Revolution Nchi za Kiarabu; Ni Mpango wa Matajiri na Wall Street

CNN this, CNN that.. what about RT, PRESS TV and Al Jazeera?

they are also reporting similar news. Are they also part of the "west conspiracy"?

The European Economy is in shit right now. The last thing they want is increase in oil prices, refugees from North Africa and their old allies replaced by extremists.

we should learn, when something unprecedented happens, we should make the best out of in to our interest.

That's how the west and Wall Street works. Sisi huku lawama tu!!
 
DUh bingwa, inamaana wanachokitafuta ni kuwaridhisha watu wa 'magharibi'? Yaani hujaona tatizo kwa mfano LIBYA raisi kuongoza nchi kwa miaka 42???? Mhh nina wasiwasi na IQ yako!

shida iko wapi kama anaweza ku perform tatizo ni miaka 42 tu? na wewe kuna shida na IQ yako.
 
Wewe ni Muhuni wa mtaani tu unaye ganga njaa kwa lolote na chochote.
Tuondolee udhia wako hapa.

Madela jadili hoja ya Haki. Mimi naamini kuwa siku moja itadhihirika kuwa nchi za magharibi zina mkono katika kile kinachoendelea sasa hivi afrika ya kaskazi na mashariki ya kati. Sitasema sana kwwa sasa!
 
Mkuu Haki nadhani ume soma hizo source zako bila kuchaganua mwenyewe. Una dai nchi za magharibi ndizo zime engineer mapinduzi ya nchia kama Tunisia, Egypt na sasa Libya. Ila una sahau kitu kimoja. Mubaraka alikua ally mkubwa wa Marekani na hata Israel. Na walikua wana jaribu kuta futa njia za kumuokoa behind closed doors na ndiyo maana in public walikuwa wana toa kauli neural bila kuonyesha wazi wazi kama wana support wananchi au Mubarak. Je una semaje juu ya hilo?

Mubarak alipanga kuondoka madarakani na kumuachia mwanae. Huyu mwanae ndiye aliyefanya atoswe na Wamerekani. Republican walikuwa wanamlalamikia Obama kwa kutomsadia Mubarak.
Kumbuka Revolution ya Egypt imepangwa na exec wa google ambaye ni CIA.
 
Back
Top Bottom