ni kazi kweli kushindana nao.
Nadhani wasafi utaratibu wao upo kumfavor diamond,diamond ndo anaachia ngoma mda wowote,angalia tangu ayola ya harmonizer hajatoa wimbo mwingine wanaangalia asitoe kwanza ili asimfunike dai
 
Mkuu kwanini hamkumpigia kura king? maana kila Siku alikuwa anawakumbusha kwenye ile fan page yake...
Haha mtvbaseafrica wanajibu la swali lako nenda insta ukajionee wanavyojigongagonga Jana tumegawa doze ya hatari sana huko
 
Back
Top Bottom