RHOK Dar es salaam...Here we come for the first time!!! All programmers out there are welcome

Maxence Melo vipi wewe? tunaalikana kwenye vikao vya pombe huku unanipotezea....niaje bana?

Kaka @Maxence Melo ana mambo mengi inaonyesha nadhani ndo maana alisahau kukukaribisha, nadhani ndo maana nikaiweka hapa! @Yo Yo, nilaumu labda mimi sikukutag..kumbe na wewe upo kwenye field hii!??

hahahaha umejuaje, ilibid niwe observr 2 coz ndo kwanza namalzia data strct af washkaj wapo dip op nxt yer 2takua pamoja.!!! Gatcha alrdy, wendo braza men thatha na zle swaga zko za kujintroduc ile j1..

Da nakumbuka nlipiga data structure mwaka wa pili...kwahiyo ya next year utakuwepo...lazima nikupe info first hand!!!
Haha afu mi c brazamen au y do u say so!?? Yan kumbe na jmosi ulikuwepo.. Junior. Cux

thats good.....kwani whats was all about?

It was a programming event...kind of a competition for the community! It was fun..the food n ol..haha!!!

Hii ndo inatakiwa iweje? labda naweza kutoa kamsaada
nyasiro, tulifanya streaming bana...kuna TA mmoja wa pale UD alitusaidia hii mambo..ila sio ngumu pia..anyone kan try it!
 
Last edited by a moderator:

mie napendaga mambo dizaini hiyo.....kwa hiyo ningefurahi kuangalia vijana wakikata issues.....

ni vizuri zaidi insteady kukutana bar na kusaka michuchu makutano kama hayo ni tija hasa kwa kizazi hiki.....
 
Da nakumbuka nlipiga data structure mwaka wa pili...kwahiyo ya next year utakuwepo...lazima nikupe info first hand!!!
Haha afu mi c brazamen au y do u say so!?? Yan kumbe na jmosi ulikuwepo.. [MENTION=36740]Junior. Cux

itakua pwh sana nkiwai kupata hyo info.. si dat strct tunapga fst yr xo ndo tunamalzia.!!! Waz der 4rm the begnng 2 d end includn meal tymz hahaha...
 
Mentor, vipi hamkurekodi video ya event nzima mkabaki na copy? ili na sisi wa mikoani tupate picha halisi ya kilichojiri sikuhiyo,,kwenye Ustream haipo, tayari ni past event nimetafuta kote sijapata...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kang, hata sisi tunafanya streaming mbona RHOK East Africa: Dar es Salaam on USTREAM: Hacks Competition at University of Dar es Salaam..
Tena sasa hivi vijana wanajiandaa kufanya presentations..watch and see what our youth have done in th last 30 or so hours.
Tumebahatika kumpata Mheshimiwa Maxence Mello as one of our judges...

Wakati napost comment yangu nadhani stream ilikuwa down, ntatafuta muda niangalie presentations.

Labda nitoe ushauri ni vigumu kuangalia stream ambayo inaonyesha tu watu wapo kwenye PC zao kungekuwa na kama interviewer anazunguka labda anawauliza watu wanafanya nini, wanatumia tech gani etc ingependeza, sio lazima iwe video tena hata live blog fulani.
 
nice work, sema sauti ipo chini sana na ni vigumu kujua kilichokuwa kinaendelea sababu video inaonyesha view moja tu hatuoni kinachoendelea practically kwenye projector..
 
itakua pwh sana nkiwai kupata hyo info.. si dat strct tunapga fst yr xo ndo tunamalzia.!!! Waz der 4rm the begnng 2 d end includn meal tymz hahaha...

Hahah dogo kumbe umekula menu letu siku zote...anyway, op ulijifunza some stuff though!
 
Back
Top Bottom